Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kiwango kipi cha Uhuru kinakubalika na watawala kisiwe Uchochezi? Kama Taifa tumetoa Uhuru (Demokrasia) pana sana kwenye sekta ya uchumi hasa Ubinafsishaji wa bei ya kutupwa ya mali na...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kwenda New York Nchini Marekani kesho Septemba 18, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akitarajiwa kuhutubia Baraza hilo...
14 Reactions
98 Replies
9K Views
‪Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa‬ ‪ ‪Amesema, "Bado tunataabika na...
5 Reactions
70 Replies
5K Views
Ni ushauri tu katika kuongeza mapato ya serikali. Kila mzigo wa jezi unapoingia kutoka China basi kila jezi itozwe tsh 5000 kama kodi ya bango. Serikali inaweza kutumia hii kama mbadala wa tozo...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
BARUA YA WAZI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA MAHAKAMA YA MWANZO TANDAHIMBA ICHUNGUZWE Kwako MH jaji mkuu Miongoni mwa Mambo yanayokwamisha HAKI za watanzania ni kutokana na baadhi ya watumishi wa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kinachonishangaza ni kuona ndugu yangu huyu ambaye naamini ni msomi wa sheria leo anaamua kugeuka makusudi mbele ya umma wa watanzania bila hata kuogopa na kuzingatia maadili ya kazi yake. Nataka...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Proceed by downloading the attached doc
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inawezekana ningekuwa na chuki kiasi kikubwa sana kutokana na mambo mbalimbali ambayo aliyatenda au nena Mh. Rais alipokuwa Madarakani. Kwa njia moja au nyingine yalitesa na kuumiza watu wangu wa...
33 Reactions
49 Replies
6K Views
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa...
45 Reactions
259 Replies
19K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema uimara wa Katiba ya Tanzania umeleta amani, kupendana, kushirikiana na kuwepo kwa maendeleo hivyo hakuna umuhimu wa kuwepo kwa mchakato wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Samia hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia mataifa ya Ulaya na Marekani kuwa Rais...
31 Reactions
107 Replies
9K Views
Unaweza kushangaa kwa nini nimepost hapa kwenye jukwaa la siasa.. Lakini huu ni uhujumu uchumi.. Juzi nikiwa Mwenge sokoni mtu wa parking alinielekeza vizuri sehemu ya kupaki gari. Nikapaki...
10 Reactions
39 Replies
4K Views
Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani. Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii. Kiongozi dikteta...
16 Reactions
77 Replies
6K Views
Majaliwa ametoa maelekezo hayo leo Alhamisi Septemba 23, 2021 Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha pombe kali cha Serengeti. Amesema mawaziri hao wanapaswa kujipanga vizuri...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwanini ninapofikiria kwa kina kuhusu barua feki iliyofojiwa moja kwa moja naihusisha na uwezekano wa kuwa Mrisho Gambo na genge lake wanaweza kuwa wamehusika tofauti na tunavyofikiria kuwa yeye...
9 Reactions
46 Replies
5K Views
Du....! Ukitaka kuyajua maovu yafanywayo na viongozi wetu watawala....jaribu sana kusoma mitandao ya nje ya nchi kwani ukiwa tz mambo machafu haya huwezi yajua....(hata wikileaks ni mtandao wa...
8 Reactions
86 Replies
13K Views
Hakuna akaunti yoyote ya mitandao ya kijamii inayomilikiwa na serikali, Wana CCM na Watumishi wa serikali ambayo ipo active kwenye mijadala na inayopata usomaji na uchanguaji wenye afya. Wakati...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Mafupi marefu, awamu ya JPM kulikuwa na wafia upingaji na wanamatusi wa mhimili wa serikali kupitia mitandao ya kijamii wakiongozwa na mchambuzi kigogo 2014 kule Tweeter na Mange mchambaji kule...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Sio kweli kwamba kelele za kutaka kuusafisha mji zinazotolewa na vijana , viongozi wa CHADEMA mitandaoni ni hoja za kiungwa la hasha zimejaa hila na uchonganishi na hapa serkali ya mama Samia...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Waungwana, nawasalimu! Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa...
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Back
Top Bottom