Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi ametangaza kukutana na Jeshi la Polisi huko Dodoma kwa lengo la kupanga ajenda za kikao dhidi vyama vya siasa, ambacho anapanga kukiitisha. Maswali ni...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Ilikuwa mwaka 2018 serikali ya JMT kupitia rais wa wakati huo JPM alitoa kama si kuzindua vitambulisho kwa wafanyabishara ndogondogo upande wa bara ambapo lawama mbalimbali ziliibuka na hata hapa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari gani Wakuu ninaamini mpo vyema kabisa. Naomba Moja kwa moja niende kwenye mada Tanzania ni Taifa lenye bahati kubwa. Wazo la bandari ya Bagamoyo ni la kipekee na Mataifa Mengi yangeona...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za...
22 Reactions
184 Replies
19K Views
Nyanja: Demokrasia/Utawala Bora Ninaandika andiko hii nikijuwa wazi kabisa kuwa wapo watakaopingana nami jambo ambalo ni kawaida kabisa kwa ufahamu wangu, sijui wa kwao, lakini pia raha ya...
0 Reactions
4 Replies
946 Views
Tofauti na Tanzania nchi gani nyingine duniani ambazo zinajiita za kidemokrasia ambapo vyama vya siasa vya upinzani kikatiba na kisheria vinatakiwa kufanya mikutano ya ndani tu baada ya kipindi...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
RAIS SAMIA KUHUTUBIA ULIMWENGU KUPITIA BARANa Bwanku M Bwanku. Mabibi na Mabwana, kesho Alhamisi Septemba 23, 2021 Mwanamke wa shoka Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia ulimwengu kupitia Mkutano...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo...
46 Reactions
249 Replies
20K Views
Jamaa kaja na gundu ile mbaya Toka nianze kuishi Rukwa mwaka 2019 umeme haujawahi kukatika kwa siku mara kumi au kupotea kabisa kwa masaa zaidi ya 24. Ila Toka Makamba awe Waziri wa nishati umeme...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wilaya ya Chato iliyopo mkoani Geita ni Tanzania. Kwahivyo, itakuwa furaha ya kila mzalendo wa Tanzania kuona maendeleo ya Chato kama itakavyokuwa kwa maendeleo ya sehemu nyingine ya Tanzania...
16 Reactions
47 Replies
5K Views
Nimesikia kuwa PM Majaliwa amewaagiza mawaziri wa kilimo, biashara na mwingine gani sijui, wakae na kuja na mpango kwaajili ya kilimo. Nawaza sijui watakuja na kaulimbiu gani. Hii ni historia fupi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nyerere: Serikali corrupt duniani kote hazikusanyi kodi hubaki kufukuzana na wamachinga barabarani hata Italy pale wana mzigo wa madeni. Kumbukumbu ya miaka 22 baada ya kifo cha Nyerere Chanzo: ITV
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Meya wa Jiji la Arusha amesema uchumi wa jiji hilo sasa umeimarika sana na wananchi wategemee mambo mazuri zaidi. Meya amesema baada ya Rais Samia kuzindua chanjo ya Corona Watalii wanamiminika...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Mh. Waziri pole na kazi. Sisi wakazi wa wilaya ya Mpwapwa tuna kilio kikubwa Sana. Mpwapwa ni moja Kati ya wilaya Kongwe kabisa katika nchi hi. Ni wilaya yenye umri was zaidi ya miaka 60 ila kilio...
1 Reactions
2 Replies
776 Views
🔥 NI LEO! RAIS SAMIA KUHUTUBIA DUNIA KUPITIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA 🔥. Mabibi na Mabwana, leo Alhamisi Septemba 23, 2021 kuanzia saa 3 usiku majira ya Afrika Mashariki, Mwanamke wa shoka...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Rejea hotuba ya Rais wa Marekani kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Taifa, kwa ujumla, Dunia ipo na wapenda na wapigania demokrasia, haki na uhuru. Tatizo letu Watanzania ni kwamba hatujaonesha kwa...
3 Reactions
7 Replies
706 Views
Mawaziri wote kwenye viapo vyao huwa wanaapa kuhifadhi, kuitetea na kuilinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kiapo hicho ni sheria na hupaswa kufuatwa kwa mtu yeyote anayepewa dhamana...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
VIKAO vimeanza tuwasikilize viongozi wetu wataongea nini cha muhimu
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa pamoja kati ya Wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani ambapo amesema kwa sasa kiwango cha Biashara ni kidogo kulinganisha na fursa zilizopo Amesema...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi Usipange kukosa kufuatilia Mtaarifu mwenzako
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom