#COVID19 Kiwanda cha kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku? Hizi 'exaggerations' zitatuua

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana?

Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu tangu tukubali uwepo wa COVID-19 Duniani. Huyu mjenzi alikuwa ameshajenga?

Tatu, soko la mamilioni haya ya barakoa lipo wapi? Kila siku barakoa milioni 86 du Gerson Msigwa pls.

Press moja unazungumzia barakoa milioni 86 unrealistic lakini pia unatuamisha dola milioni mia moja ni sawa na trilioni 2.3 hesabu mlisoma wenyewe?

Mnajua mnazungumza na Dunia? Mnatufanya huko nje tuonekane watu wasiosoma na ndio maana tumetawaliwa kila Kona mchina ameweka himaya, huu Ni utumwa
 
Ugumu uko wapi kwani Beatrice?

Labda umesahau. Barakoa ni kitambaa tu. Unachohitaji ni hicho kipande kidogo tu cha kitambaa kama mali ghafi na cherehani. Ukipanga mafundi cherehani 100,000 nchi nzima na kila mmoja akazalisha barakoa 850 kwa siku hujapata hiyo idadi unayoishangaa?

Na mbona hata viwanda vya nguo viko kibao? Urafiki, Mwatex, Tabora Textile, Mutex nk nk

Ni Tanzania na the left over una export Uganda, Kenya, China na hata USA nk nk...!

1. No, it is real. It's possible kuzalisha kiwango hicho cha barakoa ukiamua...

2. Kwani ukichukua $100,000,000 ukazidisha na rate ya Tshs. 2300 kwa dola unapata shilingi ngapi wewe kama siyo 2.3trn...?

Kwa hili sijaona problem yoyote mimi. Labda kwa mengine naweza kukubaliana na wewe hasa la utetezi wake wa tozo za miamala ya simu...

Hilo serikali imechemka for a big time kwa sababu huwezi kutumia kigezo cha kujenga barabara vijijini kukamua wanyonge mpaka watoe damu badala ya maziwa..

Kigezo kuwa tumekuwa tukipiga kelele serikali kubuni vyanzo vipya vya kodi na kwa hiyo ubunifu wao ukaishia kwenye mifuko ya hawa masikini, basi there's a problem somewhere, somehow ndani ya serikali ktk kufikiri kwao...!
 
UNAFELI MWANA, BIG TIME
 
Naomba nikupongeze kwa ujasiri wa kuwasikiliza watu hawa , una roho ngumu sana !
 
Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana?

Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu tangu tukubali uwepo wa COVID-19 Duniani. Huyu mjenzi alikuwa ameshajenga?

Tatu, soko la mamilioni haya ya barakoa lipo wapi? Kila siku barakoa milioni 86 du Gerson Msigwa pls.

Press moja unazungumzia barakoa milioni 86 unrealistic lakini pia unatuamisha dola milioni mia moja ni sawa na trilioni 2.3 hesabu mlisoma wenyewe?

Mnajua mnazungumza na Dunia? Mnatufanya huko nje tuonekane watu wasiosoma na ndio maana tumetawaliwa kila Kona mchina ameweka himaya, huu Ni utumwa
Dada umepona? Au sio wewe uliesema tukuombee una hali ngumu?
 
Najibu hapa
"Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu tangu tukubali uwepo wa COVID-19 Duniani. Huyu mjenzi alikuwa ameshajenga?"

Kiwanda cha Barakoa Tangu Magufuli kilikuwako.
 
Dunia ya leo ni ya tekinolojia. Ulishaona jinsi mashine ya viwanda vya soda au bia vinavyofatua visibo vya chupa zao? Yaani mashine moja inafyatua visibo 100 kwa sekunde. Hivyo vibarakoa ni much easier kuvifyatua kuliko visibo vyachupa za bia na soda dada yetu.

Uvaaji barakoa sahihi unataka kila baada ya saa mbili au tatu barakoa ibadilishwe. Hivyo mtu mmoja anatakiwa kutumia barakoa zisizopungua 5 kwa siku. Kwa hiyo barakoa 86 million kwa siku hazitoshelezi kwa mbali mahitaji ya soko la Tanzania. Cha mhimu bei ya barakoa moja haipaswi kuzidi shillingi 20. Yaani barakoa 5 kwa shillingi 100. Bado serikali itakusanya pesa nyingi kupitia uuzaji wa barakoa kuliko kupitia tozo za mihamala ya kutuma mpessa kwenye simu. It is very simple. Au serikali inaweza kuzigawa bure kwa wananchi wake. Nchi yeti ni tajiri sana, shida yetu ni mind setting zetu zimekaa ovyo.
 
Ugumu uko wapi kwani Beatrice?

Labda umesahau. Barakoa ni kitambaa tu. Unachohitaji ni hicho kipande kidogo tu cha kitambaa kama mali ghafi na cherehani. Ukipanga mafundi cherehani 100,000 nchi nzima na kila mmoja akazalisha barakoa 850 kwa siku hujapata hiyo idadi unayoishangaa?

Na mbona hata viwanda vya nguo viko kibao? Urafiki, Mwatex, Tabora Textile, Mutex nk nk

Ni Tanzania na the left over una export Uganda, Kenya, China na hata USA nk nk...!

1. No, it is real. It's possible kuzalisha kiwango hicho cha barakoa ukiamua...

2. Kwani ukichukua $100,000,000 ukazidisha na rate ya Tshs. 2300 kwa dola unapata shilingi ngapi wewe kama siyo 2.3trn...?

Kwa hili sijaona problem yoyote mimi. Labda kwa mengine naweza kukubaliana na wewe hasa la utetezi wake wa tozo za miamala ya simu...

Hilo serikali imechemka for a big time kwa sababu huwezi kutumia kigezo cha kujenga barabara vijijini kukamua wanyonge mpaka watoe damu badala ya maziwa..

Kigezo kuwa tumekuwa tukipiga kelele serikali kubuni vyanzo vipya vya kodi na kwa hiyo ubunifu wao ukaishia kwenye mifuko ya hawa masikini, basi there's a problem somewhere, somehow ndani ya serikali ktk kufikiri kwao...!
Ukichukua $100,000,000 ukazidisha na rate ya Tsh 2,300 unapata Tsh 230,000,000,000
Yaani bil 230
 
Usd.100milion ni sawa na tsh.bilioni 234,000,000,000/= kwa rate ya sasa ya tsh.2340,sasa wewe hizo trilioni 2 umezotoa wapi??
 
Ugumu uko wapi kwani Beatrice?

Labda umesahau. Barakoa ni kitambaa tu. Unachohitaji ni hicho kipande kidogo tu cha kitambaa kama mali ghafi na cherehani. Ukipanga mafundi cherehani 100,000 nchi nzima na kila mmoja akazalisha barakoa 850 kwa siku hujapata hiyo idadi unayoishangaa?

Na mbona hata viwanda vya nguo viko kibao? Urafiki, Mwatex, Tabora Textile, Mutex nk nk

Ni Tanzania na the left over una export Uganda, Kenya, China na hata USA nk nk...!

1. No, it is real. It's possible kuzalisha kiwango hicho cha barakoa ukiamua...

2. Kwani ukichukua $100,000,000 ukazidisha na rate ya Tshs. 2300 kwa dola unapata shilingi ngapi wewe kama siyo 2.3trn...?

Kwa hili sijaona problem yoyote mimi. Labda kwa mengine naweza kukubaliana na wewe hasa la utetezi wake wa tozo za miamala ya simu...

Hilo serikali imechemka for a big time kwa sababu huwezi kutumia kigezo cha kujenga barabara vijijini kukamua wanyonge mpaka watoe damu badala ya maziwa..

Kigezo kuwa tumekuwa tukipiga kelele serikali kubuni vyanzo vipya vya kodi na kwa hiyo ubunifu wao ukaishia kwenye mifuko ya hawa masikini, basi there's a problem somewhere, somehow ndani ya serikali ktk kufikiri kwao...!
Usikimbilie kujibu mkuu tulia maana umeenda chaka
 
Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana?

Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu tangu tukubali uwepo wa COVID-19 Duniani. Huyu mjenzi alikuwa ameshajenga?

Tatu, soko la mamilioni haya ya barakoa lipo wapi? Kila siku barakoa milioni 86 du Gerson Msigwa pls.

Press moja unazungumzia barakoa milioni 86 unrealistic lakini pia unatuamisha dola milioni mia moja ni sawa na trilioni 2.3 hesabu mlisoma wenyewe?

Mnajua mnazungumza na Dunia? Mnatufanya huko nje tuonekane watu wasiosoma na ndio maana tumetawaliwa kila Kona mchina ameweka himaya, huu Ni utumwa
Chama Cha Mazezeta
 
Ugumu uko wapi kwani Beatrice?

Labda umesahau. Barakoa ni kitambaa tu. Unachohitaji ni hicho kipande kidogo tu cha kitambaa kama mali ghafi na cherehani. Ukipanga mafundi cherehani 100,000 nchi nzima na kila mmoja akazalisha barakoa 850 kwa siku hujapata hiyo idadi unayoishangaa?

Na mbona hata viwanda vya nguo viko kibao? Urafiki, Mwatex, Tabora Textile, Mutex nk nk

Ni Tanzania na the left over una export Uganda, Kenya, China na hata USA nk nk...!

1. No, it is real. It's possible kuzalisha kiwango hicho cha barakoa ukiamua...

2. Kwani ukichukua $100,000,000 ukazidisha na rate ya Tshs. 2300 kwa dola unapata shilingi ngapi wewe kama siyo 2.3trn...?

Kwa hili sijaona problem yoyote mimi. Labda kwa mengine naweza kukubaliana na wewe hasa la utetezi wake wa tozo za miamala ya simu...

