Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Huu ndo uongozi thabiti usio na mbwembwe wala majigambo lakini mambo yanatrndeka kwa kasi. Nakumbuka kipindi cha jpm zilikuwa ni kelele ndo kwa runinga na kuteka watu tu.
Angalia mama anavyomwaga ajira bila makelele ya magazeti eti serikali yamwaga ajira. Tumeshuhudia jeshi la mahereza, polisi na uhamiaji limetangaza ajira kibao lakini hakuba makelele eti kishindo cha awamu ya sita. Ingekuwa kipindi kile magazeti yote na radio zingekoma na habari hii.
JPM alikuwa anadokoa tu ajira lakini duh ilikuwa balaa! Nakumbuka alitangaza kuajiri walimu elfu 13 tu ikawa ndo gumzo la nchi nzima taribani mikutano yote kwamba jpm kamwaga ajira ikawa kama kampain ya kitaifa na baada ya hapo walioajiriwa hawazidi elfu mbili nchi nzima lakini misukule wakajia na kutetea kwamba haiwezekani nchi yoyote kuajiri watu wote, tukawaambia kwa ninj jk aliweza wakasema kulikuwa na upigaji jibu ambalo havina uhusiano kabisa.
Sasa mama anatatua swala la ajira kimyakimya bila makelele na tumerudi enzi za jk ambapo ajiri zilikuwa bwerere kwamba kila kila mhitimu anakuta ajira zipo labda akatae ajira mwenyewe.
Thank you mama and may God bless you. Nchi ilikuwa imepotea.