mwana wa Tanzania
Member
- Nov 27, 2019
- 35
- 145
1. Kwanini Mbowe ameshambuliwa saa chache tu baada ya Lissu kutangaza nia ya kugombea urais? kwamba Timu Lissu wanaamini Mbowe ni kikwazo cha kupata nafasi ya kupeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi Mkuu.
2. Wakati Mbowe anashambuliwa walinzi wake binafsi wa CHADEMA ukiacha wa Serikali ambao imeelezwa waliondolewa kwa sababu ya COVID19 walikuwa wapi?
3. Je, tukio hilo ni muendelezo wa unaodaiwa mkakati wa Chama hicho kutafta kura za huruma ktoka kwa wananchi kuelekea uchaguzi mkuu?
4. Je, shambulio hilo ni kisasi cha washindani wa Kibiashara wa Mbowe.Ikumbukwe Mbowe kando na Kujishughulisha na siasa ni mfanyabiashara huenda kuna watu aliwadhulumu?
5. Tukio hilo ni Kisasi cha wivu wa mapenzi? itakumbukwa Mbowe amekuwa akituhumiwa kwa rushwa za ngono katika kupitisha majina ya wabunge wa viti maalum, ni kweli sasa waume wa wabunge hao wameamua kumuadabisha Mbowe?
Tujadili tukio hilo bila mihemkop ya kisiasa wala Itikadi za vyama vya siasa.