Samia Suluhu Hassan ni Rais halali kabisa wa Tanzania, tusimdharau ila tumuombee afya, amani na azidishiwe hekima ya kutuongoza watanzania

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,763
35,205
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.

Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni

Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
 
Kwa hiyo hata tawala za makaburu Africa Kusini, Iddi Amin, Mobutu na Hitler hazikupaswa kupingwa?

Nitakuja kukujibu kesho kwa uzuriiiii tukijaliwa
Maana kama unaamini Mungu yupo huku unamfanya Mungu mdogo wako ni hatari
 
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kiruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.

Kuna watu walilalamika tangu kwa nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa JPM na sasa wanalalamika bado kwa SSH na watalalamika tuu hata ashushwe malaika toka mbinguni

Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Mbona kama unalazimisha!!!?
Sote tunajua ni raisi wa JMT na na tunamuheshimu
 
Usitumie kivuli cha Mungu kuhalalisha unyang'au.

Kwa hiyo watu waliopambana na serikali za Ulaya na USA kukomesha utumwa na ubaguzi wa watu weusi walifanya makosa?
Nitakuja kukujibu kesho kwa uzuriiiii tukijaliwa
Maana kama unaamini Mungu yupo huku unamfanya Mungu mdogo wako ni hatari
 
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kiruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.

Kuna watu walilalamika tangu kwa nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa JPM na sasa wanalalamika bado kwa SSH na watalalamika tuu hata ashushwe malaika toka mbinguni

Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Hivi kuna mtu anaweza kumdharau rais???????
 
Mbona Nyerere alipambana kuondoa utawala wa kikoloni? Au utawala wa kikoloni uliibuka kwa bahati mbaya?
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kiruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.

Kuna watu walilalamika tangu kwa nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa JPM na sasa wanalalamika bado kwa SSH na watalalamika tuu hata ashushwe malaika toka mbinguni

Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
 
Katika taifa ambalo ni secular huwezi kujenga hoja kwa kumtumia Mungu.

Back
Top Bottom