Rais Samia umiza akili kuunda serikali yako mpya kabisa achana na hayo magenge

fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
2,165
3,655
Kila mtu anajionea jinsi lile kundi ambalo lilinyooshewa vidole awamu ya nne likirudi KWA kasi ndani ya serikali,na wanawekana taratbu KWA kuamini watu hawana akili bado wapo enzi za nyerere,Tena wengine walichafuka KWA tuhuma kubwa humu mitandaoni hata leo unaweza andika na kuletewa tuhuma kamili.

Ajabu watu wanafurahi na kujenga hoja nyepesi sana,eti watu wale waliotuhumiwa ufisadi na wengine kwenda jela,eti hawajapelekwa mahakamani muda wote so Wana haki kuachiwa,Hivi mnawajua vizuri wezi wa kalamu wanavyojipanga kimbinu in any case wasijekukamatwa kisheria?(Wenyewe wanaita uwizi wa kisomi).

Now wameachiwa hata walioonyesha dalili za wazi kuna michezo ilifanyika cc Rugemalila aliyekataa kurudisha fedha mpaka viongozi aliowapa hela nao warudishe.

Hivi kweli mama leo wakukutetea na kukusifia ni kina; TIBAIJUKA,DIALLO,CHENGE,RIZI,NAPE na wenye skendo nyinginyingi!

Leo hii kila mtu anajua wizara zitaendelea kubadilishwa na kuchomekwa wale mabwana/genge lile taratibu taratibu.

Kwako mama samia,wewe ndiyo Rais wa nchi hii KWA mujibu wa katiba,Wewe una uwezo mkubwa kutengeneza historia yako kama Rais kamili na mwenye kujijenga binafsi huku ukiepuka makando kando ya watangulizi wako,Mama huku mtaani ukweli watu imani imewatoka sana kulingana na muundo wa serikali yako hii Sasa ambayo waliotuhumiwa Kabla ya mtangulizi wako na hata baada yake kuingia madarakani wamekua ndo image yako Sasa.

Mama utaendelea kuharbu image yako KWA wananchi Hawa ambao ni wazi hata ukiwastua toka usingizini na kuwaomba wakupe list wanakupa majina ya hilo genge ambalo limeanza kuteuana na kusifia KWA nguvu kubwa.

Sioni mwisho mzuri wa uongozi wako maana hata KWA sura tu raia wanaonekana huenda wasisubiri tena uchaguzi bali wataweka historia yao.

Ushauri wangu kwako twende taratbu mama,umiza akili kuunda serikali yako mpyaaaaa kabisaa achana na hayo magenge,watakupa tabu ya kuwarudia wananchi.

Nakushauri KWA kuzingatia yanayoendelea TZ hii,Ahsante.
 
Shenzi, Banzai and Ed

1632809294435.png
 
Mama samia,muda wako utapita ila historia yako haitojidanganya kama bwana yule wa awamu za escrow na richmond.
Nakuonea huruma kama mama na huenda usije waangusha kina mama wenzio ktk future kukosa kuaminiwa tena.
JK alikuwa mtu mzuri huruma yake kwa jamaa zake ndo ilimponza maana ndo walimuharibia,Mfano Chenge alikuwa waziri wa ujenzi,.
Karamagi Nishati
Rostam alipewa fuko lote la CCM.
Mama uwe makini na hao akina Makamba mwenye pozi Kama mtu wa busara kumbe hola.
 
Kila mtu anajionea jinsi lile kundi ambalo lilinyooshewa vidole awamu ya nne likirudi KWA kasi ndani ya serikali,na wanawekana taratbu KWA kuamini watu hawana akili bado wapo enzi za nyerere,Tena wengine walichafuka KWA tuhuma kubwa humu mitandaoni hata leo unaweza andika na kuletewa tuhuma kamili.

Ajabu watu wanafurahi na kujenga hoja nyepesi sana,eti watu wale waliotuhumiwa ufisadi na wengine kwenda jela,eti hawajapelekwa mahakamani muda wote so Wana haki kuachiwa,Hivi mnawajua vizuri wezi wa kalamu wanavyojipanga kimbinu in any case wasijekukamatwa kisheria?(Wenyewe wanaita uwizi wa kisomi).

