September 12, 2016 Mahakama ya Usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji iliwasilisha rasmi maamuzi yake Kwa pande zilizokuwa kwenye mgogoro kuhusu mradi wa kufua umeme Nchini, IPTL. Mahakama hiyo...
ELIMU NA SIFA
Chuo Kikuu cha Sunderland – Uingereza
Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara (MBA)
Chuo Kikuu cha London Metropolitan – Uingereza
Shahada ya BA (Hons), Benki, Uchumi na Sheria...
Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusishwa kuzitenda.
Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.
Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa...
Mh.Ngeleja wakati akihojiwa na baraza la maadili amesema Mh. Zitto Kabwe alipokea shilingi milioni 30.Amesema kama wanahojiwa waliopokea fedha na Mh. Zitto aitwe kuhojiwa.
====================...
akutana na changamoto mbalimbali kama wingi wa wagonjwa ambao walikuwa wakisubiri huduma n.k
Kisha amezungumza na Mganga Mkuu wa Zahanati hiyo.
Amebaini Changamoto kadhaa zinazosababisha huduma...
KAIMU Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Arusha, Kayobio Majogoro(41), ameieleza mahakama kwamba ofisi yake haikuwa na taarifa kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani...
Changamoto ya afya ya moyo ya Mkuu wa tano wa utawala wa nchi yetu ilijulikana kwa kuchelewa sana (baada ya kifo chake) kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya.
Changamoto ya afya ya moyo ambayo...
Wizara ya Afya imetangaza vifo vilivyotokana na janga la Corona vimefikia 714 huku maambukizi yakiwa 25,674 tangu kuripotiwa kwa ugonjwa huo hadi kufikia Septemba 20
Watu 4,355 wamelazwa huku 80...
Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta.
Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na...
Wanabodi,
Siku mbili zilizo pita, wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) walifanya kongamano jijini Dar Es Salaam katika shughuli zao za kudai tume huru ya uchaguzi. Katika kongamano hilo, wanawake hawa...
Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Wakati tukiwa kwenye sintofahamu...
Mkufunzi wa shule ya uongozi Eng. Humprey Polepole amevishutumu vyombo vya kibeberu IMF na World Bank kwa kusababisha umasikini mkubwa na utegemezi wa milele kwa kutoa mikopo kandamizi kwa nchi...
Dkt. Cyrilo ambae ni mwanaharakati amekamatwa kwa makosa ya uchochezi.
Nimeangalia post zake zote sijaona tatizo la kumfanya akamatwe, hii sio fair.
Hajatukana, Bali ameweka tu mawazo yake...
Endeleeni tu kutufanya Watanzania wote ni hamnazo ( tuna Akili za Kipa Katoka ) hivyo mtatuzuga kwa kila namna wakati tuliobobea kwa Mambo hayo ( japo Juzi tulizidiwa na wa Yanga SC ) tumeshajua...
Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu)...
Nasoma kwenye Daily News ya tar. 27 Septemba kuwab"Dodoma regional Commissioner, Mr Anthony Mtaka thanked the President for supporting the region to address a number of challenges.
Others are...
POCHI LA MAMA KUJENGA ZAHANATI KILA KIJIJI:
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu...
Hawa wanasiasa baada ya kusoma upepo ulivyo na misukosuko iliyoikumba nchi hususani chini ya Mwendakuzimu.
Mwendakuzimu aliwakaba watu, kila mpinzani alikabiliwa na tishio la kesi isiyo na...
Confusion as meetings called by registrar and TCD coincide
MONDAY SEPTEMBER 27 2021
The Registrar of Political Parties, Judge Francis Mutungi. PHOTO | FILE
By Louis Kalumbia
More by this...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.