Kunaupotoshaji wa makusudi wa uwakilishaji wa mwenendo wa kesi ya ugaidi katika kesi ya Mbowe

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
CHADEMA wamejipa wenyewe nafasi ya kutuletea mwenendo wa kesi wakati ikiendelea kwenye kesi inayo mhusu Mbowe. Ila nimegundua kitu cha ajabu sana kuwa uwakilishi wa mawakilisho na maswali ya mawakili wa utetezi ni fasaha na unamtririko mzuri Wakati ule wa upande wa mashitaka mtiririko wake si fasaha, unamakosa mengi ya uchapaji na urarudia rudia mambo.

MFANO
UPANDE UTETEZI

Shahidi:
Simfahamu wala sijawahi Kufika Central Dar

Nashon: Unasemaje kuhusu Detention Register aliyokuja nayo hapa Mahakamani

Shahidi: sifahamu alitoa wapi

Nashon: Kuna sehemu yoyote katika Ile Detention Register ambayo amekuinyesha Ulisaini wakati wanakupokea

Shahidi: sikuona

Nashon: Wakati Dective Msemwa anatoa Ushahidi Anasema alikuwa na Afande Fatuma kama CRO incharge,Je ulishwa kumuina FATUMA hapa Mahakamani.?

Shahidi: Hapana

Nashon: ni Kweli Kwamba Wakati Mkiwa mnaelekea Mbweni walikwambia watakupoteza.?

Shahidi: Afande Goodluck aliniambia Tutakupoteza Kama Moses Lijenje

Jaji: alisema wakati gani

Shahidi: Wakati tunayoka Tazara kwenda Mbweni,Tukiwa kwenye Gari

Nashon: ulielewa nini Kwa Maneno tutakutupa..?

Shahidi: nilijua kuwa watanipoteza,Wataniua alafu hakuna atakaye jua nipo wapi

UPANDE WA SERIKALI
Jaji:
Naona Hamuelewani Wakili uliza kwa Yale Mambo ya kawaida hayo ni Mambo ya Kijeshi

Wakili wa Serikali: Nilifikiri ni Mwalimu atakiwa anajua Mambo yote

Wakili wa Serikali: Kipindi Cha Muda Gani ulitumia kujifunza Kupigana katares Mpaka ukaweza

Jaji: Ndiyo Mwalimubwa amambo ya Jeshi siyo Kiswahili

Shahidi: Miezi Sita ya Kozi,92Kj

Wakili wa Serikali: Ulikaa Miezi sita 92KJ ukijifunza kupigana karates

Shahidi: Ndiyo

Wakili wa Serikali: Ulifanya Phase ngapi.?

Wakili wa serikali: ni sehmu Gani Nyingine ulienda Kupata Mafunzo ya karates

Shahidi: phase Moja,Mengine niliyapatia Mahala pengine

Shahidi: nilienda Kujifunza Kick Boxing kwa Wafaransa

Wakili wa Serikali: Kwa Miezi Mingapi

Je ni nini lengo la upotoshaji huu?
 
kama hivi
Shahidi:. .... .... ....

Kibatala: Asante Mheshimiwa Jaji nilikuwa nazingatia hilo

Jaji: Wakati tunasubiri Majibu ya shahidi,Nashauri tujikite sasa kwenye nini hasa Kilitokea wakati wa akumvhujua Maelezo Mashtakiwa wa Pili,

Kibatala: Wakati wote Mkiwa rumande Mwambie Mheshimiwa Jaji kuwa kama Mlishawahi Kupelekwa Hospotali

Shahidi: Hapana

Kibatala: ni hayo tuh Mheshimiwa Jaji

Jaji:ninatumaini sijakuzuia

Kibatala: Hapana Mheshimiwa Jaji nimemeliza tuh

Jaji Naomba tubreak Kwa Dakika 15 Kwa Afya Zetu
 
Yaani ungetusaidia saaana kama ungetuletea huo mtiririko wa "kweli". Vinginevyo unapiga umbeya tu
Anayecheka mwisho ndiye anacheka sana- jipeni moyo , mchezo uendelee ila mahakamani unaandikwa tu ushahidi
 
Naunga mkono hoja kwa 100%.
tena hata nyuzi zao humu zina lengo la kuichonganisha serikali na wanajeshi wazalendo.
 
kama hivi
Shahidi:. .... .... ....

Kibatala: Asante Mheshimiwa Jaji nilikuwa nazingatia hilo

Jaji: Wakati tunasubiri Majibu ya shahidi,Nashauri tujikite sasa kwenye nini hasa Kilitokea wakati wa akumvhujua Maelezo Mashtakiwa wa Pili,

Kibatala: Wakati wote Mkiwa rumande Mwambie Mheshimiwa Jaji kuwa kama Mlishawahi Kupelekwa Hospotali

Shahidi: Hapana

Kibatala: ni hayo tuh Mheshimiwa Jaji

Jaji:ninatumaini sijakuzuia

Kibatala: Hapana Mheshimiwa Jaji nimemeliza tuh

Jaji Naomba tubreak Kwa Dakika 15 Kwa Afya Zetu
Jaji anazingatia sana afya.Safi.
 
..CCM na nyie pelekeni ripota wenu, kwani polisi wenu, na serikali yenu, ndio wanaoshtaki.
CCM wnajenga chama , kutekeleza ilani yao na kujiandaa na uchaguzi wa 2025. Halafu wakati ufike mje na hadithi za kuibiwa kura.
 
CCM wnajenga chama , kutekeleza ilani yao na kujiandaa na uchaguzi wa 2025. Halafu wakati ufike mje na hadithi za kuibiwa kura.

..mnawajibika pia kuhakikisha umma unapata taarifa za kweli wakati wote.

..kwanini vyombo vya habari vya CCM visiwahabarishe wananchi kuhusu kesi hii?

..Naamini vyombo vya CCM vingekuwepo wananchi tungepata taarifa za kweli na zilizokuwa balanced.
 
Until the lion learns how to write, every story will glorify the hunter

Back
Top Bottom