Ushauri wangu kwa uongozi wa CHADEMA

IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Feb 27, 2021
484
541
Kama hapo juu panavyo jieleza. Nawashauri Chadema wawe Kama Chama Afrika Kusini kilipo weka kambi hapa Tanzania kupambana na Makaburu.

Pia nawao watafute nje ya NCHI mahali kupambana na madhalimu WA CCM. Maana Kwa hapa ndani wamewekewa vikwazo vingi na ilihali NI haki Yao.

Pia NASHAURI Kuhakikisha ndani ya chama chenu nikuwafutikia MBALI wasaliti WOTE.Na wasiruhusu yeyote anayetokea CCM kujiunga nao.
 
Ngoja mke wa Amsterdam aje
Tumekusikia mke wa Polepole

38A64AC1-5B0F-44B0-9412-2558E9598C8D.jpeg
 
Back
Top Bottom