Wakuu za jumapili.
Ukweli ulio wazi na CCM tulimchukulia poa Mbowe,, tulimuona ni mtu wa kawaida Kama kina Ndugai, kina kibajaji au kina msukuma.
Mbowe akiletwa mahakamani,, watu wanajaa...
MWENYEKITI WA UDP AUNGA MKONO JUHUDI NA KUJIUNGA NA CCM
Mwenyekiti wa Chama cha UDP (United Democratic Party) Wilaya ya Igunga Mhe. Mbogo Athuman Yauha na Wanachama wenzake wameamua kuunga mkono...
Ndugu Rais,
Hili suala la wamachinga ni very sensitive nakushauri uende nalo kwa busara kubwa sana.
Nadhani uliona maelfu ya waliotoka mabarabarani kumlilia Magufuli, naweza kusema probably kuwa...
Yaliyomkuta aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mh.Kangi Lugola yakutumbuliwa na Aliyemteua ndio hayo hayo yaliyomkuta Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Mh.Sospeter Muhongo,tena wote wanatoka...
Hivi karibuni, kuna tuhuma zimetolewa waziwazi dhidi ya Rais. Tuhuma hizo ni pamoja na:
1) Rais Samia hakudungwa chanjo ya kujikinga dhidi ya Covid 19, badala yake alifanya maigizo ka vile...
Wadau kama taarifa hii ilishatolewa/kuwekwa wazi huenda mie sikuiona.
Waliopewa dhamana hii kwa wiki 2 nadhani ni miezi sasa imepita! Je? Nini kimeikumba timu hii au posho ya mkao ilishapita kama...
Katika pita pita zangu, nimejaribu sana kuelewa hali ya siasa nchini haswa katika uwezo wa chama chochote kuvutia wanachama wapya na kueneza itikadi zake. Nimegundua kwamba ni muhimu sana kwa sera...
Serikali ya kikoloni ilikuwa occupation na walitumia Dola, Vitisho na ubabe kutwaa madaraka lakini walijua siku ikifika wameshindwa watarudi makwao.
Hawa wakoloni weusi ni kama hawatambui kuwa...
Wanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua...
Mwaka mmoja uliopita
Sasa anatumia za kukodisha
Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi ukiacha wahandisi na...
Hakika huyu mama ndiye mzalendo wa kweli hapa nchini.
Ingekuwa hawa wengine ndiyo angemwaga mabilioni kama zawadi maana anajichotea.
Mama Maria Nyerere leo amewakabidhi wapanda baiskeli wanao...
Katika kijiji cha Kitewele Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe hali sio hali, kwani hakuna huduma ya za afya karibu, Wananchi wanalazimika kutembea zaidi ya km 30 kufuata huduma katika kituo cha afya...
Mbinu za baadhi vyama tawala Afrika kubaki madarakani ni kama zifuatavyo.
A. Kuanzisha vyama feki vya upinzani vitakavyounga juhudi.
B. Kutumia dola kukandamiza chama kikuu cha upinzani
C...
Leo baada ya kumaliza kupeana salamu na ndugu zetu waliotoka ibadani , nilikaa sehemu fulani hapa Oysterbay nikiwa napata moja moto, moja baridi , huku nikiwa nawaza na kuwazua yanayoendelea hapa...
33341
Kuna habari kuwa mama kavunja rekodi ya makusanyo ya Kodi tangu Tanzania ipate Uhuru kwa kufikia 1.9 T, zilizokusanywa kwa njia Bora kabisa bila kutumia nguvu.
Watu wanarukaruka na...
Bi. Jesca Kishoa, Mbunge.
Kielelezo cha Amani Ulimwenguni mwa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kufikia mwaka 2020 kiliorodhesha Tanzania 52 katika nchi 163, na alama 1.85, chini ya Senegal...
Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM.
Sielewi...
Wakazi wa kijiji cha Kitewele chenye jamii za wafugaji,wavuvi na wakulima wilayani Ludewa mkoani Njombe wanadai kulazimika kusafirisha wagonjwa kwa machela za miti na mhanzi zaidi ya km 32...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.