johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,879
- 141,813
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema serikali imepokea mkopo wa zaidi ya dola za Marekani 500m
Fedha hizo zitatumika kujazilizia kwenye Tozo za mshikamano na hivyo kujenga madarasa mengi zaidi kufikia zaidi ya 1000, kwa sasa tunajenga madarasa 550 kwa kutumia Tozo, amesema.
Pia mkopo huo wa masharti nafuu tutautumia kuimarisha Huduma za kijamii ikiwemo maji, umeme vijijini na barabara za vijijini, amesisitiza msemaji wa serikali.
Chanzo: TBC