Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,484
- 30,160
Tumewasikia hao mawakili wa Serikali wakikata rufaa kwenye kesi ya Mbowe, iliyopo Mahakama Kuu, wakidai kuwa hao mawakili wa upande wa utetezi, eti hawakufuata utaratibu Katika kufungua maombi hayo!
Imekuwa ni kawaida kwa hao mawakili wa serikali kufanya hiyo ninayoiita "delaying tactics" kwenye kesi ya Mbowe, kwani wanafahamu fika kuwa "at the end of the day" hiyo kesi ya kubambika, itatupiliwa mbali.
Hata hivyo niwaulize hao mawakili wa Serikali, hivi wanapata faida gani, kwa kumuona Mbowe, akiendelea kuteseka kwa kukaa gerezani kwa kipindi kirefu hivyo??
Hao mawakili wa serikali wanajua fika kuwa hiyo kesi waliyombambika nayo Mbowe ya ugaidi, haina dhamana, lakini pia wanajua kwa kwa mwenendo wa kesi hiyo unavyoendelea wataangukia pua huko mbeleni
Najaribu kufikiria kama Mbowe angelikuwa ni wao, wasingeliyaona hayo maumivu makubwa anayopitia Mbowe, kwa kusota gerezani kwa kipindi kirefu kwa kesi ya kubambika??
Ni vizuri kwa hao mawakili wa serikali wakawa na "sympathy" kwa Mbowe, ikiwa "kosa" tu la kudai Katiba mpya, ambalo ni hitaji la Umma wa watanzania, ndiyo inayompa mateso yote hayo!
Refer hit of the Nation wa Rais wa kitaa, ya msanii Ney wa Mitego