Hotuba ya Rais Samia yatajwa katika hotuba saba bora za Umoja wa Mataifa

Bibititi1

JF-Expert Member
Sep 28, 2014
464
218
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania aliyoitoa Septemba 23 kwenye Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) huko New York, imetajwa kuwa miongoni mwa hotuba saba muhimu zaidi kwenye kikao hicho.

Hotuba ya Rais Samia imechaguliwa na tovuti ya Marekani ‘Foreign Policy (FP)’ miongoni mwa hotuba muhimu zaidi kutolewa kwenye kikao hicho na pia ni ya pekee kutoka kwa mkuu wa nchi mwanamke.

Samia amekuwa mmoja wa wakuu wachache wa nchi wanawake kutoka Afrika kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Viongozi wengine ambao hotuba zao zimeelezea mambo muhimu ni pamoja na Rais wa China Xi Jinping, Rais wa Marekani Joe Biden, Rais wa Brazil Jair Bolsonaro, Rais wa Lebanon Michel Aoun, Rais wa Iran Ebrahim Raisi na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi.

Katika chapisho lao ‘FP’ liliwataka wachangiaji na waandishi wa kurasa zao kupima hotuba wanazoona zina uzito mkubwa au zina mambo muhimu zaidi.

===========================

Adjustments.jpg

Tanzania’s first female president stepped onto the scene.

By Laurie Garrett, Pulitzer Prize-winning science writer and columnist at Foreign Policy

When Tanzanian President Samia Suluhu Hassan finally took the stage to deliver her speech at the United Nations General Assembly on Thursday afternoon, she presented a distinctive contrast to the endless stream of all-male speakers who had preceded her to the podium on the third day of the General Debate. Even more sharply, she stood in clear contrast with the man who preceded her as president of Tanzania.

Suluhu previously served as vice president under President John “The Bulldozer” Magufuli, a man who brooked no disobedience, including on his insistence that COVID-19 didn’t exist in Tanzania. Under his presidency, data on the country’s mounting death toll was suppressed, doctors were gagged, and all coronavirus-related drugs and vaccines were banned.

Then, in February, Magufuli abruptly disappeared from public view—and for the first time, on Feb. 27, a physician gave a nationally broadcast speech warning Tanzanians of the new plague. On March 17, Magufuli died.

Suluhu acceded to the presidency, telling the nation her predecessor had “died of a heart condition”—a statement she has not amended despite it being widely suspected that his cause of death was COVID-19. Days later, South African scientists reported discovery of a “super-mutant” strain of the novel coronavirus unlike any other circulating in Africa, carried by three Tanzanian travelers to Angola. Regional political pressure on Suluhu rose, and over the next several months, she created a COVID-19 scientific advisory council and joined global efforts to obtain vaccines and drugs for her nation.

In her U.N. remarks, Suluhu repeatedly praised multilateralism and the United Nations system. She noted her nation’s dependency on technical and financial support from external sources and admonished that “multilateralism cannot and should not succumb to the virus.”

Far from following Magufuli in denying the presence of the virus in the country, Suluhu acknowledged that “Tanzania has not been spared by COVID-19” and said the pandemic had already radically reduced Tanzania’s economic growth, from 6.9 percent a year to 5.4 percent, primarily due to loss of tourism. This, in turn, has wiped out the country’s ability to finance climate change adaptation.

As the first female leader of her nation, Suluhu pointedly noted that “COVID-19 is threatening to roll back the gains that we have made” in gender equity and said she plans to implement policies aimed at female economic development and political and social advancement.

The world still lacks verifiable COVID-19 data from Tanzania, including on cases and death tolls. But Suluhu started vaccination efforts in July, and with her U.N. speech, she joined the majority of her African peers in strongly denouncing the inequities in global vaccine distribution, with merely 245 million doses distributed as of earlier this month to poorer nations through the U.N.’s COVAX mechanism and 81 percent of all doses having been administered in the wealthiest nations.

