Amsterdam & Partners LLP Retained by Tanzanian Political Prisoner Freeman Mbowe

John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,740
2,000
Mwenyekiti CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe, amepata mawakili wapya kumwakilisha katika kesi inayomkabili ya uhujumu uchumi na ugaidi. Mbowe alikamatwa mwezi Julai mjini Mwanza na sasa atawakilishwa na wakili wa kimataifa Robert Amsterdam akishirikiana na mawakili wengine

Freeman Mbowe, a Tanzanian opposition politician and chairman of the Chadema party who was arrested in nighttime police raid this past July, will be represented by international lawyer Robert Amsterdam, founding partner of Amsterdam & Partners LLP, in coordination with local defense counsel.

The arrest of Mbowe and several others took place at approximately 2:30AM in a hotel in the northwestern port city of Mwanza the night before the Chadema chairman was going to host a public forum on constitutional reform, according to media reports. Mbowe was held in an undisclosed location beyond the reach of counsel for weeks and allegedly subjected to torture, before appearing in court for the first time on Friday, August 6, on trumped up charges of terrorism finance, says Amsterdam.

“We condemn the brazenly criminal conduct of the regime of President Samia Suluhu Hassan with these politically motivated charges against Mbowe,” says Amsterdam. “As we’ve already seen a judge recusal and direct comments by the President interfering in the case and tainting prospects of fair trial, it is abundantly clear to the international community that this is an authoritarian farce, not a judicial process.”

Amsterdam says that his firm will work closely with Mbowe’s local defense counsel, Mr Peter Kibatala and Mr. John Mallya, Esquire, to issue filings before a variety of international bodies. “We will ensure there are consequences for the Hassan regime for this egregious violation of Tanzania’s international commitments, while seeking accountability to all public servants who make themselves complicit in the government’s unlawful conduct,” says Amsterdam.

Amsterdam & Partners LLP also represents Tundu Lissu, the vice chairman of Chadema who competed in the 2020 presidential elections, among other opposition figures in the region such as Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) in Uganda. Amsterdam & Partners LLP is based in London and Washington DC. More information is available at Amsterdam & Partners LLP – International Law Firm | London | Washington DC.
 

mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,628
2,000
Wanasemaga kule kwetu taarime na jirani yetu shirati----Tiyari wamedumbukia chooni! Hakuna kulegezeana mimacho tena ni kutokea mahakama za kimataifa! SSH unahitaji jini lenye nguvu sana kutaka kilindi cha bahari lakini huchomoki! ama utoe haki au---------------!!!
 

John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,740
2,000
Wanasemaga kule kwetu taarime na jirani yetu shirati----Tiyari wamedumbukia chooni! Hakuna kulegezeana mimacho tena ni kutokea mahakama za kimataifa! SSH unahitaji jini lenye nguvu sana kutaka kilindi cha bahari lakini huchomoki! ama utoe haki au---------------!!!
🤣 🤣 🤣
 

John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,740
2,000
E_zFnKeVUAETbEn
 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,512
2,000
Wanasemaga kule kwetu taarime na jirani yetu shirati----Tiyari wamedumbukia chooni! Hakuna kulegezeana mimacho tena ni kutokea mahakama za kimataifa! SSH unahitaji jini lenye nguvu sana kutaka kilindi cha bahari lakini huchomoki! ama utoe haki au...
Tunaambiwa kuwa na subra maana.

"Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."

Tuwe na subra, kesi ikishaisha ndio tuseme
Mhubiri 7: 8 - 9
 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,512
2,000
Huyo ndio ataharibu mtiririko mzuri aliokuwa anakwenda nao Kibatala.

Lakini hata Chenge aliwakilishwa na wakili mzungu kwenye ile kesi yake ya kugonga bajaj!

Huyu akifika atuambie kwanza ile kesi ya di hegi imeishia wapi?? Sio awe wa kuwaongopea ndugu zetu tuu kila mwaka
 

John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,740
2,000
Wasiempenda kaja
Huyu jamaa impact yake kwenye uchaguzi wa wizi wa mwaka jana ilikuwa kubwa sana,alifanikiwa kuufanya uonekane incredible kwenye internatinal eyes- kiasi kwamba serikali imeanza kampeni ya kuji-brand upya kutokana na sanctions na resolutions mbalimbali kutoka US na other partners-Let's see what the future holds
 

Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,374
2,000
Wanasemaga kule kwetu taarime na jirani yetu shirati----Tiyari wamedumbukia chooni! Hakuna kulegezeana mimacho tena ni kutokea mahakama za kimataifa! SSH unahitaji jini lenye nguvu sana kutaka kilindi cha bahari lakini huchomoki! ama utoe haki au---------------!!!
Huyo Amsterdam atapata mimba huku bongo, na ndicho anatafuta mbegu ya kikurya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom