Hizo organs nilizozitaja hapo juu;
Majeshi
Vyombo vya usalama
Deep state
Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo.
Kama mnaona hampo...
Usipende sana mama kufanya jambo ili kuwafurahisha hawa jamaa utaambulia failure.
Tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu ndani yao hakuna nia njema. Baba yao ni baba wa uongo kama inavyojulikana...
Na Abubakari Akida, MOHA
Serikali imewataka abiria wanaosafiri mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi kuchukua tahadhari juu ya maambukizi ya UVIKO -19 huku wakiaswa kupaza sauti zao pindi...
Ili tuweze kufikia lengo la bima ya afya kwa wote ni vizuri NHIF ilipwe kupitia LUKU na hii itaondoa malalamiko yaliyotokea, hapa je, wenye mijengo ambao ni pamoja na watunga sheria watakubali?
Kama mkuu wa polisi anakiri hadharani kuwa jeshi analolisimamia linatumia nguvu ya ziada basi ni wazi kuwa jeshi analosimamia huwa linafanya kazi kinyume cha sheria.
Ni nguvu gani ya ziada...
Nifahamuvyo mimi kila zama na kitabu chake
Kinachoendelea nchini kutoka jeshi la polisi na wanasiasa waliojificha nyuma yao kwa kuwabana wapinzani wao katika siasa ni kutaka kuendeleza ya hayati...
"Sisi NCCR-Mageuzi tunatoa pole kwa polisi waliouawa juzi, tunatoa pole za dhati kwasababu ni binadamu, wametoa uhai wao. Tunatoa pole kwa familia ya Hamza pia kwasababu huyu ni binadamu...
Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake...
Hata kama kweli Watanzania ni Wajinga kuliko hata wanyama wa mwituni , lakini hii ghiliba ya Jaji Mkuu na IGP kujitokeza sasa na kujifanya hawakujua uchafu unaotendwa Mahakamani na uchafu...
Nini hasa kinachopaswa kuchunguzwa ktk ugaidi wa ule uliofanyika mchana kweupe ktk ubalozi wa ufaransa:
1. Ni je kuchunguza chanzo cha ugaidi ule?
2. Ni je kuchunguza chain ya ule ugaidi?
3. Ni...
Dunia duara na wengine husema dunia mzunguko.
Walikuwapo kina Mandela, Kenyatta, Nyerere hata huyu wa Zambia. Katika harakati zao wakajitanabaisha ana kwa ana na watesi wao hadi jela zikawahusu...
Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye bachelor, masters na PhD kwaajili ya kuchukua nchi 2025.
Tafuteni wachumi, wanasheria, wanasayansi, mainjinia, wahasibu, watu wasiasa, wanahistoria wenye...
Nimeona taarifa Mh Rais yuko Zanzibar leo anazindua miradi gani sijui ila ajabu sio kama utaratibu tuliouzoea sasahivi Mh Rais anasafiri kimya kimya kulikoni?
Ikumbukwe siku 5 nyuma page ya Ikulu...
Pamoja na unyama wote aliofanya yule Hamza bado anastahili kuzikwa kama ilivyo kwa binadamu anapokufa.
Nasikia Hamza alikuwa ni mwanasiasa na kadi yake ya chama imeonyeshwa mitandaoni hivyo...
IGP Siro ni tatizo?
Huyu IGP watu wanalamamika wanabambikiwa kesi na polisi yupo kimya, huyu IGP Rais analalamika watu wanabambikiwa kesi yeye yupo kimya, sasa anafanya kitu gani?
Kama mkuu wa...
Haiwezekani unazuia mikutano ya kisiasa wakati katiba inaruhusu, huwezi kuzuia watu kujadili katiba ya nchi wakati siyo uhaini wala hakuna katiba iliyovunjwa. Hivi kwani Uchamungu umekua ni...
Kwanza natanguliza salam ya Eid Mubarak kwa ndugu zetu waislam wa Tanzania na duniani kwa ujumla. Narudi sasa kwenye mada husika. Ndugu zangu wakati mama wa nchi anakabidhiwa nchi na waliopewa...
TOZO YA MIAMALA na KODI YA MAJENGO.
Mwigulu Ayaone haya:
1. Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group...
1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana.
2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.