Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwamba aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ndaki Muhuli ambaye kwa sasa amehamishiwa wilayani Kakonko alianzisha miradi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuna matatizo makubwa sana kama chama, hili lipo wazi kabisa. Mpaka sasa uongozi ni kama haupo kabisa maana kila kitu kimekwenda mrama. Mwenyekiti yupo jela kama mahabusu. Makamu mwenyekiti yupo...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Sasa ni dhahiri kuwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameshtakiwa kwa makosa ya jinai. Amefikishwa Mahakamani huko Arusha na kusomewa mashtaka sita. Ninaandika...
23 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu najikita kwenye mada bila kuremba , kwa mtu yeyote anayedhani anaweza kuua Chadema kwa njia yeyote anayoitumia , iwe biashara ya binadamu , iwe kwa...
13 Reactions
114 Replies
12K Views
Habari zenu ndugu zangu, Wakuu wenzangu, wakati Rais Samia anaingia madarakani wengi tulimshauri aache kufanya maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya watu ndani ya mitandao ya kijamii. Kama ilivyo...
12 Reactions
94 Replies
8K Views
Mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa jukwaa la demokrasia nchini (TCD) ameanza majukumu yake hayo kwa kukutana na kufanya mazungumzo na bwana John Mnyika...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa Mh Zitto Kabwe: "Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni milioni 8 kwa mwezi, Posho ya kujikimu kwa siku ni laki 120,000 kwa siku, kukaa kikao cha bungeni...
0 Reactions
143 Replies
38K Views
Nawasalimu wanajamvi wote hapa javini, Kwanza naomba nianze kwa kunukuu maneno ya waziri wa fedha Mr Mwigulu alietuambia watanzania kwamba,"kama mtu anataka kuhamia Burundi kwasababu ya tozo...
11 Reactions
27 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amenza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ chenye lengo la kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio vya utalii. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Agosti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wote ni mashuhuda kwa jinsi serikali ilivyojipambanua kukabiliana na janga la corona, na hii imepelekea wengi kupongeza hatua ambazo serikali imepanga/ilipanga kuzichukua. Serikali imeweka mkazo...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hilo ndio swali kuu kwa sasa. Kwanini Hamza alikuwa akiwapiga risasi polisi tu na sio raia wengine? Mashuhuda wanasema Hamza alikuwa akisema anawataka Polisi awamalize na hakuwa na dhamira mbaya...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nilikuandikia uzi humu kukutahadharisha jinsi walivyojiandaa kukuhujumu Urais wako. Sisi tunakujua fika jinsi ulivyo, wewe ni mama usiye na makuu,una huruma, una utu ,ndo maana kuna kipindi...
47 Reactions
69 Replies
7K Views
Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa. Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi...
14 Reactions
73 Replies
6K Views
Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Nashindwa hata kuelewa kama ni kudeka au ni kutaka kudeka... kabla ya Rais Magufuli watu walilalamika sana na kutaka Rais mkali asiyecheka cheka, na mtu ambaye aliwaambia mapema kabisa kuwa yeye...
27 Reactions
88 Replies
5K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Husein Ali Mwinyi amewaongoza viongozi, wanachama wa CCM na wananchi mbali mbali katika Mazishi ya aliyekuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais Samia amemteua Prof. Eleuther Anthony Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE). Uteuzi umeanza Juni 7 Pia amemteua Dkt. Neema Bhoke Mwita kuwa mjumbe wa Baraza la...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Kwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP. Miongoni mwa maagizo aliyotoa Rais kwenda kwa IGP...
20 Reactions
93 Replies
8K Views
Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa...
12 Reactions
210 Replies
19K Views
Watu ni wengi, wengi wengi mno sijajua kama tahadhari za Corona alizotangaza RC Makala kama zinazingatiwa ama la. Aisee watu ni wengi mno na wamebanana sana sijajua kama kikao cha kamati kuu ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom