Sasa hivi TANESCO wanakata umeme, hawatoi taarifa, biashara na shughuli zetu zinasimama. Huu ujinga utaisha lini nchi hii?
Mmeturushia zigo la sisi watumiaji umeme kulipa kodi ya majengo, halafu...
Rais Samia amelitaka Kanisa la Anglican kuhakikisha linawasaidia Wanawake kupata haki zao za msingi na yeye Rais atalisimamia hilo na anamuomba askofu mkuu baba Mndolwa amsaidie katika hilo.
Rais...
Limeisha. Mshindi amekuwa Askofu Gwajima. Pascal Mayalla kwa mara nyingine tena amepigwa KO. Nakumbuka alivyokuwa akishadadia Gwajima afukuzwe ili yeye Pascal arudi tena kwenda kuomba Kura katika...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko – 19 pamoja na kushiriki katika sensa inayotarajiwa kuanza mwaka 2022...
Nimekuwa nikitafakari ile kauli ya viongozi kwamba maendeleo yanapelekwa kwa usawa katka mikoa yote bongo lkn naona Kanda ya Ziwa Magharibi imeachwa mno haswa katika taasisi na miundombinu Kama...
Nimefuatilia sana posti za ajira za utendaji wa mtaa au vijiji sijawahi kuona wakiunganisha kigezo cha shahada kwenye sifa za kazi hiyo na nyingine 50 zimetangazwa wilaya ya Ilemela wanahitaji...
Makamu wa Rais Bwana Philip Mapango wakati akimpokea SSH alisema kuwa alipata hofu alipo achiwa nchi kwa siku hizo chache lakini anashukuru SSH amerudi ameutua mzigo.
Wengi wanamlaumu Makamu wa...
Na. Mwandishi wetu.
Kada wa chama cha Mapinduzi CCM ambaye kwa nyakati tofauti amepata kuwa mwenyekiti wa mkoa wa wa Arusha chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA na baadae kutimkia ACT...
Currently, India is the largest exporter of Tanzanite stones peaking at more than $300 million, followed by Kenya at $100 million and Tanzania at $38 million. Globally, the tanzanite trade earns...
Hoja za muungano jadilini pia Kama biashara,kilimo na uvuvi Ni Jambo la muungano? Wazanzibari wamejaa Tanganyika wakivua na kuuza samaki,pweza nk
Kufanya biashara kila kona ya nchi na kumiliki...
Watu huwa wanamsifia Nyerere kwa mengi. Ila kitu ambacho kinadefine legacy yake mpaka sasa ni hili janga la katiba alilotuachia.
Kiuhalisia hii katiba ilitengenezwa mahususi kwaajili ya Nyerere...
Tuseme ukweli kila unaposikia CCM imeshinda basi hapakosi kuambiwa Polisi walifanya hili na lile na kuzuia lile na hili.
Kwa nini Polisi na wengine wanakubali kufanywa ngazi ,ngazi ambayo...
Rais Samia wakati akiongea na viongozi wa Tamisemi amesema masoko mapya mengi hayana wafanyabiashara wa kutosha hasa yale ya ghorofa.
" Utakuta jengo la kuchukua watu 200 lina watu 30 tu na hasa...
Mbeya ametamka nyumba kwa nyumba
Yule wa juzi Amependekeza watumishi wote wachanje
Sasa hii ya songea wanataka kuchanja watoto wa watu kwa lazima...
Kama wasaidizi wako wanajikombakomba kutetea...
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini
Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na...
"Nilimpigia Simu Waziri Simbachawene na kumwelezea kilichotokea Kwanza alishangaa na Kusikitishwa mno na Maamuzi ya IGP Sirro na Polisi wake", James Mbatia NCCR- Mageuzi.
Mama ( Mheshimiwa Rais )...
Utangulizi
Mwanadamu ameumbwa na vionjo vya asili vya matamanio. Vionjo hivi humuongoza katika kubuni na kujenga mazingira kufikia matamanio yake.
Kwa mujibu wa mwanasaikolojia Abraham Maslow...
Taarifa za hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma.
Marehemu alikuwa Mbunge wa Ngorongoro na amekuwa...
Dar es Salaam. Wakati Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) likilaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es salaam kuzuia mazoezi waliyofanya jana, leo Septemba 19, Kamanda wa Kinondoni...
JE UHURU WA KUTOA MAONI KWA WATANZANIA UMERUDI?
Kwa Mkono wa, Robert Heriel,
Yule Mtibeli.
Hakuna ubishi katika hili, Uhuru wa kutoa maoni kwa watanzania umerudi kwa kiasi kikubwa sana, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.