Even looking to 2022, the wealthy world is backtracking on promised vaccine donations to COVAX, and nearly 80 percent of African nations will miss not only their short-term COVID-19 control targets but also those set for attainment next year.
 
Tunahitaji Tume huru ya Uchaguzi na bila ya kuisahau Katiba mpya iliyokwama pale bungeni kwa CCM,wabunge hewala.
hayo ya hotuba ni yao yanatusaidia nini tulioibiwa Uchaguzi na matokeo ya kubuni.
Tume huru halafu katoweni Hotuba tutawaelewaga.
 
NIchagulie wawili kati ya hawa ambao ni mahiri katika kulinda haki za binadamu:- kama rais wa Paki, Jamaa wa china, jk, barada, kiduku, osama, mahita, ............................... Bila shaka utachagua.

Kwa uchaguzi wako katika hawa, kinafanya wawe rula ya ubinadamu duniani? Kwamba hao ndio kipimo cha ubinadamu? Si sawa. Badko kuna viwango bora mara 200 iwapo tu ushiriki ungefanyika kwa vigezo vya ubinadamu.

Vivyo hivyo, kama ushiriki ungelifanywa kwa kigzo cya maandalizi ya hotuba bora, bila shaka, ungejua hotuba bora ni nini.
Lakini kama ni kwa waliokuwepo, wala si ajabu kwa kuwa kwa nature ya mkutano wenyewe na kila mtu anangozi yake ndani ya mavazi. Isikupe tabu.
 
Ukiona unasifiwa sana na walafi wa rasilimali zako rudi nyuma ujitazame.
 
Mleta mada umepotosha. IMPORTANT tafsiri yake siyo BORA bali ni MUHIMU!

Ukisoma hiyo article, mwandishi amejumuisha hotuba ya Samia kwa sababu ameongelea mambo na mitazamo ambayo yanaonyesha anaenda kinyume na mtangulizi wake ambaye ni Magufuli hasa hasa kwenye suala zima la Covid-19. Kumbuka mwandishi wa hiyo makala amejikita kwenye maandishi ya mambo ya sayansi.
 
haki yake mpeni
Hongera rais wetu kwa kuwemo kwenye saba bora ya hutoaji hotuba kwenye mkutano wa UNGA.

Mleta mada ile hotuba ya rais wa Ghana imeshika namba ngapi?
===
Ni vigezo vipi vilitumika kufanya ranking ya hotuba hizo?

Natanguliza shukrani kwa kwa majibu.
 
Waimba mapambio awamu hii mnajitahidi kwA kweli humu ndani,alafu sijui na nyie ni wanawake Vilevile??
 
Hotuba yake inayo trend sasa hivi ni ya kuita wanaume sperm donor.

Hao waandishi wa FP hata uongo wa hiyo hotuba ya UN waliodanganywa hawaujui.

..makala inasema baada ya Magufuli kufa wanasayansi wa South Africa waliripoti kugundulika kwa " super mutant " variant ya COVID-19 ktk wasafiri waliofika Angola wakitokea TANZANIA.

..Sijui kwanini mtoa mada anadhani hiyo makala ni ya kutusifia Watanzania na Rais SSH. Kwa kweli vijana wetu wana shida kubwa ya uelewa.
 
Kuna makala moja iliandikwa kuhusu Nyerere.

Viongozi wa Tanzania wakawa wanaisifia sana, imemuqndika Nyerere hana makuu, alivyo mtu wa watu, nyumbani kwake wafanyakazi hata hawa serve juisi ya baridi na wamevaa nguo za hali ya chini sana.

Watu wakafurahia, Nyerere kaandikwa mtu wa watu.

Akaja Mzee mmoja alikuwa muandishi wa Ikulu nafikiri, Paul Sozigwa, akawaambia hapa mmetukanwa rais wenu hawezi hata kuendedha nyumba na wafanyakazi wake wachafu.

Ndicho hicho kinachiendelea leo.

