Uchaguzi 2020 Walinzi wa karibu wa Mbowe wajiunga CCM, mmoja awa mgombea Udiwani

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,975
Jopo la ulinzi wa Freeman Mbowe limejiunga CCM huku mmojawapo akiwa mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM. Tukisema CCM ni mfumo wa kisiasa nchini kuna baadhi ya watu hawaelewi!

Kuna ''wajinga'' fulani wanadhani Siasa za uanaharakati Tanzania zinaweza kuwawezesha kuchukua dola. Upinzani nchini bado sana na kwa siasa hizi za uanaharakati utasubiri sana kupata dola

Maneno ya Mwl. Nyerere yasemayo, ''Mpinzani wa kweli atatoka CCM'' bado mpaka sasa yanasimama

PICHA NA VIDEO:

2485778_FB_IMG_1595009729173.jpg

Waliokuwa walinzi wa Mbowe wakiwa kazini kabla ya kujiunga CCM!

VIDEO ikimuonyesha Mlinzi wa karibu wa Mbowe na jopo lake wakienda kuchukua fomu za Udiwani.

MLINZZI%20WA%20MBOWE%20WEB.jpg

Mmoja wa walinzi wa karibu wa Mbowe akichukua fomu za Udiwani
 
Kitu ambacho hujakielewa ni kuwa tofauti na miaka yote, mwaka huu majimboni kuna wagombea wa CCM ambao ni Chadema B yani mwaka huu kuna mgombea wa Chadema na Chadema B. Sasa Jiulize kwanini waliitangulia wote hawakufanya hivi ila Magufuli amefanya. Ni kuwa hana tena uongozi wa kimfumo. Ni dilema.

Sasa unashangaa mlinzi wa Mbowe kuingia kugombea? Tuna mpaka wanausalama wa ndani kabisa huko na wanatupatia mipango yote ovu. Yapo majimbo mawili Dar ambayo msimamizi wa uchaguzi ni mtumishi tukuka ndani ya Chadema. Mbona safari hii mnalo. Nyie wanaccm mumeachwa huku mitandanoni pigeni makelele wee ila mpo mfukoni kama simu zetu. Tunawatoa huko tunawaperuzi then tunawarusisheni humo. Keshokutwa Lissu pia hamtamuona Kisutu na mtatulia tuliiiii!
 
Hata mimi mlinzi wangu sasa hivi ameajiriwa na mtu mwingine na maisha yanaendelea.

Kama Lowassa ametoka CDM na bado moto ni ule ule ndio itakuwa body guard?
Mkuu tatizo sio kwamba mambo yanaendelea, tatizo ni kwann wanaondoka tena wengine hata bila kufukuzwa uanachama, hauoni hiyo Kama ni kasoro kubwa sana?
 
Hata mimi mlinzi wangu sasa hivi ameajiriwa na mtu mwingine na maisha yanaendelea.

Kama Lowassa ametoka CDM na bado moto ni ule ule ndio itakuwa body guard?

Mwaka ambao mtaanguka kwa aibu basi mwaka huu unawahusu.

KURA ZA HURUMA si sehemu ya DEMOKRASIA.

Aliyopo mbaya ila anaeomba ni mpuuzi mdomo wake ni kibali tosha kama kioo.
 
Unashangaa kuhama mlinzi ambaye ni muajiriwa tu wakati kaondoka Katibu Mkuu mwenye siri zote za chama kaenda kuunga mkono juhudi na wala haikua kitu. Ni kama Senzo tu alivyoenda Yanga, sawa kuna viji siri atapeleka lakini sio mwisho wa dunia kwa Simba
 
Kitu ambacho hujakielewa ni kuwa tofauti na miaka yote, mwaka huu majimboni kuna wagombea wa CCM ambao ni Chadema B yani mwaka huu kuna mgombea wa Chadema na Chadema B. Sasa Jiulize kwanini waliitangulia wote hawakufanya hivi ila Magufuli amefanya. Ni kuwa hana tena uongozi wa kimfumo. Ni dilema.

Sasa unashangaa mlinzi wa Mbowe kuingia kugombea? Tuna mpaka wanausalama wa ndani kabisa huko na wanatupatia mipango yote ovu. Yapo majimbo mawili Dar ambayo msimamizi wa uchaguzi ni mtumishi tukuka ndani ya Chadema. Mbona safari hii mnalo. Nyie wanaccm mumeachwa huku mitandanoni pigeni makelele wee ila mpo mfukoni kama simu zetu. Tunawatoa huko tunawaperuzi then tunawarusisheni humo. Keshokutwa Lissu pia hamtamuona Kisutu na mtatulia tuliiiii!
Mtu mwenye akili timamu akisoma ulichokiandika atajua hujui ulichokiandika au huijui CCM!

Kinachofurahisha zaidi unajipa uongozi ndani ya CHADEMA wakati ni mpiga kelele tu na mwokota vihabari kwenye mitandao na kuvileta hapa Jamiiforums !
 
Mwaka ambao mtaanguka kwa aibu basi mwaka huu unawahusu.

KURA ZA HURUMA si sehemu ya DEMOKRASIA.

Aliyopo mbaya ila anaeomba ni mpuuzi mdomo wake ni kibali tosha kama kioo.
Tunaambiwa wakili Robert Amsterdam atawasaidia kupata ushindi!
 
Kwani ni ajabu?

Hata aliyeongoza kura za maoni CCM na mbunge aliyemaliza muda wake jimbo la Nachingwea, Mh. Hassan Elias Masala amehamia ACT na amewekwa kizuizini na Policcm ili asichukue fomu ya kugimbea ubunge kupitia chama chake kipya cha ACT.
Nadhani hoja yako haina uhusiano wowote na mada!
 
Mwaka ambao mtaanguka kwa aibu basi mwaka huu unawahusu.

KURA ZA HURUMA si sehemu ya DEMOKRASIA.

Aliyopo mbaya ila anaeomba ni mpuuzi mdomo wake ni kibali tosha kama kioo.
Ni kweli kura za huruma wala wizi hautakuwepo mwaka huu.

Vipi huyo mlinzi atakuja kuwafundisha wizi, hajui kuwa wizi mmejifunza kwa shetani mwenyewe.
 
Kitu ambacho hujakielewa ni kuwa tofauti na miaka yote, mwaka huu majimboni kuna wagombea wa CCM ambao ni Chadema B yani mwaka huu kuna mgombea wa Chadema na Chadema B. Sasa Jiulize kwanini waliitangulia wote hawakufanya hivi ila Magufuli amefanya. Ni kuwa hana tena uongozi wa kimfumo. Ni dilema.

Sasa unashangaa mlinzi wa Mbowe kuingia kugombea? Tuna mpaka wanausalama wa ndani kabisa huko na wanatupatia mipango yote ovu. Yapo majimbo mawili Dar ambayo msimamizi wa uchaguzi ni mtumishi tukuka ndani ya Chadema. Mbona safari hii mnalo. Nyie wanaccm mumeachwa huku mitandanoni pigeni makelele wee ila mpo mfukoni kama simu zetu. Tunawatoa huko tunawaperuzi then tunawarusisheni humo. Keshokutwa Lissu pia hamtamuona Kisutu na mtatulia tuliiiii!

Wanawaita maafisa vipenyo.
 
Unashangaa kuhama mlinzi ambaye ni muajiriwa tu wakati kaondoka Katibu Mkuu mwenye siri zote za chama kaenda kuunga mkono juhudi na wala haikua kitu. Ni kama Senzo tu alivyoenda Yanga, sawa kuna viji siri atapeleka lakini sio mwisho wa dunia kwa Simba
Nilipoandika, '' Kuna ''wajinga'' fulani wanadhani siasa za uanaharakati Tanzania zinaweza kuwawezesha kuchukua dola'' nilijua wapo hata hapa Jamiiforums!
 
Back
Top Bottom