This is very funny! Eti mbunge Jerry Silaa kaomba kibali cha spika ili wajumbe kamati ya "kuhoji" wakamtwe na kuletwa ukumbini...!!

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
Hii inasomeka hivyo kwenye twitter account ya Joseph Mbilinyi a.k.a Mr Sugu
Screenshot_20210827-182858.png

Je hii ni kweli au kulikuwa na confusion ya tarehe na muda aliotakiwa kufika mbele ya kamati...?
IMG_20210827_182405.jpg

Inasemekana pia kamati ya Haki, Kinga na maadili ya bunge haikumpelekea wito rasmi wa barua mbunge huyu zaidi ya kusikia kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na polisi waka - act accordingly kumchukua na kumpeleka...

Kwa maelezo yake Jerry Silaa anadai yeye alimaliza maelezo yake yote ktk wito wa awali. Hajui huu wito usio rasmi wa pili wanataka akawaambie nini tena...

Pamoja na kuwa siyo rasmi, thank God, yeye kafika kwa wakati na hakukuta mtu ukumbini....

Swali ni; kama hii kitu ni kweli, ni game gani kamati hii inajaribu kuicheza..?

Kweli, kama Mr. Sugu asemavyo NI NGUMU KUHAMA BONGO kwa vituko hivi...!!
 
Mwanasiasa akitoa maagizo, we agiza bia, na yakitekelezwa, ameteleza au ameshauriwa vibaya.
 
Hii inasomeka hivyo kwenye twitter account ya Joseph Mbilinyi a.k.a Mr Sugu
View attachment 1911420
Je hii ni kweli au kulikuwa na confusion ya tarehe na muda aliotakiwa kufika mbele ya kamati...?
View attachment 1911426
Inasemekana pia kamati ya Haki, Kinga na maadili ya mbunge haikumpelekea wito rasmi wa barua mbunge huyu kwani kwa maelezo yake Jerry Silaa alimaliza maelezo yake yote ktk wito wa awali...

Kweli, kama Mr. Sugu asemavyo NI NGUMU KUHAMA BONGO kwa vituko hivi...!!
Tuache utani jamani hii nchi inaelekea wapi?
 
Walisema saa nne

Ameenda saa nne hawapo

Lengo Lao baada ya kutompa taarifa rasmi ilikuwa tu wamdhalilishe

Bahati nzuri ushetani wao umebainika.
 
Back
Top Bottom