#COVID19 Uingereza yaiondoa Tanzania kwenye 'red list'

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7

Waziri wa Usafirishaji, Grant Shapps amesema mabadiliko hayo yataanza Jumatatu (Oktoba 11, 2021)

Hatua hiyo inamaanisha Watanzania na Raia wa Uingereza kutoka Tanzania hawatakaa Karantini ya lazima ikiwa wamepata moja kati ya chanjo nne ambazo Uingereza inazitambua

=======

The number of countries on the UK Covid travel red list will be cut from 54 to seven, the government says.

South Africa, Brazil and Mexico come off the red list, which requires travellers to quarantine in an approved hotel at their cost for 10 full days.

Transport Secretary Grant Shapps said the changes begin on Monday and "mark the next step" in opening travel.

This latest move will be seen as a boost to the airline industry and families separated during the pandemic.

Panama, Colombia, Venezuela, Peru, Ecuador, Haiti and the Dominican Republic remain on the red list.

Pandemic travel rules in the UK have recently been simplified, with the amber list cut, and advice against holidays changed for 32 countries.

Source >> UK travel red list cut to just seven countries
 
Kumbe ndio maana tunabadili aina ya chanjo ili kuzitafuta hizo wanazozitambua, lakini pia kuanza kwetu kutoa takwimu za ugonjwa wa Corona naona nayo ni sababu kubwa iliyosababisha watuondoe kwenye hiyo red list.
 
😁😁😁

Baada ya kuona hatudondoki kama maembe na chanjo hatujazikubali kivileeeeeee ingawaje tumechanja chanja kiasi chake....
 
Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7

Waziri wa Usafirishaji, Grant Shapps amesema mabadiliko hayo yataanza Jumatatu (Oktoba 11, 2021)

Hatua hiyo inamaanisha Watanzania na Raia wa Uingereza kutoka Tanzania hawatakaa Karantini ya lazima ikiwa wamepata moja kati ya chanjo nne ambazo Uingereza inazitambua

=======

The number of countries on the UK Covid travel red list will be cut from 54 to seven, the government says.

South Africa, Brazil and Mexico come off the red list, which requires travellers to quarantine in an approved hotel at their cost for 10 full days.

Transport Secretary Grant Shapps said the changes begin on Monday and "mark the next step" in opening travel.

This latest move will be seen as a boost to the airline industry and families separated during the pandemic.

Panama, Colombia, Venezuela, Peru, Ecuador, Haiti and the Dominican Republic remain on the red list.

Pandemic travel rules in the UK have recently been simplified, with the amber list cut, and advice against holidays changed for 32 countries.

Source >> UK travel red list cut to just seven countries
🙏🙏 Afadhari utalii urejee,na wengine wafuate.
 
Back
Top Bottom