Hilo serikali imechemka for a big time kwa sababu huwezi kutumia kigezo cha kujenga barabara vijijini kukamua wanyonge mpaka watoe damu badala ya maziwa..

Kigezo kuwa tumekuwa tukipiga kelele serikali kubuni vyanzo vipya vya kodi na kwa hiyo ubunifu wao ukaishia kwenye mifuko ya hawa masikini, basi there's a problem somewhere, somehow ndani ya serikali ktk kufikiri kwao...!
Dola milioni mia moja ni sawa na 2.3 trilioni? Serious mkuu?
 
Najibu hapa
"Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu tangu tukubali uwepo wa COVID-19 Duniani. Huyu mjenzi alikuwa ameshajenga?"

Kiwanda cha Barakoa Tangu Magufuli kilikuwako.
Kwani Tanzania si tulikubaliana tumeitokomeza corona rasmi tangu Mei 2020 na tukaambiwa tuwe na siku ya kusherekea ushindi? Sasa kiwanda cha nini tena wakati hatukuwa na corona.
 
Mwana sisiemu anaweza kutoka mbele za watu akaanza kuelezea jinsi nilivyoshiba ilihali nina uhakika sijala siku hiyo tena nina njaa ya kutosha.

Sasa hapo nikianza kukanusha kwamba mi sijala inageuka uadui yaani anaweza kuagiza nikamatwe kwa sababu nimesema sijala
 
Ugumu uko wapi kwani Beatrice?

Labda umesahau. Barakoa ni kitambaa tu. Unachohitaji ni hicho kipande kidogo tu cha kitambaa kama mali ghafi na cherehani. Ukipanga mafundi cherehani 100,000 nchi nzima na kila mmoja akazalisha barakoa 850 kwa siku hujapata hiyo idadi unayoishangaa?

Na mbona hata viwanda vya nguo viko kibao? Urafiki, Mwatex, Tabora Textile, Mutex nk nk

Ni Tanzania na the left over una export Uganda, Kenya, China na hata USA nk nk...!

1. No, it is real. It's possible kuzalisha kiwango hicho cha barakoa ukiamua...

2. Kwani ukichukua $100,000,000 ukazidisha na rate ya Tshs. 2300 kwa dola unapata shilingi ngapi wewe kama siyo 2.3trn...?

Kwa hili sijaona problem yoyote mimi. Labda kwa mengine naweza kukubaliana na wewe hasa la utetezi wake wa tozo za miamala ya simu...

Hilo serikali imechemka for a big time kwa sababu huwezi kutumia kigezo cha kujenga barabara vijijini kukamua wanyonge mpaka watoe damu badala ya maziwa..

Kigezo kuwa tumekuwa tukipiga kelele serikali kubuni vyanzo vipya vya kodi na kwa hiyo ubunifu wao ukaishia kwenye mifuko ya hawa masikini, basi there's a problem somewhere, somehow ndani ya serikali ktk kufikiri kwao...!

Huko shule mlienda kusomea ujinga? Wengine walienda kuondoa ujinga, wengine mkaenda kuusomea kabisa?

Ama kweli hesabu ugonjwa wa Taifa🤣, au ndo yale MAGAZIJUTO bado yanasumbua?
 
Ugumu uko wapi kwani Beatrice?

Labda umesahau. Barakoa ni kitambaa tu. Unachohitaji ni hicho kipande kidogo tu cha kitambaa kama mali ghafi na cherehani. Ukipanga mafundi cherehani 100,000 nchi nzima na kila mmoja akazalisha barakoa 850 kwa siku hujapata hiyo idadi unayoishangaa?

Na mbona hata viwanda vya nguo viko kibao? Urafiki, Mwatex, Tabora Textile, Mutex nk nk

Ni Tanzania na the left over una export Uganda, Kenya, China na hata USA nk nk...!

1. No, it is real. It's possible kuzalisha kiwango hicho cha barakoa ukiamua...

2. Kwani ukichukua $100,000,000 ukazidisha na rate ya Tshs. 2300 kwa dola unapata shilingi ngapi wewe kama siyo 2.3trn...?

Kwa hili sijaona problem yoyote mimi. Labda kwa mengine naweza kukubaliana na wewe hasa la utetezi wake wa tozo za miamala ya simu...

Hilo serikali imechemka for a big time kwa sababu huwezi kutumia kigezo cha kujenga barabara vijijini kukamua wanyonge mpaka watoe damu badala ya maziwa..

Kigezo kuwa tumekuwa tukipiga kelele serikali kubuni vyanzo vipya vya kodi na kwa hiyo ubunifu wao ukaishia kwenye mifuko ya hawa masikini, basi there's a problem somewhere, somehow ndani ya serikali ktk kufikiri kwao...!
Nikiongezea kwa point zako - ni hivi: unahitaji kubadili barakoa mara nne kutwa! Hivyo Tanzania nzima kutwa tunahitaji barakoa zisizo pungua milioni 200! Au kiasi cha mara tatu zitakazo zalishwa!
If and only if! All these are true.
 
Back
Top Bottom