Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Magufuli alimpatia mzee Bakhresa ekari karibia Elfu ishirini huko Bagamoyo ili alime miwa na kuzalisha sukari. Jamaa kafanya kweli. Inakadiriwa kuwa nchi yetu mahitaji ya sukari kwa mwaka ni tani...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Leo tena kama kawaida tunakuletea moja kwa moja yanayojiri kwenye Mahakama kuu , divisheni ya Uhujumu Uchumi , ambako kesi ya ugaidi unaogharimu kitita cha tsh laki 6 inaendelea. --- Jaji...
77 Reactions
240 Replies
40K Views
"Hauwezi kupunguza madeni unayodaiwa na Taifa fulani kwa kutumia fedha za IMF au benki ya dunia alafu ukatembea kifua mbele ukisema unalitatua tatizo. Afrika inahitaji usimamizi madhubuti wa...
1 Reactions
8 Replies
979 Views
Habari hii iwafikie wote wanaokodolea macho nafasi za uongozi. Ifahamike kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi. Hatutaangalia mgombea ni mwanamke au mwanaume. Haki zetu za binadamu hazitakuwa na...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Sioni sababu yoyote kwa Kubenea au gazeti lake la Mwanahalisi kuzusha habari hii. On top of that, ukweli kwamba Mbowe na viongozi wengine wa ngazi za juu Chadema wamepuuzia ishu ya "kupotea" kwa...
11 Reactions
244 Replies
51K Views
Leo gazeti za Citizen limeripoti mawakala wa Utalii kutoka Nchini Marekani wameingia Tanzania kujionea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini Kwa ajiri ya kuwaleta Wamarekani. Hii ni wiki chache...
14 Reactions
152 Replies
10K Views
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru. Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari kubwa duniani kwa leo ni kufutwa kazi kwa waziri wa kigeni wa US ndugu Tillerson. Nimeangalia Aljazeera ambapo walionesha a world wide twitter trends kuhusu suala hili. Katika Afrika...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Ni udhaifu sana kiongozi kutumia madaraka ya kisheria kutimiza haja zake bila kujali hisia za wananchi. Mabadiliko ndani ya Tanesco yalikuwa muhimu lakini siyo kwa aina hii ya watu wapya ndani ya...
21 Reactions
72 Replies
6K Views
Na John Walter-Hanang Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara Mhandisi Samwel Hayuma amewataka wazazi na walezi kutimiza wajibu wao wa kuhakikisha wanafunzi wanakula chakula cha mchana shuleni ...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Sijui ni mimi sielewi au vipi? Ila kwa nafasi ya Tz iliyo nayo hapa Africa naona kama Rais wa Mozambique kuisifia Rwanda mbele ya UN kwa kuwa saidia kuondoa magaidi nchini mwao ni kama aibu kwa...
1 Reactions
4 Replies
986 Views
Kwa wale waliyofuatilia siku January Makamba alipokuwa akitangaza nia alisema Tanzania hainufaiki na gas na haitanufaika na gas ndani ya miaka 20 ijayo! Katika hotuba yake aliianisha vyanzo vyote...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Polisi hawaruhusiwi kisheria kuwapiga, kuwatesa au kuwapa vibano watuhumiwa. Hakuna asiyejua kuwa polisi kinyume cha sheria na pasipokuwa na uhalali wowote huwawapiga, huwatesa, na hata huwauwa...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
- Asema Katika huu mwezi mmoja wa maandalizi ya Kuwapanga Machinga ni vyema Kampuni hizo zikafnya sensa ya wateja. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa wito kwa Kampuni zote...
14 Reactions
73 Replies
6K Views
1. Tatizo la umeme - Palikuwa na sababu gani ya umeme kukatika katika wakati walipotumbuliwa tu vigogo wa TANESCO tatizo likaisha. 2. Kulikuwa na tatizo gani mradi wa Udart- sahivi magari yapo ya...
0 Reactions
5 Replies
707 Views
Kuna masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida. Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Ni wakati gani ambapo mahakama ya kimataifa ya ICC huwa ina uwezo wa kuingilia taifa lingine na kutoa waranti za watu kukumatwa na kuwafungulia kesi? Baadhi ya wa Kenya, Congo, Sudan n.k wamewahi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Sasa hivi TANESCO wanakata umeme, hawatoi taarifa, biashara na shughuli zetu zinasimama. Huu ujinga utaisha lini nchi hii? Mmeturushia zigo la sisi watumiaji umeme kulipa kodi ya majengo, halafu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Samia amelitaka Kanisa la Anglican kuhakikisha linawasaidia Wanawake kupata haki zao za msingi na yeye Rais atalisimamia hilo na anamuomba askofu mkuu baba Mndolwa amsaidie katika hilo. Rais...
5 Reactions
158 Replies
11K Views
Limeisha. Mshindi amekuwa Askofu Gwajima. Pascal Mayalla kwa mara nyingine tena amepigwa KO. Nakumbuka alivyokuwa akishadadia Gwajima afukuzwe ili yeye Pascal arudi tena kwenda kuomba Kura katika...
14 Reactions
44 Replies
5K Views
Back
Top Bottom