Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WHY HASN’T ZIMBABWE ADOPTED THE UN CONVENTION AGAINST TORTURE? – CONSTITUTION WATCH 6 / 2019 By Veritas28 June 2019Analysis and Comment, Democracy, Human Rights, Legislation 2 Introduction 26th...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni Nape Nnauye tena. Safari hii amewaonya wanaomzushia kuwa amepewa barua ya kufukuzwa uanachama wa CCM na akawataka wasidandie treni kwa mbele. Kama taarifa hizo zilivyosambaa kwenye mitandao...
14 Reactions
94 Replies
12K Views
Leo sept 10, 2021 waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe. Ummy mwalimu amemsimamisha kazi aliyekuwa mkurugenzi wa gairo bw. Asajile Mwambambale kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa mabati...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia suluhu hassan akishiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa tanzania - ALAT katika ukumbi wa Jakaya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya...
12 Reactions
158 Replies
12K Views
Moja ya Jambo la kushangaza ni kitendo cha kusahau mara kwa Mara, na hii inapelekea mara nyingi serikali kufanya maamuzi ambayo huligharimu taifa. Tunaweza kusema labda hizi ni zama mpya, lakini...
17 Reactions
54 Replies
7K Views
Ni muda sasa Waziri wetu wa Ardhi, Nyumba na Makazi hayuko mubashara, haonekani kwenye vyombo vya habari, hasikiki Anafanya Nini au nini kimemsibu Waziri Lukuvi?! Binafsi nimeufuatilia utendaji...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe imeweka wazi jinsi ndani ya Polisi kulivyo na magenge ya uharamia, ambayo kazi yale ni kuteka, kutesa na kubambikia watu kesi. Hata kabla ya kukamilika kwa kesi hii...
3 Reactions
0 Replies
832 Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki amewaomba Watanzania kila mmoja kwa nafasi yake kufanya maombi kwa ajili ya taifa la Tanzania na rais Samia Suluhu Hassan Mungu aweke...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali ya CCM imepoteza dira na mwelekeo inaelekea shimoni inaenda kuanguka na anguko lake ni kubwa sana imepoteza mvuto inawatia hofu Watanzania masikini. Walianza na hofu ya internet, kwa...
15 Reactions
46 Replies
4K Views
Kundi la Masai katika kijiji Cha Moita wilayani Monduli wamevamia gari la mkuu wa wilaya hiyo ,Frank Mwaisumbe na kushambulia gari lake na kuvunja vioo wakati alipoenda kutuliza mgogoro wa ardhi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni ukweli usio pingika kuwa Samia ni mtu mzuri ukiyatazama haya:- Ni mwenye heshima na anajiheshimu mwenyewe mfano utumia kauli za staha, Uongozi ni mzuri zaidi ya mmoja analizingatia ilo mfano...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Kumekuwa na kautamaduni ka viongozi wetu wakuu wa nchi kujazana pale uwanja wa JKIA endapo mh Rais anakwea pipa kwenda nje ya nchi au endapo anarudi kutoka nje ya nchi. Hii desturi imenifanya...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
Inavyoonekana serikali ya Tanzania imeanza kulazimisha wananchi kuchanja chanjo za Covid bila ridhaa zao. Tumeona mkuu wa mkoa wa Mbeya akitoa kauli za kulazimisha watu huko Mbeya kuchanja...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Majaliwa anataka Kutuambia Iwe isiwe lazima Samia awe Rais Wa Nchi Kwa Miaka 10 ijayo? =========== Kassim Majaliwa: Nataka kuwahakikishia tena, Serikali yenu iko makini na maam yetu kwenye eneo...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi. Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona Mahojiano...
28 Reactions
87 Replies
9K Views
Salaam..... Kwanza Mh. Rais Nikupongeze tu kwa kazi kubwa unayoifanya kuendesha nchi kwa kutumia nguvu, akili na uwezo wako binafisi kuongoza watu m 50 sio kazi ndogo. Pia nikukumbushe kuwa kuna...
55 Reactions
179 Replies
26K Views
Habarini za muda wapendwa Nimekuwa nikitamani sana kujua baadhi ya maonyesho kama Yale ya sabasaba au nane nane pamoja na mikutano mingi inayohusiana na biashara au uwekezaji Kama vile Rais au...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Tangu awamu ya sita ilipo ingia madarakani wafanyakazi tulishuhudia baadhi yao wakianza kulipwa malimbikizo yao ya muda mrefu Sana,lakini baada ya muda mfupi tena Ni kama zoezi hili limekwama tena...
1 Reactions
1 Replies
879 Views
Back
Top Bottom