Bishop Gwajima kuweka mahojiano yake wazi kesho. Anadai amewafumba midomo waovu

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake akisema hayo ni mambo ya kiimani na hawezi kujibia kitu akiwa bungeni.

Ameendelea kuwaeleza kuwa ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu apewe Mungu, so mambo yake ya kanisani ni kanisani na ya bungeni ni ya bungeni, kwani hawezi kuchangamana na waovu kujadili mambo ya kanisani kwake bungeni. Amesema mkanda mzima wa mahojiano yake ni kesho jumapili kwa mdomo wake mwenyewe!

Hata kama atapoteza ubunge, yeye amesimama na Yehova wake!

Updates:
Tunaomba ambao mmeshafika eneo la ibada mtujuze kinachoendelea
 
Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake akisema hayo ni mambo ya kiimani na hawezi kujibia kitu akiwa bungeni.

Ameendelea kuwaeleza kuwa ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu apewe Mungu, so mambo yake ya kanisani ni kanisani na ya bungeni ni ya bungeni, kwani hawezi kuchangamana na waovu kujadili mambo ya kanisani kwake bungeni. Amesema mkanda mzima wa mahojiano yake ni kesho jumapili kwa mdomo wake mwenyewe!

Hata kama atapoteza ubunge, yeye amesimama na Yehova wake!
Kinachomtesa gwajima ni kukosa uwaziri baada ya kayafa kufa

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Kama ilivyo kwa wenye hiari ya kuchanja kuwaambia na kufanya makongamano kuhusu ulivyo ubora na uzuri wa chanjo, ndivyo hivyohivyo kwa wenye hiari ya kutochanjwa!

Sasa ubaya wa Gwaji boy uko wapi! kama ni ubaya basi hata hao wanaosgawishi watu wachanje, wanamakosa kwa sababu ni hiari na siyo lazima
 
Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake akisema hayo ni mambo ya kiimani na hawezi kujibia kitu akiwa bungeni.

Ameendelea kuwaeleza kuwa ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu apewe Mungu, so mambo yake ya kanisani ni kanisani na ya bungeni ni ya bungeni, kwani hawezi kuchangamana na waovu kujadili mambo ya kanisani kwake bungeni. Amesema mkanda mzima wa mahojiano yake ni kesho jumapili kwa mdomo wake mwenyewe!

Hata kama atapoteza ubunge, yeye amesimama na Yehova wake!
Hatuhangaiki na huyo Kibwetere au mungiki
 
Ile mipasho aliyokuwa akiitoa kanisani kwake ndio mambo ya kiimani yale? akaenda mbali mpaka kumfukuza mtu kwenye ukoo wao ndio imani yenu hiyo?

Tumeaswa kujihadhari na manabii wa uongo.
Ogopa sana kiumbe anayemtegemea binadamu mwenzake kuendesha maisha yake.
 
Ile mipasho aliyokuwa akiitoa kanisani kwake ndio mambo ya kiimani yale? akaenda mbali mpaka kumfukuza mtu kwenye ukoo wao ndio imani yenu hiyo?

Tumeaswa kujihadhari na manabii wa uongo.
Huyo ni mtegemea free masonry ili mambo yake yasonge
 
Back
Top Bottom