Nasema hivo kwa sababu barabara ya kuanzia Nyakanzi, Kakonko, Kibondo, Kasulu inajengwa na imeikamilika baadhi ya maeneo ila eneo la Kibondo mpaka Kasulu bado mkandarasi naona uwezo wake mdogo...
Jopo la ulinzi wa Freeman Mbowe limejiunga CCM huku mmojawapo akiwa mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM. Tukisema CCM ni mfumo wa kisiasa nchini kuna baadhi ya watu hawaelewi!
Kuna ''wajinga''...
CHADEMA wamejipa wenyewe nafasi ya kutuletea mwenendo wa kesi wakati ikiendelea kwenye kesi inayo mhusu Mbowe. Ila nimegundua kitu cha ajabu sana kuwa uwakilishi wa mawakilisho na maswali ya...
Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia.
Wananchi hao wamesema uamuzi wa waziri...
1. Kwanini Mbowe ameshambuliwa saa chache tu baada ya Lissu kutangaza nia ya kugombea urais? kwamba Timu Lissu wanaamini Mbowe ni kikwazo cha kupata nafasi ya kupeperusha bendera ya Chadema...
Mkuu wa wilaya Mh.Nikkj wa Pili ameweza kushawishi mabalozi wa shelisheli na Canada kwenda Kisarawe na kuwekeza.
Hii ni zaidi ya hatua, Mh. Nikki wa Pili ameonyesha njia na uwezo mkubwa kioungozi...
Nenda Mh.William Tate Olenasha , Pumzika Salama Olenasha wajibu wako umetimiza Taifa lako umelisogeza.
Nilipata kukufahamu kwa ukaribu sana ukiwa naibu waziri wa Elimu 2017-2020.Ni kipindi...
Samia amesema anaunga mkono chanjo ya nyumba kwa nyumba inayopendekezwa na mkuu wa mkoa wa mbeya.
Swali hizo cost zinazotumika kulazimisha watu wachanjwe zinatoka wapi? Kwanini pesa zisielekezwe...
Mwenyekiti CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe, amepata mawakili wapya kumwakilisha katika kesi inayomkabili ya uhujumu uchumi na ugaidi. Mbowe alikamatwa mwezi Julai mjini Mwanza na sasa atawakilishwa na...
Kila mtu anajionea jinsi lile kundi ambalo lilinyooshewa vidole awamu ya nne likirudi KWA kasi ndani ya serikali,na wanawekana taratbu KWA kuamini watu hawana akili bado wapo enzi za nyerere,Tena...
Kupitia hii kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake 3, ninajifunza mengi sana. Sasa kumbe waliokua wabishi na wasiovumilia mateso haya waliyoyatoa kina Goodluck kuna watu walikua...
Kama ndoto eti kwa mara nyingine miamba iliyokuwa ikichipuka kwa kasi kuelekea kwenye kilele cha kufanikiwa kisiasa ipo nje tena kwenye mfumo.Si Wajumbe wa baraza la mawaziri tena.Wametoswa.
Sote...
Waziri wa Tamisemi amemtaka mkurugenzi wa Bumbuli kujitsthmini yeye mwenyewe kama bado anafaa kuendelea na majukumu yake.
Waziri Ummy amesema Bumbuli inaongoza kwa ubadhirifu wa fedha za umma na...
Msemaji Mkuu wa Serikali ameongea na Waandishi wa habari muda huu na kueleza kuhusu ratiba ya kuagwa kwa mwili wa hayati rais John Pombe Magufuli.
Mikoa ambayo ipo katika ratiba ya kuuaga mwili...
Jaji ameingia Mahakamani.
Kesi Na. 16 ya mwaka 2021 inatajwa
Kesi namba 16 ya 2021, jamhuri dhidi ya Khalfan Bwire, Adam Hassana Kasekwa (Adamoo), Mohammed Abdalah Ling'wenya na Freeman Aikael...
CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI
Dar es Salaam
25 Septemba, 2021
Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu...
Mhe, Zitto Kabwe (MB) atakuwa na Press Conference kesho Oktoba 15, mida ya saa 6 adhuhuri Cortyard Hotel - Dar es Salaam.
Press Conference hii itahusiana na Mgawo wa Umeme unaoendelea. Kwa...
September 12, 2016 Mahakama ya Usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji iliwasilisha rasmi maamuzi yake Kwa pande zilizokuwa kwenye mgogoro kuhusu mradi wa kufua umeme Nchini, IPTL. Mahakama hiyo...
ELIMU NA SIFA
Chuo Kikuu cha Sunderland – Uingereza
Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara (MBA)
Chuo Kikuu cha London Metropolitan – Uingereza
Shahada ya BA (Hons), Benki, Uchumi na Sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.