Kwa mujibu wa viongozi wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM , wamama hawa walikamatwa kwa kufanya Jogging iliyoashiria uvunjifu wa amani (haijulikani ni uvunjifu wa namna gani).
Bali...
Jana kuna mtaalam mmoja wa coding amehack mitandao ya Facebook, WhatsApp, na instagram dunia nzima ilisimama, viongozi wote walisimama, wasanii wote walisimama. Mpaka wengine walitaka kupasua simu...
RC Makalla ametoa muda wa mwezi mmoja kuanzia leo wamachinga walio katika maeneo yafuatayo kuhama:
1. Kwenye hifadhi ya barabara
2. Waliojenga vibanda juu ya mifereji ya maji machafu
3. Mbele...
Ndugu Polepole katika vipindi vyake vya Shule ya Uongozi anazungumzia mambo mengi lakini theme kuu ni kupinga mataifa ya magaharibi.
Katika moja ya mafundisho yake Polepole anasema tusitumie...
Ndio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani.
Sisi wanaCHADEMA huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja...
Mbunge wa Musoma Vijijini Prof Sospeter Muhongo ameanza kuchafuliwa baada ya kugundua kuwepo kwa miradi hewa na matumizi mabaya ya fedha za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC). Mbunge huyo...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema licha ya kwamba dalili za mlipuko zinaonekana kuwa nzuri, bado tatizo lipo hivyo Watanzania wanapaswa kuendelea kujikinga.
Ameeleza, "Tuendelee...
Mwaka mmoja uliopita
Sasa anatumi za kukodisha
Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu.
Jambo la...
Nimeona ni vema jambo hili liwekwe wazi ili kuondoa upotoshaji maana tayari kuna wapotoshaji wameanza kazi yao.
Uongozi na hasa uongozi wa Juu kama Urais, unaendeshwa kwa utaratibu uliowekwa...
Kama wewe umekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa zetu unaweza kukumbuka jambo moja ambalo lilianzia padogo lakini mwisho likaishia kuwa jambo kubwa kwelikweli....Sakata la Dowans ni mfano mmoja...
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
Cartoonist Oppter John Fwema anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay. Nimeongea na mdogo wake na amenambia kuwa Oppter alikamatwa nyumbani kwake Bunju siku ya Ijumaa tarehe 3 September 2021kwa...
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na...
Some say nothing gold can last forever,
And 2 believe this need no proof,
I have witnessed all that was pure in me,
And be changed by the evil men can do ,
The innocence possessed by children ...
Ama hakika dunuani kuna mambo.
Mzee wetu Jecha alishindwa kabisa kujieleza mbele ya waandishi wa habari.
Hivi hili tatizo inawezekana likawa nini haswa?
Tafadhalini jamani mwenye uelewa...
Habari za hivi punde kuhusiana na kikao kinachoendelea kwenye ukumbi wa Mwalimu nyerere zinasema mzee Kingunge Ngombale Mwilu ametimuliwa rasmi kuwa kamanda wa uvccm Taifa kwa kushindwa kutimiza...
Kama ni kosa au udhaifu kwenye itikadi ya hayati Magufuli basi ni pale alipoamini kuwa ndugu wa karibu watamsaidia zaidi katika kuyafikia malengo na matamanio yake ya kisiasa.
Nimeona SMZ ya Dr...
My Take 1.
Je, tuseme hii ni serikali ya mkono wa chuma na tuanze maombi ya kupata serikali ya awamu ya 7?
My Take 2.
Akitiwa nguvuni mtu mmoja kiajabu-ajabu basi tuungane wote kukemea. Sio...
03 September 2021
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud, ofisi ya DPP lazima iwe inachunguzwa kama wenzetu huko Uingereza Ofisi ya Crown Prosecution yaani DPP huchunguzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.