CCM Ina wanachama Milioni 9+ lakini bado wanaiba kura

bloggerboy

JF-Expert Member
Nov 13, 2017
568
1,211
CCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni Wapinzani😇👐🏿🇹🇿

Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama Kujificha Tusishambulishwe, Tusitekwe,tusiuliwe na kutupwa Kama mizoga ya mbwa,Tusipewe kesi,Tusifuatiwe Kwenye biashara zetu kwa kupewa madeni makubwa ya kodi n.k.

Usishangae kwa nini Kwenye Uchaguzi CCM wanatumia pesa nyingi kuhonga Hadi Wanachama wao ili wapite, Usishangae kwa Nini CCM Wanatumia Hadi polisi kuiba kura japo wanajidai wanawanacha wengi.
 
Ijue sababu kuwa wanachama wao wote ni wajumbe halafu kama unavyojua wajumbe sio watu wazuri ,hivyo inawalazimu walazimishe na kugeuza matokeo,ndio ikadaiwa Tume Huru.
 
Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama Kujificha Tusishambulishwe, Tusitekwe,tusiuliwe na kutupwa Kama mizoga ya mbwa,Tusipewe kesi,Tusifuatiwe Kwenye biashara zetu kwa kupewa madeni makubwa ya kodi n.k.

Wewe ni kibaka! Muulize Lowasa alivyokatwa
 
CCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni Wapinzani😇👐🏿🇹🇿

Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama Kujificha Tusishambulishwe, Tusitekwe,tusiuliwe na kutupwa Kama mizoga ya mbwa,Tusipewe kesi,Tusifuatiwe Kwenye biashara zetu kwa kupewa madeni makubwa ya kodi n.k.

Usishangae kwa nini Kwenye Uchaguzi CCM wanatumia pesa nyingi kuhonga Hadi Wanachama wao ili wapite, Usishangae kwa Nini CCM Wanatumia Hadi polisi kuiba kura japo wanajidai wanawanacha wengi.
Nchi inawatu milioni 55!hapo wapiga kula NJ I kama millioni 30!!hiyo 9haifiki hata Nusu,
Wanasema chama kinapendwa lakini wanachama wake hawafiki hata robo!ya wananchi!
 
Kama CCM kweli Ina idadi hiyo ya wanachama basi kuna mgomo baridi ndani ya chama dhidi ya chanjo. Wameamua kumgomea mwenyekiti wao .
 
CCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni Wapinzani😇👐🏿🇹🇿

Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama Kujificha Tusishambulishwe, Tusitekwe,tusiuliwe na kutupwa Kama mizoga ya mbwa,Tusipewe kesi,Tusifuatiwe Kwenye biashara zetu kwa kupewa madeni makubwa ya kodi n.k.

Usishangae kwa nini Kwenye Uchaguzi CCM wanatumia pesa nyingi kuhonga Hadi Wanachama wao ili wapite, Usishangae kwa Nini CCM Wanatumia Hadi polisi kuiba kura japo wanajidai wanawanacha wengi.
Wenyewe wanajijua?
 
Ccm haina wanachama 9m+, bali imeuza kadi 9m+ kutokana na hofu iliyopandikiza nchi hii. Ingekuwa na wanachama 9m isingejihusisha na wizi wa kura. Tena baada ya Magufuli kuingia na madaraka na kuanza kutawala kwa mabavu, ndio imezidi kupoteza wanachama wake wachache ilikuwa nao.
 
Back
Top Bottom