Mkoa wa Arusha machinga wawapiga wenye maduka

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!!

Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.

Na ugomvi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.

Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio polisi walikuwa wanataka kuchoma duka la yule mfanyabiashara.

Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mzaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.

Nina imani tokea machinga waanze kuzagaa zagaa kunawafanyabiashara wengi wafunga biashara zao kwasababu ya tatizo hili na serikali ikapoteza mapato au kodi ambayo ingetumiwa na serikali kughara elimu,afya za hao watoto wamachinga.

Ki ukweli ule ugomvi wakuta kumshambulia yule mfanyabiashara wa ngulelo ulinigusa sana..haikuwa haki hata kidogo.

Nimeona niandike hili kwasababu serikali ipo kama inaogopa kuchukua hatua katika hili swala..pasipo kupepesa macho machinga ni tatizo.
 
Hapo vip!!

Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.

Na ugovi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.

Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio police walikuwa wanataka kuchoma duka la yulebmfanyabiashara.

Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mdhaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.

Nomeona niandike jili kwasababu serikali ipo kama inaogopa kuchukua hatua katika hili swala..pasipo kupepesa macho machinga ni tatizo.
Arusha bang Sana kila mtu anatumia

USSR
 
Wamachinga fungueni jicho muone, adui yenu ni CCM sio wafanyabiashara
 
Hapo vip!!

Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.

Na ugovi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.

Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio police walikuwa wanataka kuchoma duka la yulebmfanyabiashara.

Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mdhaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.

Nina imani tokea machinga waanze kuzagaa zagaa kunawafanyabiashara wengi wafunga biashara zao kwasababu ya tatizo hili na serikali ikapoteza mapato au kodi ambayo ingetumiwa na serikali kughara elimu,afya za hao watoto wamachinga.

Ki ukweli ule ugomvi wakuta kumshambulia yule mfanyabiashara wa ngulelo ulinigusa sana..haikuwa haki hata kidogo.

Nimeona niandike hili kwasababu serikali ipo kama inaogopa kuchukua hatua katika hili swala..pasipo kupepesa macho machinga ni tatizo.
Kwani serikali ya ccm inasemaje?
 
Wamachinga siyo wakuowaonea huruma,,,ata kama ni mimi cwezi kukubali waweke biashara yao mbele ya duka langu.

Mama samia fanyia kazi hili swala, watafutie sehemu nje ya mji.
 
Serikali inatakiwa iwe serious na mambo kama haya siyo kimbelembele ya msgr na kununua ndege vitu vikubwa nje ya uwezo wakati swala la machinga liko chini ya uwezo wao.
 
Wamachinga siyo wakuowaonea huruma,,,ata kama ni mimi cwezi kukubali waweke biashara yao mbele ya duka langu.

Mama samia fanyia kazi hili swala, watafutie sehemu nje ya mji.
Serikali walaa isijiingize huko

Machinga wapangishe fremu na waombe vizimba kwenye masoko yanayojulikana yashajengwa na serikali...

Ndo mana usiku wanapita tu wanabomoa
 
Back
Top Bottom