Ikulu Mawasiliano hawakuripoti taarifa ya safari ya Rais huko Zanzibar! Kulikoni..???

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,224
12,944
Nimeona taarifa Mh Rais yuko Zanzibar leo anazindua miradi gani sijui ila ajabu sio kama utaratibu tuliouzoea sasahivi Mh Rais anasafiri kimya kimya kulikoni?

Ikumbukwe siku 5 nyuma page ya Ikulu iliutaarifu umma kuwa Mh Rais Samia ataondoka kwenda Zambia kushuhudia uapisha wa Rais mteule wa Zambia ila chaajabu walifunga comment na leo kaibukia Zanzibar bila taarifa! Shuda nini haswa? Comment zinawakera?
 
Sasa kama amevaa viatu namba 45 wakati mguu wake namba 2 unategemea nini?
 
Huko mambo sasa hivi ni Shakalabaghala
Nimeona taarifa Mh Rais yuko Zanzibar leo anazindua miradi gani sijui ila ajabu sio kama utaratibu tuliouzoea sasahivi Mh Rais anasafiri kimya kimya kulikoni?

Ikumbukwe siku 5 nyuma page ya Ikulu iliutaarifu umma kuwa Mh Rais Samia ataondoka kwenda Zambia kushuhudia uapisha wa Rais mteule wa Zambia ila chaajabu walifunga comment na leo kaibukia Zanzibar bila taarifa! Shuda nini haswa? Comment zinawakera?
 
Nimeona taarifa Mh Rais yuko Zanzibar leo anazindua miradi gani sijui ila ajabu sio kama utaratibu tuliouzoea sasahivi Mh Rais anasafiri kimya kimya kulikoni?

Ikumbukwe siku 5 nyuma page ya Ikulu iliutaarifu umma kuwa Mh Rais Samia ataondoka kwenda Zambia kushuhudia uapisha wa Rais mteule wa Zambia ila chaajabu walifunga comment na leo kaibukia Zanzibar bila taarifa! Shuda nini haswa? Comment zinawakera?

Mkuu

Ukiona yuko dar jua kila weekend lazima atimbe....

Ndiyo maana Dodoma hakukaliki....

Na hii imeenda public kwa sababu ya hiyo event....

Shukrani
 
Nimeona taarifa Mh Rais yuko Zanzibar leo anazindua miradi gani sijui ila ajabu sio kama utaratibu tuliouzoea sasahivi Mh Rais anasafiri kimya kimya kulikoni?

Ikumbukwe siku 5 nyuma page ya Ikulu iliutaarifu umma kuwa Mh Rais Samia ataondoka kwenda Zambia kushuhudia uapisha wa Rais mteule wa Zambia ila chaajabu walifunga comment na leo kaibukia Zanzibar bila taarifa! Shuda nini haswa? Comment zinawakera?
Kuna hitirafu mahala!!!
 
H
3edc3459bf8d213300cea504a9ce7684.jpg
 
Sijui kuna faida gani za safari zote hizo kwa nchi ambayo bado watoto wa shule wanajisaidia vichakani

Huwa nashindwa kujua viongozi wa Africa huwa wanawaza nini wakiwa madarakani?
Ni ile kanuni ya masikini akipata makalio hulia mbwaaa. Bibi anaongozwa na kanuni hiyo.
 
Back
Top Bottom