John Mnyika kashindwa kuichambua falsafa ya CHADEMA ikaeleweka matokeo yake chama kinamfia

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
CCM ikiwa na bahati ya kukuza na kutumia magwiji ya mikakati ya ushindi wa kisiasa hali hiyo imekuwa kinyume kwa vyama vya upinzani ambavyo havina hazina hiyo na matokeo yake kujiua vyenyewe. Chama chenye nia ya kushinda dola hakiwezi kuwa na mtendaji mkuu ambayo hana mbinu wala mikakati ya kushinda jimbo, ni aibu kubwa sana.

Kukosekana kwa falsafa kamili inayoweza kufundishwa na kuenezwa kupitia elimu imekuwa ni changamoto kwa vyama vya upinzani hususani CHADEMA katika suala la kushika dola. Watanzania wanataka kujua chama kinasimamia misingi ipi. Dola si kitu cha kusema kinaweza kuokotwa kama embe bovu, zinahitajika mbinu na mikakati ya ushindi kutoka kwa wabobezi na magwiji.

CHADEMA wajipange sana chini ya Mnyika kushindana na CCM .
 
Hayo utayasikilizia wapi ikiwa hawawezi kutumia vyombo vya habari , mikutano ya ndani na nje marufuku ?!

Wewe lazima uwe mnafiki kuijadili Cdm, badala ya kuhoji hatua ya vyombo vya dola na vya maamuzi kuwakalia kooni wapinzani . Democracy inauliwa huku ukiwazodoa cdm
 
Sio kweli, mikutano ya ndani ruksa ila mfuate utaratibu wa kupatiwa vibali kwa ajili ya usalama. Mikutano ya nje ipo na inafanywa sana kila mahali
 
Endelea kutafakari yako, hapo ni kama tathimini Yako ilivyo shindwa, hujajiuliza bambikia, na maguvu yote yanatoka wapi na kwanini?
 
Sio kweli, mikutano ya ndani ruksa ila mfuate utaratibu wa kupatiwa vibali kwa ajili ya usalama. Mikutano ya nje ipo na inafanywa sana kila mahali
Una wenge wewe . Nccr hata kamati kuu walizuiwa kesho yake wanawake wa Ccm wakafanyia kongamano kwenye ukumbi huo huo.

Wanawake wa Cdm wanazuiwa kufanya hata jogging . Ushenzi mwingine kuushabikia kwanza uwe taahira . Sijui uko Je wewe
 
Tatizo lenu ni kutaka kupimana ubavu na serikali mtaendelea kuhisi mnaonewa muda wote...kuna gharama ipi ya kuomba kibali ili mfanye kwa kufuata sheria... na hiki ndicho kinachowagharimu kufikiri CCM kila kitu wanafanya bila kibali.
 
Mnyika anajua vizuri kuwa kwa sasa chama hakina mwelekeo, ila yuko pale kwa masilahi ya tumbo lake na familia yake.
 
Tatizo lenu ni kutaka kupimana ubavu na serikali mtaendelea kuhisi mnaonewa muda wote...kuna gharama ipi ya kuomba kibali ili mfanye kwa kufuata sheria... na hiki ndicho kinachowagharimu kufikiri CCM kila kitu wanafanya bila kibali.
Ipo kwenye sheria ipi ?!
Wanatakiwa wataarifiwe siyo kuombwa vibali . Na taarifa ni kwa ajili ya usalama .

Ipo kwenye sheria ipi kuwazuia wanawake wa Cdm kufanya jogging huku wenzao wa Ccm wakifanya kila weekend !!. Ni ujinga kushabikia huo upumbavu
 
CCM hoyeee!

CCM tupo juu sana😁😁😁
AIsuRG.jpg
 
Hayo utayasikilizia wapi ikiwa hawawezi kutumia vyombo vya habari , mikutano ya ndani na nje marufuku ?!

Wewe lazima uwe mnafiki kuijadili Cdm, badala ya kuhoji hatua ya vyombo vya dola na vya maamuzi kuwakalia kooni wapinzani . Democracy inauliwa huku ukiwazodoa cdm
Kajinga hako
Ka kajamaa, usikule ndo kale kajinga msigwa alidai kanagombewa na mutu mbili kwa mpigo
 
Pale mwanaccm anapoijadili chadema ndipo utagundua hawa wanaccm NI matahira sana eti shetani amjadili MUNGU utegemee aseme Mungu kwa kweli Yuko juu si kweli lazma aseme Mungu anaelekea ukingoni ili wafuasi WA wapate moyo WA kumuunga mkono.
 
Falsafa na mikakati ya sasa ni Madai ya Tume huru na Katiba Mpya kitu ambacho nyie mataga hamtaki kukisikia na ndiyo maana kila jumamosi tz nzima na mavitambi yenu mnabeba mitutu ya bunduki kuvamia jogging za kina mama wa bawacha wenye jezi zenye maandishi ya "tume huru"
Kubafu.
 
Back
Top Bottom