Kwa urefu huu nawashauri Zitto, Lissu na wengineo msitie mguu

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,860
12,291
Kwanza natanguliza salam ya Eid Mubarak kwa ndugu zetu waislam wa Tanzania na duniani kwa ujumla. Narudi sasa kwenye mada husika. Ndugu zangu wakati mama wa nchi anakabidhiwa nchi na waliopewa mamlaka ya kumkabidhi nchi kutokana na muongozo wa katiba, aliwahi kutoa onyo mapema ili baadae yatayotokea ya kutokea asije akalaumiwa.

Mama alianza kutoa tahadhari kuhusu urefu wa maji yanayotengenisha mamlaka aliyonayo kama Rais, Amiri Meshi Mkuu na mkuu wa nchi nzima ya Tanzania. Na upande mungine ambao tupo sisi kama raia wa kawaida ambao hatuna mamlaka aliyonayo isipokuwa haki ya msingi tu ya kiraia, ambayo kila mwanachi anayo.

Tahadhari hiyo aliyoitoa mama ni kuwaonya wale wote wanaotaka kutumia njia zisizo sahihi kumfikia kule aliko (katika mamlaka yake) ambapo ni lazima uvuke hayo maji.

Kwahiyo alichofanya mama wa nchi ni kuwapa tahadhari kwamba wasije kujaribu kupima kina cha maji maana ni kirefu kuliko vimo vyao na endapo watakaidi basi wakapoingia na kupotelea humo majini asije akaulizwa au kulaumiwa yeye (wenye akili washaelewa kilichomaanishwa) Wengi walikuwa hawajamuelewa mama wakajua anatania, lkn kwa kilichotokea kwa Mbowe na genge lake, ni ukweli usiopingika kuwa maji yale aliyotahadharisha mama yana kina kirefu kweli kweli na kimewameza wote waliojaribu kutia mguu ili wapime urefu wake.

Pole Mbowe kwa kutanguliza kichwa badala ya miguu kupima kina hicho cha maji. Nina imani kina Lisu, Zito na genge lao hawatofanya kosa alilofanya mwenzao.
 
Sijawahi kusoma andiko la kijinga kama hili hapa JF. Kwa hivyo wewe unashabikia ujinga wa watawala kwa sababu ya kuogopa vikwazo vya polisi, TISS na mbwa wengine wanaoilamba miguu CCM (including you)? Unaumwa kweli aisee.
 
Kwanza natanguliza salam ya Eid Mubarak kwa ndugu zetu waislam wa Tanzania na duniani kwa ujumla. Narudi sasa kwenye mada husika. Ndugu zangu wakati mama wa nchi anakabidhiwa nchi na waliopewa mamlaka ya kumkabidhi nchi kutokana na muongozo wa katiba, aliwahi kutoa onyo mapema ili baadae yatayotokea ya kutokea asije akalaumiwa.

Mama alianza kutoa tahadhari kuhusu urefu wa maji yanayotengenisha mamlaka aliyonayo kama Rais, Amiri Meshi Mkuu na mkuu wa nchi nzima ya Tanzania. Na upande mungine ambao tupo sisi kama raia wa kawaida ambao hatuna mamlaka aliyonayo isipokuwa haki ya msingi tu ya kiraia, ambayo kila mwanachi anayo.

Tahadhari hiyo aliyoitoa mama ni kuwaonya wale wote wanaotaka kutumia njia zisizo sahihi kumfikia kule aliko (katika mamlaka yake) ambapo ni lazima uvuke hayo maji.

Kwahiyo alichofanya mama wa nchi ni kuwapa tahadhari kwamba wasije kujaribu kupima kina cha maji maana ni kirefu kuliko vimo vyao na endapo watakaidi basi wakapoingia na kupotelea humo majini asije akaulizwa au kulaumiwa yeye (wenye akili washaelewa kilichomaanishwa) Wengi walikuwa hawajamuelewa mama wakajua anatania, lkn kwa kilichotokea kwa Mbowe na genge lake, ni ukweli usiopingika kuwa maji yale aliyotahadharisha mama yana kina kirefu kweli kweli na kimewameza wote waliojaribu kutia mguu ili wapime urefu wake.

Pole Mbowe kwa kutanguliza kichwa badala ya miguu kupima kina hicho cha maji. Nina imani kina Lisu, Zito na genge lao hawatofanya kosa alilofanya mwenzao.
Rubbish and stupid post
 
Sijawahi kusoma andiko la kijinga kama hili hapa JF. Kwa hivyo wewe unashabikia ujinga wa watawala kwa sababu ya kuogopa vikwazo vya polisi TISS na mbwa wengine wanaoilamba miguu CCM (including you)? Unaumwa kweli aisee.
Nimegundua ni kwanini Lisu hajawahi kuandamana toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe, isipokuwa nimeshawahi kuona akishinikiza na kuwataka wenzake waandamane huku mitandaoni.
 
..kwa taarifa yako maandamano ambayo Lissu alishiriki wakati wa Magufuli.

..wewe labda ulikuwa bado hujafika Dsm ndio maana huna habari hizo.
 
Leta picha na taarifa kamili za hayo maandamano aliyoshiriki. Siko hapa kumezeshwa habar na wanasiasa wanafiki na waongo.
 
Back
Top Bottom