Now wameachiwa hata walioonyesha dalili za wazi kuna michezo ilifanyika cc Rugemalila aliyekataa kurudisha fedha mpaka viongozi aliowapa hela nao warudishe.

Hivi kweli mama leo wakukutetea na kukusifia ni kina; TIBAIJUKA,DIALLO,CHENGE,RIZI,NAPE na wenye skendo nyinginyingi!

Leo hii kila mtu anajua wizara zitaendelea kubadilishwa na kuchomekwa wale mabwana/genge lile taratibu taratibu.

Kwako mama samia,wewe ndiyo Rais wa nchi hii KWA mujibu wa katiba,Wewe una uwezo mkubwa kutengeneza historia yako kama Rais kamili na mwenye kujijenga binafsi huku ukiepuka makando kando ya watangulizi wako,Mama huku mtaani ukweli watu imani imewatoka sana kulingana na muundo wa serikali yako hii Sasa ambayo waliotuhumiwa Kabla ya mtangulizi wako na hata baada yake kuingia madarakani wamekua ndo image yako Sasa.

Mama utaendelea kuharbu image yako KWA wananchi Hawa ambao ni wazi hata ukiwastua toka usingizini na kuwaomba wakupe list wanakupa majina ya hilo genge ambalo limeanza kuteuana na kusifia KWA nguvu kubwa.

Sioni mwisho mzuri wa uongozi wako maana hata KWA sura tu raia wanaonekana huenda wasubiri tena uchaguzi bali wataweka historia yao.

Ushauri wangu kwako twende taratbu mama,umiza akili kuunda serikali yako mpyaaaaa kabisaa achana na hayo magenge,watakupa tabu ya kuwarudia wananchi.

Nakushauri KWA kuzingatia yanayoendelea TZ hii,Ahsante.
Huyo katibu mkuu wako kiongozi anakuchomekea watu. Huwezi kukwepa kama ndio teuzi zako. Eti kina mchechu majaa maharage chande sijui nani mfuru watu wa awamu ya 4 wapigaji waliyomwambia jk hela za epa na zile za tanesco benki kuu sio za serikali ziliwe tu. Kwani nchi hii hakuna wengine wanafaa uwaziri au wakurugenzi hadi walewale kina mwanaidi majaa na kina mafuru na uwaziri januari?
 
Wasukuma mlijua nchi mshaichukua mazima.

Mkaanza kuwatenga baadhi ya watu tokea kanda fulani kwenye fursa.

Bila ya aibu mungu wenu aliyetwaliwa akawaambia kabisa watulie sasa sio zamu yao kupelekewa maendeleo.

Ni zamu ya kanda pendwa kanda ya ziwa.

Hamkuishia hapo mkaanza kuingilia na kupekenyua mpaka faragha za watu kujua wanaongea nini.

Now mnapukutishwa kwenye ulaji mnaanza kulialia na kujifanya wazalendo kwa sana.

Tulieni dawa iwaingie.
 
Mawazo ya kimaskini sana haya,Nimezaliwa levolosi arusha nimekulia mbauda/majengo my home ni Arusha kuanzia babu wa mababuuuuu.

Ujinga wenu si Kila mtu anao na ndo Mana Kanda hii inaonyeshewa vidole KWA ubaguzi wa Kanda zingine.

Mada unakwepa unaleta upuuzi wako na siyo wewe ulikesha kusubiri report za richmond,epa,escrow na kupandisha jazba?Au ulikua unanuka maziwa enzi hizo.

Hawa wote Wana kashfa kila kona au unajitia upofu,Kuna watu humu wanakashfa Tangu 2010 nao inasemaje?
 
Lini unaenda kuzuru kaburi la mwendazake?
 
Heri hilo kundi lirudi lina faida maana linakula na wengi hadi hela zinafika mitaani,sio lile kundi lenu wachache hela zilipotea kabisa mtaani.
 
Mawazo ya kimaskini sana haya,Nimezaliwa levolosi arusha nimekulia mbauda/majengo my home ni Arusha kuanzia babu wa mababuuuuu.

Ujinga wenu si Kila mtu anao na ndo Mana Kanda hii inaonyeshewa vidole KWA ubaguzi wa Kanda zingine.

Mada unakwepa unaleta upuuzi wako na siyo wewe ulikesha kusubiri report za richmond,epa,escrow na kupandisha jazba?Au ulikua unanuka maziwa enzi hizo.

Hawa wote Wana kashfa kila kona au unajitia upofu,Kuna watu humu wanakashfa Tangu 2010 nao inasemaje?
Wewe ni zwazwa
 
Kunywa sumu umfuate Kayafa kuzimu
 
Sawa mkuu,maana wewe ni mzungu wa ulaya huusiki na nchi hii,sisi wananchi wavuja jasho hatutokoma kukemea maana amani ya nchi hii inalindwa na wasema kweli tu na si wanafiki

Kipindi dhalimu anateka na kuua watu, huku akiwapa ulaji sukuma gang mbona hukukemea ule uhuni? Saa hii mnapigwa chini na msoga line mnaanza kujifanya mlikuwa na wananchi. Mngekuwa na wananchi mngejigeuza kuwa majizi ya kura? Hakuna mtu anawaunga mkono majizi ya Msoga line, wala nyie majizi na makatili ya sukuma gang.
 
Wapiga ramli mmeanza. Acheni mheshimiwa Rais SSH apige kazi kwa welezi wa serikali yake.
 
Kila mtu anajionea jinsi lile kundi ambalo lilinyooshewa vidole awamu ya nne likirudi KWA kasi ndani ya serikali,na wanawekana taratbu KWA kuamini watu hawana akili bado wapo enzi za nyerere,Tena wengine walichafuka KWA tuhuma kubwa humu mitandaoni hata leo unaweza andika na kuletewa tuhuma kamili.

Ajabu watu wanafurahi na kujenga hoja nyepesi sana,eti watu wale waliotuhumiwa ufisadi na wengine kwenda jela,eti hawajapelekwa mahakamani muda wote so Wana haki kuachiwa,Hivi mnawajua vizuri wezi wa kalamu wanavyojipanga kimbinu in any case wasijekukamatwa kisheria?(Wenyewe wanaita uwizi wa kisomi).

Now wameachiwa hata walioonyesha dalili za wazi kuna michezo ilifanyika cc Rugemalila aliyekataa kurudisha fedha mpaka viongozi aliowapa hela nao warudishe.

Hivi kweli mama leo wakukutetea na kukusifia ni kina; TIBAIJUKA,DIALLO,CHENGE,RIZI,NAPE na wenye skendo nyinginyingi!

Leo hii kila mtu anajua wizara zitaendelea kubadilishwa na kuchomekwa wale mabwana/genge lile taratibu taratibu.

Kwako mama samia,wewe ndiyo Rais wa nchi hii KWA mujibu wa katiba,Wewe una uwezo mkubwa kutengeneza historia yako kama Rais kamili na mwenye kujijenga binafsi huku ukiepuka makando kando ya watangulizi wako,Mama huku mtaani ukweli watu imani imewatoka sana kulingana na muundo wa serikali yako hii Sasa ambayo waliotuhumiwa Kabla ya mtangulizi wako na hata baada yake kuingia madarakani wamekua ndo image yako Sasa.

Mama utaendelea kuharbu image yako KWA wananchi Hawa ambao ni wazi hata ukiwastua toka usingizini na kuwaomba wakupe list wanakupa majina ya hilo genge ambalo limeanza kuteuana na kusifia KWA nguvu kubwa.

Sioni mwisho mzuri wa uongozi wako maana hata KWA sura tu raia wanaonekana huenda wasubiri tena uchaguzi bali wataweka historia yao.

Ushauri wangu kwako twende taratbu mama,umiza akili kuunda serikali yako mpyaaaaa kabisaa achana na hayo magenge,watakupa tabu ya kuwarudia wananchi.

Nakushauri KWA kuzingatia yanayoendelea TZ hii,Ahsante.
Unateseka Sana mkuu,vumilia hadi 2035 ni kwa bahati mbaya na ajali kazini mlipata nafasi mkaharibu saizi mnatapatapa kama mfa maji.
 
Back
Top Bottom