Huu ndo uongozi thabiti usio na mbwembwe wala majigambo lakini mambo yanatrndeka kwa kasi. Nakumbuka kipindi cha jpm zilikuwa ni kelele ndo kwa runinga na kuteka watu tu.
Angalia mama anavyomwaga...
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?
1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao...
Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.
Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako.
Leo...
Aliye Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya leo kuendelea na kesi ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita.
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni...
Hii MariaSpaces ni moto wa kuotea mbali, nilikua na usingiizi ila alipoanza kuongea Mdude ambaye ni muhanga wa "utekaji" usingizi ulikata. Nitajaribu kuweka Audio kama itakubali...
Kwa kifupi ni...
Spika Ndugai amesema askofu Gwajima asijione kwamba yeye ndio anaijua sana dini kwani wengi wanajua dini lakini wako kimya.
Ndugai amesema yeye mwenyewe amewahi kuwa mshauri wa askofu mkuu wa...
Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke.
Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili.
Soma TANZIA - Elias Kwandikwa, Waziri wa...
Mwanzoni nilidhania ni suala la muda tu kwa Rais Samia kuongelea 'uanamke' wake. Nilidhani ni sehemu ya udhaifu wake kuzungumzia wanawake ni kunyanyasika kwao, nikaona ni suala la muda tu atakuja...
VIDEO: Hotuba ya Rais Samia Suluhu Umoja wa Mataifa (UN)
Rais Samia: Tanzania itaendelea kuwa mwanachama kindakindaki wa Umoja wa Mataifa. Tuko tayari kushirikiana na wanaotaka kushirikiana...
Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata...
Ni kama kichwa cha habari kinavyouliza.
Je, ikibainika komandoo Adamoo aliandikisha maelezo yake kwa Shinikizo la Polisi kesi ya Ugaidi ya Mbowe itafutwa?
Nipo hapa kujifunza kutoka kwenu...
Serikali ya JMT leo imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais wa JMT Mh. Samiah Suluhu Hassan kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo...
Pamoja na malalamiko mengi mitandaoni, ya miradi isiyo na tija kwa Taifa huko Chato, ukweli umeanza kudhihiri.
Wilaya ya Chato sasa ni rasmi, ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya...
Hapo nyuma kidogo niliwahi kuuliza, je yawezekana wakuu wa vyombo mbali mbali nchini walijua kilichokuwa kinaendelea kuhusu hatma ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Je yawezekana waratibu na...
Wewe ni mwanadamu wa jinsia ya kike. Kila mtu anafahamu juu ya matatizo ya jinsia katika dunia hii na kila nchi inajitahidi kuondoa matatizo hayo. Njia mojawapo ni kuachana na hali ya kulinganisha...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amedai kuwa amebaini kuwapo wakurugenzi wanaume kutumia vyeo kujihusisha kimapenzi na watumishi wa...
Ni Kufuatia Wizi huo kuibuka upya kwenye baadhi ya maeneo.
- Vibaka wanaosumbua mtaani kukiona.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelielekeza Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar...
Nina Ndoto ya kuwa () Nilizaliwa Miaka ya 1990s katika Mkoa wa Mwanza ,Wilaya ya Missugwi ,kata ya Koromije na kijiji cha Koromije katika Zahanati ya Koromije.
- Safari yangu ya Elimu Ilianza...
Mbunge wa Bumbuli, Mh. January Makamba kasema wazi kwamba, akiwa Mbunge, atahakikisha kampuni ya kisheria ya Rex Attorney's haipati kazi yoyote ndani ya serikali, kwani wangekuwa Makini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.