Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, ACP Jumanne Murilo limekiri kuwashikilia wanachama wa BAWACHA waliokuwa wanafanya mazoezi ya viungo(jogging) na mwanahabari...
Nipo katika hatua ya mwisho sasa kufanya maamuzi magumu kama hamtaniunga mkono basi nitaandamana peke angu potelea pote.
Ninafadhaika sana kuona nchi yenye maliasili zakutosha lakini tangu uhuru...
Baada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi?
Je, kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi...
"Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu"
Mithali 18:18
Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya...
09 September 2021
SABAYA ASOMEWA MAKOSA MAPYA MATANO "ALICHUKUA MILIONI 90 KWA MFANYABIASHARA"
Aliyekuwa mkuuu wa wilaya ya hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamesomewa shtaka la uhujumu...
Kuna mambo lazima tuseme ukweli, hata kama ni ukata lakini si kwa hali hii. Mitandao yote ya simu wamepandisha gharama za bando za internet bila hata kujulisha wateja wake, nini kimetokea ikiwa ni...
Mkuu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) Ally Hapi anatoa Ahadi za Tsh Milioni 10 na Kuzigawa hovyo kwa Wachezaji Wapuuzi wa Biashara United FC ili waifunge Simba SC wakati pale pale Mjini tena Jirani na...
Makamanda, tukubali ukweli kuwa pamoja na wito wa kuandamana kutolewa mara nyingi na viongozi wa CHADEMA, hakuna iliyofanikiwa. Tunajilisha upepo kufikiri kuwa tarehe 5 Agosti itakuwa tofauti.
Ni...
Kama hapo juu panavyo jieleza. Nawashauri Chadema wawe Kama Chama Afrika Kusini kilipo weka kambi hapa Tanzania kupambana na Makaburu.
Pia nawao watafute nje ya NCHI mahali kupambana na madhalimu...
Amesikika Profesa maarufu wa Chuo Kikuu cha Dar Issa Shivji akiongelea namna wafanyabiashara wakishakuwa wametajirika wanavyovyamia masuala ya kisiasa na kitaalam. Labda ni baada ya kusoma majina...
Hongera waziri wa nishati Mh. January Makamba kwa kuanza kuifufua sekta ya gesi asilia Tanzania.
Kwani tumeanza kuona jitihada zako za kuirudisha kwenye mstari sekta hii. Umeanza kufanya...
Habarini Bavicha na Chadema kwa Ujumla
Leo napenda kuwashauri jambo la kuwasaidia kutokana na trend yenu ya kuanzisha vi thread humu kuongelea kesi ya Mbowe na kuleta nadharia zenu kuhusu watu...
Hili kundi ni wanaCcm ambao wanajifanya wanaakili nyingi za kutuibia watanzania.
Huko nyuma wametuibaia sana kwa kila namna, kwa kukwepa kodi, kukwapua pesa za umma na kujilimbikizia mali. Hawa...
Niliandika tarehe 13/09/2021 nayo itapita wamachinga watakuwapo, Leo tarehe 13/09/2021 Rais akiongelea kuhusu wamachinga alisema hataki kuona nguvu yoyote ikitumika kuwaondoa wamachinga, kauli hii...
RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII.
Na, Robert Heriel.
Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo...
Utoaji wa kafara ni sawala la kiasili tangia jadi na jadi, limekuwa likifanyika katika kila aina ya jambo linapoanzishwa au kipindi kipya, hakuna jambo lolote linaanzishwaga bila kafara. Hata...
RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KULIPA FEDHA KUEPUKA UTEKELEZAJI WA HUKUMU YA MAHAKAMA ARDHI KIWANDA CHA WAZO.
- Asema serikali haitoendelea kuwatetea Watakaokaidi kulipa Na hukumu ya mahakama Kuu...
kwa mara ya kwanza nilitambua uwepo wa dhana hii baada ya kusoma riwaya mbalimbali zinazohusu mambo ya kijasusi yaliyorandana na vita baridi kati ya mataifa ya magharibi na dola ya USSR.mimi...
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.
Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika...