Pamoja na kuwa Chato itatangazwa mkoa kwenye kilele cha mbio za Mwenge Oktoba 14, ukweli ni kuwa CCM haiyaenzi mema ya hayati Magufuli

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Kuna masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida.

Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji mikubwa na mafisadi kuavhiwa huru kana kwamba hawakuliibia taifa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanaonyesha kuwa CCM haienzi yale hayati JPM aliyasimamia.

Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa Chato itatangazwa kuwa mkoa. Na hii sio justification kuwa Ccm ya awamu ya sita inamuenzi hayati JPM.

Hii ni danganya toto na siasa za kinafiki . Maana CCM hii chini ya rais Samia haisimamii yale ambayo hayati JPM aliyasimamia.

image_search_1632648706436.jpg
 
Kuna masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida. Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji mikubwa na mafisadi kuavhiwa huru kana kwamba hawakuliibia taifa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanaonyesha kuwa Ccm haienzi yale hayati JPM aliyasimamia.

Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa Chato itatangazwa kuwa mkoa. Na hii sio justification kuwa Ccm ya awamu ya sita inamuenzi hayati JPM. Hii ni danganya toto na siasa za kinafiki . Maana Ccm hii chini ya rais Samia haisimamii yale ambayo hayati JPM aliyasimamia.
View attachment 1953542
Chato chato chato! Why chato? Kuna nn hasa? Kueni wazalendo kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hakutaka ufahari kwao wala kwake.
 
Yaani Chato Chato kila siku, hamjasahau tu mtu wenu hayupo? Hiyo hadhi ya wilaya inatosha kabisa! Fedha za kuendesha mkoa zipelekwe kwenye maendeleo ya mambo mengine,

Hii nchi kuna maeneo hawana shule, hawana hospitali hawana barabara, yaa ni umaskini wa kutupa, mbona kelele za chato kila siku!

Kama kuna potential ipo chato basi chato itajiendesha yenyewe na itakuwa kuwa hata jiji lakini siyo kwa upendeleo maalumu wa kodi za wananchi!!
 
Chato haijatimiza vigezo vya kuwa mkoa!

Inaweza kuwa Manispaa.
Sio hitaji la Chato na wanachato yalikuwa matamanio ya JPM, hata kuipa hadhi ya manispaa kutawaongezea wananchi wa Kijiji kile garama za maisha kwa Tozo ,ushuru.Ni ujinga kulazimisha Mambo .
 
Kumuenzi mtu sio lazima ukabaliane na mawazo yake yote kama wewe huna ubongo kwanza na yeye ni binadamu kama wewe anaweza kukosea vilevile, mfano ni hilo la wamachinga haiwezekani kuwaacha wawe holela tu huku wakivunja sheria za nchi kama wao wana sheria zao tofauti kwa kisingizio cha unyonge au kupiga kura kwani kama unyonge ni umasikini basi nchi nzima zaidi ya 90% ni maskini na kama kupiga kura makundi yote nchi hii ni wapiga kura hata wanywa gongo na wavuta bangi nao ni wapiga kura sasa je na wao waachiwe wafanye wanavyotaka?
 
Tumia common sense kabla ya kupost. Mvuta bangi na machinga ni watu wa kulinganisha?
 
Hii ni danganya toto na siasa za kinafiki . Maana Ccm hii chini ya rais Samia haisimamii yale ambayo hayati JPM aliyasimamia.
 
Kuna masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida. Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji mikubwa na mafisadi kuavhiwa huru kana kwamba hawakuliibia taifa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanaonyesha kuwa Ccm haienzi yale hayati JPM aliyasimamia.

Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa Chato itatangazwa kuwa mkoa. Na hii sio justification kuwa Ccm ya awamu ya sita inamuenzi hayati JPM. Hii ni danganya toto na siasa za kinafiki . Maana Ccm hii chini ya rais Samia haisimamii yale ambayo hayati JPM aliyasimamia.
View attachment 1953542
Magufuli akifufuka leo na akaona jinsi nchi inavyoendeshwa. Halafu akawekewa mbele ya Samia Na Mbowe ili achague yupi Gaidi na yupi sio Gaidi. Nina uhakika kwa 1000% atasema Samia ni Gaidi na akamatwe mara moja.
 
Back
Top Bottom