Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msingi wa jeshi la polisi imara ni operation ili kudhibidi uhalifu. Ndio maana Makonda kama mkuu wa masuala ya usalama aliamini kwenye operation. Makonda alimsimamia vyema Igp Sirro wakati huo ni...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
::Madikteta wote duniani hufanana:: Kutoka Maktaba (JF by Mzee Mwanakijiji 11 Feb 2011 ) #UKUTA Madikteta wote wanafanana; wawe ni wale ambao ni mtu mmoja mmoja au wawe wa chama kimoja...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa matamshi yako ya juzi na ulivyolishughulikia suala la marehemu Hamza, hakuna anayekuunga mkono. Kila mtanzania mwenye akili, mpenda haki, ukiacha wanaojikomba wapate mlo wao (wanafiki), watu...
18 Reactions
38 Replies
3K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 14 Agosti 2021 imekabidhiwa tuzo ya Mshindi wa Pili kwa Taasisi za Serikali zinazoongoza kwa upandaji miti mkoa wa Dodoma. Tuzo hiyo imetolewa kwenye Tamasha...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Hivi ni hisia zangu tu au kuna ukweli ktk hili? Nimeona safari za Raisi na Waziri Mkuu ktk mkoa wa Arusha zimekuwa nyingi mno. Imefikia wakati akiondoka Waziri Mkuu, basi Raisi naye anaingia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tume ya Taifa ya UCHAGUZI (NEC) inapendekeza yafuatayo:- 1. Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuongeza ufanisi. 2. Tume iwe na watumishi wake mpaka ngazi ya Wilaya. 3. Kuwe na sheria moja ya...
10 Reactions
69 Replies
7K Views
Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu, imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania, Ustaadhi Aboubakar Mbowe, pamoja na...
44 Reactions
110 Replies
10K Views
RAIS MPYA WA ZAMBIA AMFURUSHA OFISINI MKUU WA POLISI (IGP), MKUU WA MAJESHI (CDF) na DPP, AAHIDI KUMALIZA UTAWALA KANDAMIZI WA MTANGULIZI WAKE RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Matamshi aliyoyatoa Simion Siro wakati wa kuaga miili ya askari waliouwawa wakitimiza majukumu yao na mhalifu Hamza yalikuwa sahihi kwa asilimia zote. Ni kweli katika dunia ya leo yenye...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Sote tunashuhudia mabilioni ya fedha za miradi ya TAMISEMI kwenye Halmashauri kadhaa hapa nchini. Ni hatua kubwa sana kwa maendeleo ya nchi. Tuna miradi ya shule, mabweni, vituo vya afya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, Agosti 21 akiwasilisha ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa Rais Samia alitoa mapendekezo saba ya kufanyiwa kazi, likiwemo la kuanzishwa kwa Sheria...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
haya ya Hamza ,Denmark na tozo na miamala ni katika harakati za CCM kutaka kutawala maisha nchi hii,hivyo nyumbu hawa CCM wanajaribu kupanga kila mipango ili wavuruge na kuzihamisha akili za...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Sitaki kuchangia sana. Ukijiuliza maswali ni kama kuna kitu nyuma ya pazia, maana kama sisi wananchi wa kawaida tulishanga kwani hatukuwai msikia mama akisema, ila tulimsikia tu akizuia watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa heshima na taaadhima ninaomba malalamiko haya yawafikie tamisemi na wizara ya elimu. Imekuwa tabia ya muda mrefu sana kwa watumishi wanaofanya kazi katika halmashauri ya songwe kukaaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli? Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri...
7 Reactions
80 Replies
11K Views
Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police. Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police? Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA...
8 Reactions
135 Replies
11K Views
Askofu Gwajima, Kwanza sikubaliani na wewe katika suala la kukataa chanjo ya Corona kwa kadiri unavyowahubiria waumini wako. Binafsi nimeshachanjwa na ninahimiza watanzania wote wachanje tofauti...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa vyenye usajili kamili linatarajiwa kuanza kesho tarehe 30 Agosti, 2021. Kwa mujibu wa barua na ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauaji lililotokea pale Daraja la Salenda. Aidha mchungaji Matsai...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Igweeeee Kuna kipindi hawa wanaharakati wa mitandaoni walijaribu kuiaminisha jamii kwamba wakikomalia jambo lazima walifanikishe lakini sijawahi kuona mafanikio yao tangu maandamano ya mange...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom