Mkuu wa wilaya Kisarawe, Nikki wa Pili akiwa na balozi wa Shelisheli na Canada

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,173
27,223
Mkuu wa wilaya Mh.Nikkj wa Pili ameweza kushawishi mabalozi wa shelisheli na Canada kwenda Kisarawe na kuwekeza.

Hii ni zaidi ya hatua, Mh. Nikki wa Pili ameonyesha njia na uwezo mkubwa kioungozi kwa kushawishi wanadiplomasia wakubwa kwenda kuwekeza kisarawe.

Hili ni Jambo la kupongezwa na kuunga mkono naa kila mtu.

Haya ndio mambo sasa, hakika mkuu wa wilaya huyu anaacha alama kubwa Sana ya uongozi hapa nchini.

#kisarawe mpya#
#nipo na mama 2025#
#kazi iendelee#

Screenshot_20210921-132157_1.jpg
 
Huo sasa ulimbukeni wa kuning'inia kwenye mabega ya diplomats
Hata usitishike mkuu hapo n MINAKI SECONDARY nilikuwepo hapo Jana walikuwa wanazindua uwanja wa basketball ambao kocha wa toronto raptots ya usa alitoa ahad ya kujenga viwanja 100 Africa.

Kocha anaitwa masai ojir pia n mkurugenz wa giants of africa iliyo chini ya timing ya Toronto raptors.

Juhud za ujenz wa uwanja huu zimetokana na JOKET MWEGELO wakat akiwa DC wa kisarawe ilitokana MASAI OJIR kuvutiwa na juhud zake za ujenz wa uwanja wa basketball pale JANGWANI SEC kabla hajawa mkuu wa wilaya so jamaa wakampa chance ya kujenga uwanja kisarawe kipind akiwa mkuu wa wilaya.

Jamaa aliyeleta mada nadhan n wale CHAWA wa DC NICK WA 2

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mabalozi wanazo pesa za kuwekeza?
Mkuu wa wilaya Mh.Nikkj wa Pili ameweza kushawishi mabalozi wa shelisheli na Canada kwenda Kisarawe na kuwekeza.

Hii ni zaidi ya hatua, Mh. Nikki wa Pili ameonyesha njia na uwezo mkubwa kioungozi kwa kushawishi wanadiplomasia wakubwa kwenda kuwekeza kisarawe.

Hili ni Jambo la kupongezwa na kuunga mkono naa kila mtu.

Haya ndio mambo sasa, hakika mkuu wa wilaya huyu anaacha alama kubwa Sana ya uongozi hapa nchini.

#kisarawe mpya#
#nipo na mama 2025#
#kazi iendelee#

Mkuu Kama Hilo bango linahusihana na hao mabalozi limeandikwa GIANTS OF AFRICA sio kweli ukisemacho

HILO BANGO HALIHUSIANI NA UKISEMACHO

unamjua MASAI UJIR WA TORONTO RAPTORS?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nick ameishia kupiga picha tu ,hao walienda kwenye ufunguzi wa uwanja wa basketball, Kongole kwa Jokate
 
Hata usitishike mkuu hapo n MINAKI SECONDARY nilikuwepo hapo Jana walikuwa wanazindua uwanja wa basketball ambao kocha wa toronto raptots ya usa alitoa ahad ya kujenga viwanja 100 africa

Kocha anaitwa masai ojir pia n mkurugenz wa giants of africa iliyo chini ya timing ya Toronto raptors

Juhud za ujenz wa uwanja huu zimetokana na JOKET MWEGELO wakat akiwa DC wa kisarawe ilitokana MASAI OJIR kuvutiwa na juhud zake za ujenz wa uwanja wa basketball pale JANGWANI SEC kabla hajawa mkuu wa wilaya so jamaa wakampa chance ya kujenga uwanja kisarawe kipind akiwa mkuu wa wilaya

Jamaa aliyeleta mada nadhan n wale CHAWA wa DC NICK WA 2

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa atakuwa ni chawa wa ni Niki minaji
 
Umeelewa concern yangu au unanipa maelezo tu ilimradi umeandika unachokijua?
 
Hata usitishike mkuu hapo n MINAKI SECONDARY nilikuwepo hapo Jana walikuwa wanazindua uwanja wa basketball ambao kocha wa toronto raptots ya usa alitoa ahad ya kujenga viwanja 100 africa

Kocha anaitwa masai ojir pia n mkurugenz wa giants of africa iliyo chini ya timing ya Toronto raptors

Juhud za ujenz wa uwanja huu zimetokana na JOKET MWEGELO wakat akiwa DC wa kisarawe ilitokana MASAI OJIR kuvutiwa na juhud zake za ujenz wa uwanja wa basketball pale JANGWANI SEC kabla hajawa mkuu wa wilaya so jamaa wakampa chance ya kujenga uwanja kisarawe kipind akiwa mkuu wa wilaya

Jamaa aliyeleta mada nadhan n wale CHAWA wa DC NICK WA 2

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wewe ulitakaje kwani? Mbona una kiherehere sana
 
Back
Top Bottom