Je, Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia umeruhusu Upuuzi huu wa Kuchezea Pesa unaofanywa na RC wa Mara Hapi na Mbunge Mavunde wa Dodoma?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Mkuu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) Ally Hapi anatoa Ahadi za Tsh Milioni 10 na Kuzigawa hovyo kwa Wachezaji Wapuuzi wa Biashara United FC ili waifunge Simba SC wakati pale pale Mjini tena Jirani na Ofisi yake kuna Shule Mbili hazina Madawati na Watoto wanaandikia wakiwa Sakafuni.

Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde ( CCM ) bila hata Aibu ( Haya ) anatoa Ahadi ya Tsh Milioni 15 wakishinda na Tsh Milioni 10 wakitoka Sare au Suluhu na Simba SC kwa Wachezaji Wahuni na Magaidi wa Dodoma Jiji FC wakati 65% ya Wakazi wa Jimbo lake hawana Maji na Vyoo vyao Vimejaa mpaka wanakimbilia Kujisaidia Haja Kubwa ( Kunya ) katika Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM ) au katika Hostels za Wanafunzi hao.

Mama ( Rais ) fukuza huyo Ally Hapi kama Mkuu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) na ikikupendeza pia ukijiandaa Kugombea Urais 2025 achana rasmi na huyu Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde kwani hafai kuwa Mbunge na ataigharimu CCM yako ( yetu ) kwakuwa hajali Wananchi bali anawajali zaidi Wachezaji Makatili wa Klabu yake ya Dodoma Jiji FC tu
 
Mzee

BinaAdamu ni sooo

JB MPIANA ni hatari.....

Nilikuwa nakuona kama vile unakosea kumsifia

Katika muda wangu wote niliojipatia kumsikilizia

BINAADAMU, nimekuja kuwa line moja na wewe

Ni soo.....

Afandeeee...!
 
Mleta mada ni MPUMBAVU SANA, hivi wakuu wa mikoa hawana savings kwenye akaunti zao!?... Je hawaruhusiwi kushabikia timu za mikoani kwao!?.. kwanini wakiahidi kutoa milioni kadhaa udhani ni pesa za umma!???.. Kwako milioni 10 au 15 ni pesa nyingi sanaaaaa!?Unaonekana una shida sana,wivu, na akili ya kizamani sana, bora kuficha ujinga na upumbavu wako.
 
Kuna mahali umeandika wananchi wanaenda kujisaidia UDOM naomba niamini habari hii ni ya kubumba au ya kijiweni,mkuu unafaham vizuri jiografia ya hiko chuo kiko mbali sana na hao wananchi (labda ya Coed)...
Kingine punguza mihemko kuita wachezaji magaidi/Wapuuzi unakosea sana boss wangu....Una uhakika gan n fedha za umma???
 
Huyu jamaa inaonekana ni maskini sana na hajawahi shika hata milioni 5 mkononi, na hajui wakuu wa mikoa wanalipwaje na marupurupu yao yapoje., Inaonekana siku akijua atashika bunduki
 
Huna akili ndo maana unaanzisha thread za kuonea wivu wanaume wenzako waliopambana wakapata ukuu wa mkoa. Sina sababu ya kukutukania mama yako hapa kama ulivyofanya wewe kwangu sababu mama yako hausiki hapa. Pengine yupo pengine kashatangulia mbele za haki ila Kama una akili utakuwa umenielewa Ila kama ni MPUMBAVU kama nilivyodhani utaendelea kuleta matusi ya wazazi..
Sindano imeshakuingia vilivyo. Hopeless!
 
Nyie makolo mnashau Sana..

Huyu ni Paul makonda akiwapa KMC milioni 20 baada ya kuwafunga yanga hapa aliwaahid kabla ya mechi
FB_IMG_16331270331001679.jpg
 
Mkuu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) Ally Hapi anatoa Ahadi za Tsh Milioni 10 na Kuzigawa hovyo kwa Wachezaji Wapuuzi wa Biashara United FC ili waifunge Simba SC wakati pale pale Mjini tena Jirani na Ofisi yake kuna Shule Mbili hazina Madawati na Watoto wanaandikia wakiwa Sakafuni.

Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde ( CCM ) bila hata Aibu ( Haya ) anatoa Ahadi ya Tsh Milioni 15 wakishinda na Tsh Milioni 10 wakitoka Sare au Suluhu na Simba SC kwa Wachezaji Wahuni na Magaidi wa Dodoma Jiji FC wakati 65% ya Wakazi wa Jimbo lake hawana Maji na Vyoo vyao Vimejaa mpaka wanakimbilia Kujisaidia Haja Kubwa ( Kunya ) katika Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM ) au katika Hostels za Wanafunzi hao.

Mama ( Rais ) fukuza huyo Ally Hapi kama Mkuu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) na ikikupendeza pia ukijiandaa Kugombea Urais 2025 achana rasmi na huyu Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde kwani hafai kuwa Mbunge na ataigharimu CCM yako ( yetu ) kwakuwa hajali Wananchi bali anawajali zaidi Wachezaji Makatili wa Klabu yake ya Dodoma Jiji FC tu
Tatizo sio pesa za umma, tatizo ni wewe kuwa shabiki wa Simba, na hilo linakufanya uogope.
 
Mleta mada ni MPUMBAVU SANA, hivi wakuu wa mikoa hawana savings kwenye akaunti zao!?... Je hawaruhusiwi kushabikia timu za mikoani kwao!?.. kwanini wakiahidi kutoa milioni kadhaa udhani ni pesa za umma!???.. Kwako milioni 10 au 15 ni pesa nyingi sanaaaaa!?Unaonekana una shida sana,wivu, na akili ya kizamani sana, bora kuficha ujinga na upumbavu wako.

Ulichoandika wewe ni ujinga na upumbafu wa kiwango cha SGR
 
Mkuu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) Ally Hapi anatoa Ahadi za Tsh Milioni 10 na Kuzigawa hovyo kwa Wachezaji Wapuuzi wa Biashara United FC ili waifunge Simba SC wakati pale pale Mjini tena Jirani na Ofisi yake kuna Shule Mbili hazina Madawati na Watoto wanaandikia wakiwa Sakafuni.

Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde ( CCM ) bila hata Aibu ( Haya ) anatoa Ahadi ya Tsh Milioni 15 wakishinda na Tsh Milioni 10 wakitoka Sare au Suluhu na Simba SC kwa Wachezaji Wahuni na Magaidi wa Dodoma Jiji FC wakati 65% ya Wakazi wa Jimbo lake hawana Maji na Vyoo vyao Vimejaa mpaka wanakimbilia Kujisaidia Haja Kubwa ( Kunya ) katika Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM ) au katika Hostels za Wanafunzi hao.

Mama ( Rais ) fukuza huyo Ally Hapi kama Mkuu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) na ikikupendeza pia ukijiandaa Kugombea Urais 2025 achana rasmi na huyu Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde kwani hafai kuwa Mbunge na ataigharimu CCM yako ( yetu ) kwakuwa hajali Wananchi bali anawajali zaidi Wachezaji Makatili wa Klabu yake ya Dodoma Jiji FC tu
Inawezekana TFF imeruhusu beting'i (kamari) kwenye mpira japo kama walifanya hayo ni kosa kwa mujibu wa FIFA.
 
Kwani wanatoa fedha za umma au za mishahara yao? Kama ni umma washughulikiwe ila kama ni zao wenyewe haina shida huwezi mpangia mtu matumizi ya fedha yake.
Rekebisha uliyoyaandika,viongozi ni lazima matumizi ya pesa zao yajulikane,ndiyo maana huwa wanafanya declaration ya mali zao.
Tahadhari.....600,000/= inaweza tumika vivyo sivyo.
 
Back
Top Bottom