CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

Political Jurist

Senior Member
Sep 6, 2021
119
104
CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI

Dar es Salaam

25 Septemba, 2021

Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya kuendeleza Sanaa nchini.

Aidha Shaka ameleza kuwa dhamira njema kabisa ya kukuza na kuwathamini wasanii, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanzisha Wizara Maalum ya Sanaa na Utamaduni lengo likiwa ni kushughulikia changamoto za wasanii zilizopigiiwa kelele kwa muda mrefu.

Kwa kupitia Hotuba ya Mhe Rais ya Baraza kuu la umoja wa mataifa, suala la sanaa sasa litachukua mkondo mpya katika uwanja mpana wa kimataifa, kushirikiana na wasanii wengine wa dunia katika uwekezaji mkubwa katika sanaa kupitia sera yetu ya deplomasia ya uchumi.

"Tuitumie sanaa kama Silaha ya ukombozi wa matatizo ya kijamii na kamwe isiwe chanzo cha mfarakano na vurugu" amesema Shaka

Aidha ameendelea kusisitiza kuwa Tanzania ni nchi Tajiri, yenye rasilimali za kila aina, na rasilimali namba moja ni vipaji tulivyonavyo hivyo Wasanii wakiamua wataweza , kila mmoja wetu ana jukumu la kufanya sanaa yake kwa bidii na maarifa. Na huu ni wakati wa Suluhu, hivyo wasanii wawe wazi kuacha kufanya sanaa kwa mazoea.

"Katika Zama tulizonazo, kazi ya sanaa imegeuka kuwa kimbilio kubwa kwa vijana kama sehemu ya soko la ajira hivyo ni wajibu wetu wasanii kuhakikisha kuwa imani ya Jamii kwetu inaendelea kwa kulinda mila, desturi na utamaduni wetu." Amesema Shaka

Jukwaa ili limeandaliwa kwa lengo la kutoa elimu ya masoko, uzalishaji bora wa kazi sanaa sambamba na kutoa ushauri wa kibiashara.

IMG-20210926-WA0168.jpg
IMG-20210926-WA0187.jpg
IMG-20210926-WA0164.jpg
 
Tokea Uhuru wanasemaga hivyohivyo tu
Watuambie ni sanaa ipi, sanaa ya uongozi, demokrasia au haki, na je mwalimu bado ni slow slow au mwingine, kwani vyaketu havifanani na vya we gine duniani. Ikiwa ni pamoja na haki, zakwetu hazifanani na za wengine kwingineko duniani, kwa mujibu wa mwl. Wa darasa huru la uongozi.
 
CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI

Dar es Salaam

25 Septemba, 2021

Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya kuendeleza Sanaa nchini.

Aidha Shaka ameleza kuwa dhamira njema kabisa ya kukuza na kuwathamini wasanii, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanzisha Wizara Maalum ya Sanaa na Utamaduni lengo likiwa ni kushughulikia changamoto za wasanii zilizopigiiwa kelele kwa muda mrefu.

Kwa kupitia Hotuba ya Mhe Rais ya Baraza kuu la umoja wa mataifa, suala la sanaa sasa litachukua mkondo mpya katika uwanja mpana wa kimataifa, kushirikiana na wasanii wengine wa dunia katika uwekezaji mkubwa katika sanaa kupitia sera yetu ya deplomasia ya uchumi.

"Tuitumie sanaa kama Silaha ya ukombozi wa matatizo ya kijamii na kamwe isiwe chanzo cha mfarakano na vurugu" amesema Shaka

Aidha ameendelea kusisitiza kuwa Tanzania ni nchi Tajiri, yenye rasilimali za kila aina, na rasilimali namba moja ni vipaji tulivyonavyo hivyo Wasanii wakiamua wataweza , kila mmoja wetu ana jukumu la kufanya sanaa yake kwa bidii na maarifa. Na huu ni wakati wa Suluhu, hivyo wasanii wawe wazi kuacha kufanya sanaa kwa mazoea.

"Katika Zama tulizonazo, kazi ya sanaa imegeuka kuwa kimbilio kubwa kwa vijana kama sehemu ya soko la ajira hivyo ni wajibu wetu wasanii kuhakikisha kuwa imani ya Jamii kwetu inaendelea kwa kulinda mila, desturi na utamaduni wetu." Amesema Shaka

Jukwaa ili limeandaliwa kwa lengo la kutoa elimu ya masoko, uzalishaji bora wa kazi sanaa sambamba na kutoa ushauri wa kibiashara.

View attachment 1953563View attachment 1953564View attachment 1953566
Mbona tayari Sanaa imekomaa hapa nchini. Kuna Sanaa nzuri Kama ile ya kusema Watuhumiwa wa Ugaidi walisha hukumiwa amebakia Mbowe peke yake halafu kesi ndio inasikilizwa? Hii serikali ya Mwanasesere bure kabisaa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Sanaa gani unayoiongelea mtoa hoja?nchi imeshapoteza sanaa,mila na utamaduni wake,leo tunapigiwa miziki ya Harlem na tunaambiwa ndio sanaa na mziki wetu!amapiano ndio sanaa ya mziki wa sasa nchini mwetu,hakuna kilichofanyika kuendeleza vipaji vyetu tulivyokua navyo kama michoro ya tinga tinga,uchongaji wa vinyago etc etc na ccm imetawala nchi more than50yrs,salute to zambians wao ni mabadiliko kuendana na wakati.
 
wanaJf,

Nawasalimu kwa Jina la JMT...

