IGP Siro ni tatizo?
Huyu IGP watu wanalamamika wanabambikiwa kesi na polisi yupo kimya, huyu IGP Rais analalamika watu wanabambikiwa kesi yeye yupo kimya, sasa anafanya kitu gani?
Kama mkuu wa...
Haiwezekani unazuia mikutano ya kisiasa wakati katiba inaruhusu, huwezi kuzuia watu kujadili katiba ya nchi wakati siyo uhaini wala hakuna katiba iliyovunjwa. Hivi kwani Uchamungu umekua ni...
Kwanza natanguliza salam ya Eid Mubarak kwa ndugu zetu waislam wa Tanzania na duniani kwa ujumla. Narudi sasa kwenye mada husika. Ndugu zangu wakati mama wa nchi anakabidhiwa nchi na waliopewa...
TOZO YA MIAMALA na KODI YA MAJENGO.
Mwigulu Ayaone haya:
1. Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group...
1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana.
2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia...
Mapema leo Jumamosi Agosti 28, 2021 Msemaji wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa- amezungumza na Waandishi wa habarih katika Ofisi za Habari-Maelezo Jijini Dodoma. Haya ndiyo aliyoyazungumza Ndugu...
Najaribu kuwakumbusha tena mamlaka husika kwenye vitu vya msingi tuweke siasa kando
Na tujalibu kuwaangalia hawa wananchi
Kiukweli bei ya mbolea sio rafiki kwa mtanzania wa kipato cha chini...
Hakika Watanzania tumesikia kauli za mkuu wa Jeshi hivi karibuni, kauli tata sana kwa kiongozi wa juu wa serikalini. Kwanza tulisikia alipotoa kauli tata kuhusia na kesi ya Mbona ambayo tayari...
Nakumbuka kesi ya Zombe et al.
Polisi walifanya dhulma,wakajribu kujificha lakini bado walishindwa.
Naangalia Clip za Hamza,Naangalia askari polisi waliouwawa najiuliza nini maana ya...
Mtoto wa nyoka ni nyoka sio kauli inayoingia kila mahala. Maana baba wa mvuta bangi sio mvuta bangi labda mpaka nae awe mvutaji.
Kitendo cha kulaumu wazazi wa marehemu Hamza kuwa walizaa balaa...
Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania.
Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la...
Katika nchi hii,hasa kwa vile sasa hivi alikuwepo dikteta,na yule dikteta ameondoka,yule dikteta ndiye alikuwa analeta mshikamano,centrifugal force.d Sasa yule dikteta ameondoka,ipo centripetal...
Mategemeo ya wana Kawe kuwa wamepata mkombozi atakayewatetea juu ya kero za jimbo la Kawe zimeanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu.
Wengine wanasemma kawe tuna mkosi , katika kupata wabunge wa...
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa Mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana. Ktk hali isiyo ya kawaida Mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea...
Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani!
Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile...
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Duuh nimeona leo kwenye mahubir ya mzee wa upako kuwa yeyote anaekataa kuchanjwa chanjo ya corona huyo ni 'zombi'' tena amefika mbaali zaidi na kusema kuwa gwaji boy nae anapotosha watu kwa...
Video
Katibu Mkuu ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Dr Laurean Ndumbaro amesema watumishi waliondolewa kimakosa katika mfumo wa mishahara na utumishi katika zoezi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.