Maamuzi kama haya ya Kiume na ya Kijeshi ndiyo yananifanya nimkubali sana Rais wa Uganda Jenerali Yoweri Kaguta Amos Museveni

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
"Kuanzia sasa wale Wote ambao watakutwa na Makosa ya Kuua Wenzao hakuna Kufungwa Kifungo cha Maisha Jela bali na Wao wanatakiwa Kuuliwa kwa Kunyongwa ili wasiendelee Kututia Hasara kwa Upumbavu wao na kuwazidishia tu Majonzi wale Ndugu wa Marehemu wakijua bado wanaendelea Kupumua hii Hewa ambayo hata wale Waliowauwa walistahili Kuivuta na Kuijenga Uganda yetu na Kuzistawisha pia na Familia zao"

Chanzo: Radio One Nipashe ya Leo.

Mightier nitashangaa sana kama na Marais wengine ( hasa Samia wa Tanzania na Kagame wa Rwanda ) bila kuwasahau na wengineo wa Jumuiya hii ya Afrika Mashariki hawatamuiga Rais Mzee Museveni.

Napenda mno Marais wenye Maamuzi ya mwisho, ya Kibabe, Kijeshi ( Kimedani ) na wasio Waoga na Kelele za Wanafiki wa ndani na nje kama aliyonayo Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Amos Museveni na hasa katika hili Suala zima la Hukumu ya Kunyongwa ( Kuuwawa ) kwa wale ambao nao Wameua.
 
Na wachunguzi wa hizo kesi na ma-DPP wa hizo kesi na mahakama wa hizo kesitakuwa hizi hizi za Uganda, Tanzania, Rwanda??
 
Kwa mawazo hayo ninakuombea kwa mizimu yangu ikupe mwanga,death sentence ni unyama wa hali ya juu,nikipewa urais wa 24hrs nitakuwa nimeshapeleka hoja hii bungeni ili tufutilie mbali unyama huu,rapist hapa wanapewa 30yrs in jail je rate ya ubakaji inapungua nchini?
 
"Kuanzia sasa wale Wote ambao watakutwa na Makosa ya Kuua Wenzao hakuna Kufungwa Kifungo cha Maisha Jela bali na Wao wanatakiwa Kuuliwa kwa Kunyongwa ili wasiendelee Kututia Hasara kwa Upumbavu wao na kuwazidishia tu Majonzi wale Ndugu wa Marehemu wakijua bado wanaendelea Kupumua hii Hewa ambayo hata wale Waliowauwa walistahili Kuivuta na Kuijenga Uganda yetu na Kuzistawisha pia na Familia zao"

Chanzo: Radio One Nipashe ya Leo.

Mightier nitashangaa sana kama na Marais wengine ( hasa Samia wa Tanzania na Kagame wa Rwanda ) bila kuwasahau na wengineo wa Jumuiya hii ya Afrika Mashariki hawatamuiga Rais Mzee Museveni.

Napenda mno Marais wenye Maamuzi ya mwisho, ya Kibabe, Kijeshi ( Kimedani ) na wasio Waoga na Kelele za Wanafiki wa ndani na nje kama aliyonayo Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Amos Museveni na hasa katika hili Suala zima la Hukumu ya Kunyongwa ( Kuuwawa ) kwa wale ambao nao Wameua.
Poisonous at your best
 
Achana na mfungwa huyo BANNED FOR LIFE
Sijui ikitokea labda ndani ya muda mchache ujao akaamua Kujitokeza ( tena kurudi kabisa ) na hiyo hiyo ID yake tunayosema kapewa PERMANENT BAN Sura zetu tutazificha wapi kwa Uzushi, Uwongo na Kiherehere chetu cha kujifanya tunajua kuliko wenye hizo ( hizi ) ID's hapa. Yangu ni Macho tu!!!!
 
"Kuanzia sasa wale Wote ambao watakutwa na Makosa ya Kuua Wenzao hakuna Kufungwa Kifungo cha Maisha Jela bali na Wao wanatakiwa Kuuliwa kwa Kunyongwa ili wasiendelee Kututia Hasara kwa Upumbavu wao na kuwazidishia tu Majonzi wale Ndugu wa Marehemu wakijua bado wanaendelea Kupumua hii Hewa ambayo hata wale Waliowauwa walistahili Kuivuta na Kuijenga Uganda yetu na Kuzistawisha pia na Familia zao"

Chanzo: Radio One Nipashe ya Leo.

Mightier nitashangaa sana kama na Marais wengine ( hasa Samia wa Tanzania na Kagame wa Rwanda ) bila kuwasahau na wengineo wa Jumuiya hii ya Afrika Mashariki hawatamuiga Rais Mzee Museveni.

Napenda mno Marais wenye Maamuzi ya mwisho, ya Kibabe, Kijeshi ( Kimedani ) na wasio Waoga na Kelele za Wanafiki wa ndani na nje kama aliyonayo Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Amos Museveni na hasa katika hili Suala zima la Hukumu ya Kunyongwa ( Kuuwawa ) kwa wale ambao nao Wameua.
Wewe ni 'Mightier' wa kitu gani mkuu asiyeweza kutambua ulaghai uliowazi kiasi hicho? Mbona akili yako inahadaiwa kirahisi hivyo!

Hao anaowasema huyo Dikteta' unayempa sifa asizostahili kabisa ni hao wasiokuwemo NMR (sijui ni NRM?) wanaoua kwa niaba yake.

Watu wengine mnazo akili za kuchotwa haraka haraka sana, hata hamna nafasi ya kujipa muda kuwaza na kuchambua kinachosemwa kwa makini.
 
Back
Top Bottom