Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuwa naipinga sana CHADEMA kwa sababu ya uCCM wangu. Lakini kwa hizi pilika zinazofanywa na serikali kukandamiza wapinzani kwa sababu ya kulinda uozo wetu zinanipa mashaka kuwa CCM ndo...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Inajulikana wazi kuwa mbunge mteule wa CCM bwana Sheha Mpemba Fakhi amejiuzulu nafasi yake ya ubunge ili kuokoa Serikali ya umoja wa Kitaifa iliyopo kati ya CCM na ACT wazalendo baada ya ACT...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Safari ya juzi ya JK ni ya 358 tangu aingie madalakani hii inamaana JK amekua safarini mwaka 1 na siku 13 .Nakwakua safali moja inaweza kuchukua zaidi ya siku 2 au 3, kwawastani ni siku 2 ...
7 Reactions
194 Replies
16K Views
Sakata la kukamatwa mchora vibonzo Optter Fwema limetokea huku kukiwa na kilio cha kukosekana kwa uhuru wa maoni na ukandamizaji haki za raia. Ukiondoa mitandao ya kijamii, hakuna chombo cha...
21 Reactions
37 Replies
3K Views
Mh. Rais amepunguza tozo kwenye mafuta, na wote tumesifu hili suala maana bei ya mafuta ukubwa wake unatokana na tozo na Kodi mbalimbali. Lengo la kufuta baadhi ya tozo ni kumpunguzia mwananchi...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, Leo Mh. Rais atafanya uzinduzi wa mradi wa Mabasi yaendayo haraka almaarufu UDART. Mradi huu ni mzuri na umethibitika kusaidia haswaa katika kuondoa adha za foleni kwa wakazi wa...
8 Reactions
220 Replies
35K Views
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka...
51 Reactions
423 Replies
25K Views
Mbona kama ni wazi kabisa wanaCHADEMA wamekuwa subject wa manyanyaso nchi hii? Tatizo ni nini? Hawa wanaCHADEMA wana ubaya gani? Mbona mie mwenyewe wanangu ni wanaCHADEMA na sigombani nao pamoja...
22 Reactions
38 Replies
3K Views
Kada mkongwe mzee Mgaya ametoa rai kwa chama chake CCM kutopuuza tishio la ukame kama ilivyoripotiwa na TMA. Mzee Mgaya anasema Watanzania hawajazoea njaa na endapo itatokea hali kama ya mwaka...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna Vita kubwa ndani ya chama cha Mapinduzi kuhusu uchaguzi wa 2025, Vita hii imekuwa kali ikamfanya Mhe. Rais kutangaza nia mapema. Baada ya kutangaza nia mapambano yamekuwa makali kwenye...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kila nikitazama maisha yanavyozidi kua magumu, watu wanavyolia na ugumu wa maisha na hali inazidi kua mbaya kuliko siku za nyuma, siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi 2025. Ugumu wa maisha hua...
7 Reactions
89 Replies
6K Views
Wakuu katika kesi ya Mbowe mshitakiwa wa kwanza Adomo aliielezea mahakama kuwa Alimsikia afande Kingai akiwaambia Mapolisi wake kuwa wamuwekee madawa ya kulevya na siraha Je Kama shutuma hizi ni...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma! Ukizitazama na...
60 Reactions
195 Replies
15K Views
Wana Jf Kukatika hovyo kwa umeme ni iShara mbaya sana kwa Wazir J.Makamba, huenda wafanyakazi wanamjaribu au aliowaingiza hawana uweledi wa viongozi, jana watu walishindwa kununua umeme, vijana...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Yupo Hoyce Temu, Mtangazaji na mjasiriamali. Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata...
9 Reactions
438 Replies
82K Views
Niko hapa Kijiji cha Mnala, Chiponda mkoani Lindi. Kuna ziara ya PM Majaliwa. Miongoni mwa wageni maarufu waliofika kumpokea mbali na Nape Nnauye ni pamoja na Membe aliyepokewa kwa heshima kubwa...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katika kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta katika soko la dunia, Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta...
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Imekua kawaida kwa Bunge kupitisha miswada mbalimbali inayohusu maslahi ya walio wengi haswa wa kipato cha chini lakini miswaada hio imekua michungu mithilii ya siki katika Maisha ya wananchi wa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Moja ya kazi ya chama kilichopo madarakani ni kuhakikisha kuwa wananchi wanaenda kulala wakifahamu nchi iko wapi na inaenda wapi. Moja ya msingi wa utambuzi ni uwepo wa Sera za chama kilichoko...
15 Reactions
57 Replies
9K Views
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama...
4 Reactions
88 Replies
9K Views
Back
Top Bottom