Katibu wa Halmashauri kuu Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba yake, kwa niaba ya CCM na kwa niaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan amekutana na baadhi ya wasanii jijini Dar es Salaam.

Shaka amewahakikishia wasanii Kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wanawapenda sana wasanii na wakati wote watawatumia katika mazingira yaliyo rafiki,

Shaka amesisitiza kuwa sanaa ni jambo, Sanaa ni alama ya maendeleo ya fikra kwa wasanii, Chama cha Mapinduzi kitahakikisha wasanini wanafikia malengo na dhamira zao njema katika kujiletea maendeleo.

Chama cha mapinduzi kinadeni la ajira 8M kwa Watanzania na Sanaa ni moja ya nyenzo katika kufikia kiwango hicho cha ajira hivyo ningumu kuitofautisha CCM na Sanaa|Wasanii katika kuwaletea Watanzania maendeleo hivyo "CCM itaendelea kuwekeza kwenu wasanii siku hadi siku",alisisitiza Shaka.

" SANAA NI JAMBO,SANAA NI KIELELEZO CHA MAENDELEO YA FIKRA KWA WASANII"

.........Kazi iendelee .........

Mwenezi wangu Shaka,

Mimi ni mwanaccm wa muda mrefu ila niseme yafuatayo kwako,

1. Endelea kuwa mnyenyekevu hivyohivyo Mungu yuko na wewe,

2. Wamekutukana na kukudhalilisha sana umekuwa kimya na tegemeo limekuwa Mola wako,

3. Unyenyekevu unalipa sana endelea kunyenyekea ipo siku utakuwa mtu mkuu sana katika nchi hii,

4. Usijibu neno wacha Mungu ajibu badala yako binafsi nakuombea sana,

5. Endelea kuchapa kazi,CCM ni salama mikononi mwako na Rais Samia,

Jabali
28/09/2021

wanaJf,

...Nawasalimu kwa Jina la JMT...

Katibu wa Halmashauri kuu Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba yake, kwa niaba ya CCM na kwa niaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan amekutana na baadhi ya wasanii jijini Dar es salaam.

Shaka amewahakikishia wasanii Kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wanawapenda sana wasanii na wakati wote watawatumia katika mazingira yaliyo rafiki,

Shaka amesisitiza kuwa sanaa ni jambo, Sanaa ni alama ya maendeleo ya fikra kwa wasanii, Chama cha Mapinduzi kitahakikisha wasanini wanafikia malengo na dhamira zao njema katika kujiletea maendeleo,

Chama cha mapinduzi kinadeni la ajira 8M kwa Watanzania na Sanaa ni moja ya nyenzo katika kufikia kiwango hicho cha ajira hivyo ningumu kuitofautisha CCM na Sanaa|Wasanii katika kuwaletea Watanzania maendeleo hivyo CCM itaendelea kuwekeza kwenu wasanii siku hadi siku,

" SANAA NI JAMBO "

.........Kazi iendelee .........

View attachment 1955274
 
Mwenezi wangu Shaka,

Mimi ni mwanaccm wa muda mrefu ila niseme yafuatayo kwako,

1. Endelea kuwa mnyenyekevu hivyohivyo Mungu yuko na wewe,

2. Wamekutukana na kukudhalilisha sana umekuwa kimya na tegemeo limekuwa Mola wako,

3. Unyenyekevu unalipa sana endelea kunyenyekea ipo siku utakuwa mtu mkuu sana katika nchi hii,

4. Usijibu neno wacha Mungu ajibu badala yako binafsi nakuombea sana,

5. Endelea kuchapa kazi,CCM ni salama mikononi mwako na Rais Samia,

Jabali
28/09/2021

Nakubaliana na wewe 100%
Huyu kijana amepitia mapito magumu sana,
Watu wabaya wamemsukia kila aina ya Skendo lakini mwisho wa Siku Mungu Amesimama mwenyewe kumtetea,

Shaka ni humble down the earth anaheshimu kila Mtu ndani na nje ya chama,

CCM ichungeni sana hii hazina yenu itawafaa sana siku za usoni,

Hongera sana sanaa na wasanii, Shaka atawalea vema sana hana makuu kabisa huyu Mtu,
 
Jamaa is too humble,

Shaka ni kiongozi makini sana

Jamaa anafaa kuwa Rais wa Zanzibar hapo baadae haya ni mawazo yangu,
wanaJf,

...Nawasalimu kwa Jina la JMT...

Katibu wa Halmashauri kuu Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba yake, kwa niaba ya CCM na kwa niaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan amekutana na baadhi ya wasanii jijini Dar es salaam.

Shaka amewahakikishia wasanii Kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wanawapenda sana wasanii na wakati wote watawatumia katika mazingira yaliyo rafiki,

Shaka amesisitiza kuwa sanaa ni jambo, Sanaa ni alama ya maendeleo ya fikra kwa wasanii, Chama cha Mapinduzi kitahakikisha wasanini wanafikia malengo na dhamira zao njema katika kujiletea maendeleo,

Chama cha mapinduzi kinadeni la ajira 8M kwa Watanzania na Sanaa ni moja ya nyenzo katika kufikia kiwango hicho cha ajira hivyo ningumu kuitofautisha CCM na Sanaa|Wasanii katika kuwaletea Watanzania maendeleo hivyo "CCM itaendelea kuwekeza kwenu wasanii siku hadi siku",alisisitiza Shaka

" SANAA NI JAMBO,SANAA NI KIELELEZO CHA MAENDELEO YA FIKRA KWA WASANII"

.........Kazi iendelee .........

View attachment 1955274
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom