Polisi kuwapachika majina mapya watuhumiwa wanapofikishwa kituoni, ndo sababu ya ndugu zetu kupotea kusikojulikana

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Hope mko poa kabisa.

Kesi ya Freeman Mbowe imetufungua macho wengi,

Yaani polisi wanakamata mtuhumiwa let say mtuhumiwa anaitwa Faru John,, afu wakienda kumuandikisha wanaandika may be Fredrick Paul, so ata akiteswa akauwawa ndugu hamtampata.
Maana mkienda kwenye kituo cha polisi mtakuta jina bandia walilombatiza mtuhumiwa.

Huu ujinga ulioletwa na polisi waTanzani lazima ukomeshwe, polisi nyie sio maaskofu kuweza kubatiza watu majina.

Bring back our Lijenje

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hope mko poa kabisa.

Kesi ya Freeman Mbowe imetufungua macho wengi,

Yaani polisi wanakamata mtuhumiwa let say mtuhumiwa anaitwa Faru John,, afu wakienda kumuandikisha wanaandika may be Fredrick Paul, so ata akiteswa akauwawa ndugu hamtampata.
Maana mkienda kwenye kituo cha polisi mtakuta jina bandia walilombatiza mtuhumiwa.

Huu ushenzi ulioletwa na polisi wa Mahita,Kingai na Sirro lazima ukomeshwe, polisi nyie sio maaskofu kuweza kubatiza watu majina.

Hii imetushangaza sana. Unaweza kumaliza vituo vyote usimpate ndugu yako.

Hii dhambi itawatafuna
 
Hope mko poa kabisa.

Kesi ya Freeman Mbowe imetufungua macho wengi,

Yaani polisi wanakamata mtuhumiwa let say mtuhumiwa anaitwa Faru John,, afu wakienda kumuandikisha wanaandika may be Fredrick Paul, so ata akiteswa akauwawa ndugu hamtampata.
Maana mkienda kwenye kituo cha polisi mtakuta jina bandia walilombatiza mtuhumiwa.

Huu ushenzi ulioletwa na polisi wa Mahita,Kingai na Sirro lazima ukomeshwe, polisi nyie sio maaskofu kuweza kubatiza watu majina.

Bring back our Lijenje

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app

Hii inaonekana kuwa ni mahsusi kwa kigenge fulani cha watu wasiojulikana kilichomo ndani ya jeshi la polisi chini ya Sirro.

Hawa hushirikiana pia na wengine ambao hujiita wa ikulu kuwaficha watu kwenye basement za majumba yao kama hivi:

Yawezekana, Ben Azory Lijenje wako hai mahali.

We should task these people to produce them alive.
 
Unaweza kumpata marehemu wako kama utaenda kutembelea mochwari za mikoa yote Tanzania, nadhani marehemu huwa hawaandikishwi majina yao ili wahifadhiwe.

Kuna watu wamegoma kabisa kumuogopa Mungu, ugumu wa maisha umewaondolea roho ya ubinadamu wameamua kuwa wanyama katili kwa binadamu wenzao afadhali ya simba.
 
Hope mko poa kabisa.

Kesi ya Freeman Mbowe imetufungua macho wengi,

Yaani polisi wanakamata mtuhumiwa let say mtuhumiwa anaitwa Faru John,, afu wakienda kumuandikisha wanaandika may be Fredrick Paul, so ata akiteswa akauwawa ndugu hamtampata.
Maana mkienda kwenye kituo cha polisi mtakuta jina bandia walilombatiza mtuhumiwa.

Huu ushenzi ulioletwa na polisi wa Mahita,Kingai na Sirro lazima ukomeshwe, polisi nyie sio maaskofu kuweza kubatiza watu majina.

Bring back our Lijenje

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hayo yalikuwa maagizo kutoka kwa Magufuli.
 
Na wewe, sijui nini unakitafuta
 
Unaweza kumpata marehemu wako kama utaenda kutembelea mochwari za mikoa yote Tanzania, nadhani marehemu huwa hawaandikishwi majina yao ili wahifadhiwe.

Kuna watu wamegoma kabisa kumuogopa Mungu, ugumu wa maisha umewaondolea roho ya ubinadamu wameamua kuwa wanyama katili kwa binadamu wenzao afadhali ya simba.
1. Hakuna Mungu, tabia ya binadamu kutafuta faraja baada ya kukosa majibu ya matatizo yanayowakabili ndipo wakatengeneza hicho kitu kinaitwa Mungu 2. Kweli polisi hawapo fair, inabidi wajiangalie, lakini polisi wanaweza kuwa wanaonewa katika hili pia, ni kauli moja tu ya Samia kuhusu hili itasawazisha kila kitu kuhusu hali ya siasa iliyopo TZ kwa sasa, Sijui ni nini kinamsibu katika hili la kuacha demokrasia itawale Tz, Anajua yeye na watu wake wa "Intelejensia", Wapinzani msiache kupiga kelele
 
Sawaaa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kelele zipigwe na wote

Back
Top Bottom