Katibu Mkuu Mtendaji wa Umoja ya Posta Afrika, (PAPU) Ndugu Younous Djibrine ( alieketi kushoto) anayemaliza muda wake akibadilishana nyaraka Wakati wa Makabidhiano ya Ofisi kwa Katibu Mkuu...
Katika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia...
Inawezekana ugumu wa kuelewa hurithiwa. Coverage ya chanjo ya gonjwa la Covid Uingereza ni zaidi ya 70% . Angalia viwanjani kwenye premiere league England ni full. Watu hawavai barakoa tena...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi ya kazi kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kwa Jimbo la Konde.
Utaratibu huu ni tofauti na utaratibu wa awali ambapo Wasimamizi...
SHAKA AKUTANA NA KUNDI LA JAMII MPYA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la Jamii Mpya linalojishughulisha na...
Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel
Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti...
Mnamo mwaka 2019, Kansela wa Ujerumani alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na hayati Rais Magufuli na kumuahidi kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea kuliko vyote Afrika hapa nchini.
Ningependa...
Tumsifu Yesu Kristu IGP Simon Sirro!
IGP Sikufundishi kazi lakini naona kama unalazimishwa kumkamata Askofu Gwajima! Kwa maneno ya Mh Spika jana pale Bungeni ni kama alikerekwa na kauli yako...
Mim si Mwanasheria na sijui sharia na siamini kama sheria inaweza kutenda haki hasa hizi sheria za kigeni tulizorithi kutoka kwa wakoloni. Nilishanga malumbano ya jana mahakamani mimi sikuyaelewa...
Hivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa...
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka Mr learned counsel.
Mambo ni mazito maana kamanda kila anachofanya hakifanikiwi
Kibatala na wenzake kila Pingamizi wanaloweka linagonga mwamba.
Hii ni dalili mbaya...
Mimi binafsi siipendi CCM kabisa, Ila kuna baadhi ya viongozi kidogo naona wana afadhali mmojawapo ni Hussein Mwinyi.
Raisi Mwinyi ni kiongozi mzuri sana, lakini hii haifanyi yeye kutotenda...
Niliwahi kuamini kuwa Gerson Msigwa ni Mtu makini sana na ana hofu ya Mungu, kumbe sio nilivyofikiri.
Gerson Siasa za kuendelea kupata madaraka katika serikali zimekufanya usahau ulipotoka, tatizo...
Huyu mbunge ni wa nyumbani kwetu kabisa hapa ikungi na tangu tumchague kuwa mbunge wetu tulitegemea mengi sana kutoka kwake. Kwa tathimini niliyoifanya nilipokuwa natembelea maeneo yenye fursa za...
Baada ya mheshimiwa kusema tuhamie Burundi nilijipanga vizuri ili nihamie Burundi ila nikakumbuka kuna watu wamekimbia Burundi na kuja Tz
So naomba kuuliza kwa mlioko Burundi hali ya tozo ikoje...
Haya ni maoni yangu juu ya hii tozo ya uzalendo (Ingawaje hili jina limekaa fyongo sana, kwa nini unitoze kwa sababu mimi ni mzalendo?):
Serikali hasa wizara husika inapaswa kuweka...
Habari za asubuhi,
Kwa heshima aliyotupa Tundu Lissu kuja humu kujibu maswali, naomba kupitia hii mada tumsaidie kupanga Baraza la Mawaziri endapo atashinda.
1. Waziri wa mambo ya ndani. EZEKIEL...
Mambo baadhi alikuwa anakatisha njia ya mkato bila ya kupitia Bungeni, hivi mnajiuliza kwa nini ?
Bunge hili Msilitegemee kuwaletea maendeleo ndio maana Mheshimiwa Magufuli hakulipa umuhimu...
Msanii Kipanya ameamua kujikita kwenye kuwapigania kimawazo Watanzania.
Leo hii ameibuka na mustakabali wa mapambano ya kuhitaji katiba mpya baada ya kiongozi wa mpambano huo kufunguliwa...
Sweden grants 100bn/- for fund TASAF Phase II - IPP Media
https://www.ippmedia.com › news › sweden-grants-100...
Nimeona kama Nchi tumepokea Msaada kwa ajili ya Mpango wa kupunguza umasikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.