Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema serikali imepokea mkopo wa zaidi ya dola za Marekani 500m Fedha hizo zitatumika kujazilizia kwenye Tozo za mshikamano na hivyo kujenga madarasa...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake. Kuna watu walilalamika tangu kwa...
22 Reactions
124 Replies
7K Views
Hope mko poa kabisa. Kesi ya Freeman Mbowe imetufungua macho wengi, Yaani polisi wanakamata mtuhumiwa let say mtuhumiwa anaitwa Faru John,, afu wakienda kumuandikisha wanaandika may be Fredrick...
19 Reactions
38 Replies
3K Views
Mwalimu mkuu shule ya msingi Maweni huko Igunga ambaye ni mwanamke anaishi kwenye nyumba ya udongo na miti kwa miaka kumi sasa. Mwalimu huyo amesema nyumba hiyo inavuja kila mahali hivyo wakati...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwa kweli kama kuchenjiwa na serikali tumechenjiwa. Maana haijawahi kutokea kwenye historia ya taifa letu Chadema na watanzania kupata harassment ya namna hii. Tukiandamana tunapewa kibano...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimemsoma DC Jokate kule twitter akielezea jinsi Jogging aliyoiandaa ilivyofana kule Temeke. Najiuliza, Ilikuwaje Bawacha wakakamatwa jana?
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Hapo vip!! Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand. Na ugomvi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda...
11 Reactions
63 Replies
6K Views
Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Mbunge wa Musoma Vijijini Prof Sospeter Muhongo ameanza kuchafuliwa baada ya kugundua kuwepo kwa miradi hewa na matumizi mabaya ya fedha za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC). Mbunge huyo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku zote nimekuwa nikisema.... UBAYA HAUNA KWAO. msije mkadhani Rais kwa kuwa ana Jina zuri la Kikristo au Kiislamu basi atakuwa mwema. Sababu linatoka kwenye Biblia au Quran. Msije mkaangalia...
3 Reactions
3 Replies
988 Views
Wanabodi, Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Kufa Kufaana", wakati watu wanahangaika na janga la Corona, wengine wanaangazia namna ya kutumia changamoto kuzibadili kiwa fursa, yaani turning...
22 Reactions
131 Replies
16K Views
Kuna hali fulani hivi inaendelea ndani ya chama dola ambapo sitaweza kuizungumzia au kuandika hapa kwa kuwa nimezipata kama fununu tu mahali fulani kwa hivyo sina uhakika nazo sana. Ila nikasema...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Vijana ndio dhamana ya ccm Alphonce Muyinga ( Alphanga black) akiwapa nasaa vijana wenzake wa jimbo la Ushetu katika uchanguzi mdogo utakao fanyika tarehe 9/10/2021
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Kuanzia sasa wale Wote ambao watakutwa na Makosa ya Kuua Wenzao hakuna Kufungwa Kifungo cha Maisha Jela bali na Wao wanatakiwa Kuuliwa kwa Kunyongwa ili wasiendelee Kututia Hasara kwa Upumbavu...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Katika hotuba yake ya kwanza bungeni ambayo wabunge wa Chadema walisaini posho na kisha kwenda kuingalia kwenye baa Raisi John Magufuli aliahidi kusimamia ukusanyaji wa mapato...
12 Reactions
107 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais wa JMT mh Samia leo ameongoza kikao cha kamati kuu ya chama hicho Chamwino nje kidogo ya jiji la Dodoma. Je, askofu Gwajima na Komredi Polepole na yule wakili...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Ustadh Mganga ambaye ni bingwa wa utabiri hapa Afrika Mashariki ametabiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hivi karibuni ataanza kupokea tuzo za kimataifa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, naingia kwenye mada moja kwa moja. Katika andiko hili nimebainisha kinagaubaga mambo ambayo yalimuinua na kumdidimiza Magufuli ili mama Samia Suluhu...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama kaawaida kuna ambao wanataka kutumia huu kama mtaji wa kisiasa. Wamachinga walikuwa bad handled before tusiendelee kukosea. Hakuna Jiji au Mji ambao hauna mipango au utaratibu. Kuwaacha tu...
13 Reactions
47 Replies
4K Views
Wakuu za jumapili. Ukweli ulio wazi na CCM tulimchukulia poa Mbowe,, tulimuona ni mtu wa kawaida Kama kina Ndugai, kina kibajaji au kina msukuma. Mbowe akiletwa mahakamani,, watu wanajaa...
47 Reactions
109 Replies
8K Views
Back
Top Bottom