James Mbatia: Samia Suluhu anahujumiwa

Anapwaya tu. Hahujumiwi. Hana calibre ya kuongoza Taifa. Haya mambo ya usawa wa kijinsia (+corona) vimemsaidia kufika hapo. Magufuli alisema kuwa alitaka mgombea mwenza awe mtoto wa Mwinyi. Magufuli akaamua kumpa Samia tu kwa vile ni mwanamke.

Katiba yetu inampa madaraka makubwa sana Rais. Kama ana akili ya kuyatumia vizuri, basi anafika mbali. Huyu mama hana hiyo akili kabisa. Mpaka 2025 hakuna mtu atakuwa na imani na wanawake tena kwenye nafasi kubwa za uongozi kama hiyo. Anawaharibia akina mama wote.
 
Anapwaya tu. Hahujumiwi. Hana calibre ya kuongoza Taifa. Haya mambo ya usawa wa kijinsia yamemsaidia kufika hapo. Magufuli alisema kuwa alitaka mgombea mwenza awe mtoto wa Mwinyi. Magufuli akaamua kumpa Samia kwa vile ni mwanamke.

Katiba yetu inampa madaraka makubwa sana Rais. Kama ana akili ya kuyatumia vizuri, basi anafika mbali. Huyu mama hana hiyo akili kabisa. Mpaka 2025 hakuna mtu atakuwa na imani na wanawake kwenye nafasi kubwa za uongozi kama hiyo.
Mama hana uwezo wa kuongoza nchi, hilo liko wazi.

Ukitaka kujua hana uwezo, aongee kutoka kichwani mwake bila kusoma speech ndio utajua pale watanzania tumeingia cha kike.
 
Back
Top Bottom