MwanaHalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake

Mlalahoi

JF-Expert Member
Aug 31, 2006
2,157
2,000
1ffb5dd592d863734a35fa27a069e1e0.jpg

Sioni sababu yoyote kwa Kubenea au gazeti lake la Mwanahalisi kuzusha habari hii. On top of that, ukweli kwamba Mbowe na viongozi wengine wa ngazi za juu Chadema wamepuuzia ishu ya "kupotea" kwa Ben, makes even more sense.

======

UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa masuala ya siasa wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe sasa unazidi kuongezeka. Wanaandika Waandishi Wetu …. (endelea).

Taarifa zinasema Saanane ambaye haonekani nyumbani wala kazini, anaonekana kwa marafiki zake mitaani. Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu (CC) ya Chadema amesema, “Nina wasiwasi kama siyo mkakati binafsi wa kisiasa.

Kijana Saanane amekuwa akionesha kutaka kukwea madarakani haraka hata nje ya taratibu. Tafuteni tu mtaona.”


UPDATE: Inaelekea wanaharakati wa Chadema huko Facebook nao "wana taarifa kuwa Ben hajapotea" kwa sababu ghafla wameitosa kampeni yao ya [HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG], in similar manner kama Mbowe alivyozi-abandon "Operesheni UKUTA Toleo la Kwanza" "Operesheni UKUTA Toleo la Pili" na hii ya majuzi "Operesheni KATA FUNUA." Usiamini maneno yangu, nenda Facebook, angalia posts za "vinara" wa [HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG] utamaizi ninachoeleza
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom