Kama Hamza alikuwa ni mwanachama wa Chadema au CCM basi chama chake kikamzike kama ulivyo utaratibu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,508
141,232
Pamoja na unyama wote aliofanya yule Hamza bado anastahili kuzikwa kama ilivyo kwa binadamu anapokufa.

Nasikia Hamza alikuwa ni mwanasiasa na kadi yake ya chama imeonyeshwa mitandaoni hivyo nashauri chama chake iwe ni CCM au Chadema wajitokeze wakamzike mwanachama wao.

Ni ushauri tu.

Yesu akasema, basi asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke kahaba, alipoinua uso akawaona washtaki wake wote wametoweka

Mungu ni mwema wakati wote!
 
You are tending to be stupid than ever my friend John! Talk sense please!
Pamoja na unyama wote aliofanya yule Hamza bado anastahili kuzikwa kama ilivyo kwa binadamu anapokufa.

Nasikia Hamza alikuwa ni mwanasiasa na kadi yake ya chama imeonyeshwa mitandaoni hivyo nashauri chama chake iwe ni CCM au Chadema wajitokeze wakamzike mwanachama wao.

Ni ushauri tu.

Yesu akasema, basi asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke kahaba, alipoinua uso akawaona washtaki wake wote wametoweka

Mungu ni mwema wakati wote
 
Hata acpozikwa na ccm au lichama lolote. Waisilamu watamzika bila shida
 
Pamoja na unyama wote aliofanya yule Hamza bado anastahili kuzikwa kama ilivyo kwa binadamu anapokufa.

Nasikia Hamza alikuwa ni mwanasiasa na kadi yake ya chama imeonyeshwa mitandaoni hivyo nashauri chama chake iwe ni CCM au Chadema wajitokeze wakamzike mwanachama wao.

Ni ushauri tu.

Yesu akasema, basi asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke kahaba, alipoinua uso akawaona washtaki wake wote wametoweka

Mungu ni mwema wakati wote!
KWANI CCM MPAKA SASA KIMESEMA CHOCHOTE KUHUSU KADA WAKE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na unyama wote aliofanya yule Hamza bado anastahili kuzikwa kama ilivyo kwa binadamu anapokufa.

Nasikia Hamza alikuwa ni mwanasiasa na kadi yake ya chama imeonyeshwa mitandaoni hivyo nashauri chama chake iwe ni CCM au Chadema wajitokeze wakamzike mwanachama wao.

Ni ushauri tu.

Yesu akasema, basi asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke kahaba, alipoinua uso akawaona washtaki wake wote wametoweka

Mungu ni mwema wakati wote!
moja ya mda za kipumbav kabisa. ni upotevu wa muda
 
Maendereeeo hayana chama....

basi tuite hii mazishi hayana chama... au nasema uongo ndugu zangu?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Ukweli ni kwamba shujaa Hamza atazikwa na maelfu ya ndugu jamaa na marafiki ratiba mazishi itolewe.
 
Pamoja na unyama wote aliofanya yule Hamza bado anastahili kuzikwa kama ilivyo kwa binadamu anapokufa.

Nasikia Hamza alikuwa ni mwanasiasa na kadi yake ya chama imeonyeshwa mitandaoni hivyo nashauri chama chake iwe ni CCM au Chadema wajitokeze wakamzike mwanachama wao.

Ni ushauri tu.

Yesu akasema, basi asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke kahaba, alipoinua uso akawaona washtaki wake wote wametoweka

Mungu ni mwema wakati wote!
Umeongea fair sana.
 
Fact,
 
Back
Top Bottom