Watanzania wengine waandikiwa ripoti kwamba wametoka kuwa wa mwisho darasani, wamejiongeza kidogo tu, wanashangilia bila kuelewa muktadha mzima.
 
Jamani mnaambiwa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kupitia daily news letter maarufu duniani Foreign Policy (FP). Wametaja kuwa hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa hotuba saba bora na muhimu katika mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa uliofanyika wiki iliyopita nchini Marekani katika Jiji la New York.

View attachment 1957068
I

FP wameandika

Tanzania’s first female president stepped onto the scene.

By Laurie Garrett, Pulitzer Prize-winning science writer and columnist at Foreign Policy

When Tanzanian President Samia Suluhu Hassan finally took the stage to deliver her speech at the United Nations General Assembly on Thursday afternoon, she presented a distinctive contrast to the endless stream of all-male speakers who had preceded her to the podium on the third day of the General Debate. Even more sharply, she stood in clear contrast with the man who preceded her as president of Tanzania.

Suluhu previously served as vice president under President John “The Bulldozer” Magufuli, a man who brooked no disobedience, including on his insistence that COVID-19 didn’t exist in Tanzania. Under his presidency, data on the country’s mounting death toll was suppressed, doctors were gagged, and all coronavirus-related drugs and vaccines were banned.

Then, in February, Magufuli abruptly disappeared from public view—and for the first time, on Feb. 27, a physician gave a nationally broadcast speech warning Tanzanians of the new plague. On March 17, Magufuli died.

Suluhu acceded to the presidency, telling the nation her predecessor had “died of a heart condition”—a statement she has not amended despite it being widely suspected that his cause of death was COVID-19. Days later, South African scientists reported discovery of a “super-mutant” strain of the novel coronavirus unlike any other circulating in Africa, carried by three Tanzanian travelers to Angola. Regional political pressure on Suluhu rose, and over the next several months, she created a COVID-19 scientific advisory council and joined global efforts to obtain vaccines and drugs for her nation.

In her U.N. remarks, Suluhu repeatedly praised multilateralism and the United Nations system. She noted her nation’s dependency on technical and financial support from external sources and admonished that “multilateralism cannot and should not succumb to the virus.”

Far from following Magufuli in denying the presence of the virus in the country, Suluhu acknowledged that “Tanzania has not been spared by COVID-19” and said the pandemic had already radically reduced Tanzania’s economic growth, from 6.9 percent a year to 5.4 percent, primarily due to loss of tourism. This, in turn, has wiped out the country’s ability to finance climate change adaptation.

As the first female leader of her nation, Suluhu pointedly noted that “COVID-19 is threatening to roll back the gains that we have made” in gender equity and said she plans to implement policies aimed at female economic development and political and social advancement.

The world still lacks verifiable COVID-19 data from Tanzania, including on cases and death tolls. But Suluhu started vaccination efforts in July, and with her U.N. speech, she joined the majority of her African peers in strongly denouncing the inequities in global vaccine distribution, with merely 245 million doses distributed as of earlier this month to poorer nations through the U.N.’s COVAX mechanism and 81 percent of all doses having been administered in the wealthiest nations.

Even looking to 2022, the wealthy world is backtracking on promised vaccine donations to COVAX, and nearly 80 percent of African nations will miss not only their short-term COVID-19 control targets but also those set for attainment next year.
Waooo,

This is the One I support,

😍😍😍😍
 
Mwandishi kasema Hangaya ana uafadhali kidogo kulinganisha na bosi wake ambaye tetesi zilisema kafa kwa Covid19.
 
Tutaona mengi, ila apunguze kuweka gender kuwa ni ishu kila akizungumza, sisi ni wamoja wanawake kwa wanaume tushikamane tulijenge taifa letu
 
Labda alikuwa anadharauliwa Na Boss wake kwa sana
Unajua huwa yanakuwa maradhi unapofanyiwa kitu huku hupendi
Hatuwezi kujua yaliyokuwa yanamsibu
 
Back
Top Bottom