Kwa namna kilivyojiimarisha na kisivyoyumba sioni chama kingine chochote cha upinzani kinachoweza kuwa Chama Kikuu cha upinzani zaidi ya CHADEMA.
Na kwa jinsi CCM ilivyojichimbia mizizi kuanzia...
Kipimo cha uwezo wa sehemu ya kazi hupimwa kwa kitu kinachoitwa Perfomance appraisal. Tangu ashike madaraka Rais wa Tanzania wa awamu ya sita ni wazi amescore credit zote 100.
Mosi kuweza...
Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake...
Siweki neno:
Lakini ukitaka kujua kwa nini wamachinga walimlilia sana, kujitokeza kwa wingi njiani kumzika ni hii hapo juu
Hata Rais wa awanu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi wakati akisoma Tanzia...
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa Dr Kijazi amesema kutakuwepo na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi hivyo Wakulima wanapaswa kuchukua...
Vita vya kusaka nafasi ya Naibu katibu Mkuu UVCCM Bara vimepambana moto kwelikweli.
Nafasi hiyo iko wazi baada ya aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo ndugu Galila Wabanhu kuondolewa katika nafasi...
Sakata la wananchi wa Kijiji Cha Engarooji ,wilayani Monduli Mkoa wa Arusha,kumshambulia Kwa mawe mkuu wa wilaya hiyo Frank Mwaisumbe na kuvunja vioo vya magari ,limechukua sura mpya mara baada ya...
Taarifa hii ya kusikitisha na kufedhehesha imefichuliwa na Msemaji wa Chama hicho wa Kanda ya Pwani Mh Gervas Lyenda.
Inadaiwa wamama hao walikamatwa Kwenye viunga vya Mahakama ya Kisutu siku ya...
Sasa ni wakati wa kutegemea Tanzanaia kupata uongozi Lulu (Pearl) na sio kuendelea na huu au serikali iliyokwisha zake ni ya kutupwa kwa maana ya chama hao.
CCM lilikuwa Ua zuri linalonukia...
Hivi ni nani aliwaambia Bavicha kuwa MATAGA hawamtaki mama?
Naona wameingia kichwachwa kwamba ccm hawamtaki mama hivyo wanadhani wakimshangilia sana mama basi watakuwa wameuwa legacy ya Magufuli...
Pichani nimeweka mh Lissu akisakata rumba na mama Anna Makinda.
Ndani ya bunge spika Makinda alikuwa mkali sana lakini alikuwa na heshima na hekima.
Nje ya jengo la bunge alikuwa ni mtazania wa...
Tanzania seeks World Bank support for Covid effort, balance of payments
SATURDAY OCTOBER 02 2021
Summary
In a meeting in Dodoma September 28, President Samia Suluhu held talks with the World...
Umoja wa Wanawake wa CCM wamejificha kwenye Jina la Umoja wa Wanawake wa Tanzania, UWT.
Ni Wakati Muafaka sasa Kwa hawa wake zetu, Mama zetu na Shemeji zetu kubadilisha kifupi cha Jina Lao ku...
Kila Rais aliye simama pamoja na vitu vingine lakini kubwa ilikuwa kuomba vasinesheni ilikuwa kwa viongozi karibu wote kutoka Afriaka hivi hii imekaaje, Afrika kunani maana mpaka jana tarehe...
Ukweli usemwe kodi ya uhalali katika nchi nyingi ni ile inayopewa jina la VAT na hutozwa pale unaponunua kitu.
Ila hapa Nyumbani Tz kuna mlolongo wa kodi zisizo na miguu wala kichwa ila zinameno...
Kufanya mapinduzi ni kukamatwa na kuondolewa kwa serikali na mamlaka yake. Kwa kawaida, ni kukamata madaraka kinyume cha katiba na kikundi cha kisiasa, jeshi, au dikteta.
Hata hivyo vipi katiba...
Tunakumbuka kuwa kulikuwa kuna fununu za jitihada za kutaka Mama asishike usukani baada ya Mzee kufariki, na hali hiyo ilichangia kuchelewa kutangawaza kifo cha Mzee mpaka pale Mkubwa wa...
Kila ifikapo wakati wa uchaguzi, watanzania husahau shida zote walizopitia. Ni ajabu sana! Kwa zawadi ya pombe, tisheti na kofia.
Ndugu zangu wakulima, poleni sana kwa yanayowasibu. Mliamini...
Kwa mujibu wa viongozi wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM , wamama hawa walikamatwa kwa kufanya Jogging iliyoashiria uvunjifu wa amani (haijulikani ni uvunjifu wa namna gani).
Bali...
Jana kuna mtaalam mmoja wa coding amehack mitandao ya Facebook, WhatsApp, na instagram dunia nzima ilisimama, viongozi wote walisimama, wasanii wote walisimama. Mpaka wengine walitaka kupasua simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.