Mwalimu Mkuu shule ya msingi Maweni wilayani Igunga anakaa kwenye nyumba ya "mbavu za mbwa" (miti na udongo)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Mwalimu mkuu shule ya msingi Maweni huko Igunga ambaye ni mwanamke anaishi kwenye nyumba ya udongo na miti kwa miaka kumi sasa.

Mwalimu huyo amesema nyumba hiyo inavuja kila mahali hivyo wakati wa masika anakuwa kama analala chini ya mti.

Source: ITV habari za saa

My take: Mwigullu Nchemba iangalie maweni P/school kwa jicho la tozo.
 
09985818-7BCF-40D0-89DC-171253D1833C.jpeg
 
Serikali haijali walimu ndomana haiwalipi walimu hata madai yao kwa wakati!!

Ukiona serikali inatesa walimu wake jua ni serikali dhalili isiyo jali maendeleo yawatu.

Chama chao walimu CWT kimetekwa makusudi ili kibaki kula michango bila kuwatetea walimu kwalolote!

Ninamchepjko mwl primary analia njaa utadhani hanagakazi!

Waoneeni imani walimu wetu
 
Daaaaa yaani Huwezi amini jamani duuu ukiwaona wanavyotumbua mapesa na kuiba kulimbikiza huwezi kuelewa wakipewa wali kofia kanga aaaaah basi wanaimba na kushangiliaa upuuzi wao ndio umasikini wao milele
 
Wanazingua hao Jamaa.

SSM kipao mbele Chetu kwa sasa ni kuwajengea mahekalu maraisi wastaafu.
 
Back
Top Bottom