Mwenyekiti wa BAZECHA aachiwa kwa dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
Taarifa zinaeleza kwamba Amesomewa mashitaka mawili ya Uchochezi (Kuchapisha taarifa za uongo na kuzisambaza kwenye mtandao wa Yu Tube ) , huku dhamana ikiwa wazi na amedhaminiwa .

Hatimaye_Mahakama_ya_Hakimu_Mkazi_kisutu_imempa_dhamana_Mzee_Hashim%2C_Mwenyekiti_wa_Baraza_la...jpg
 
Yaani kuhangaika na vizee kama hivi ndio kuchochea maendeleo? Kweli nchi hii bahati mbaya sana, ndio maana leo Nobel Prize imeenda kwa mwandishi nguli wa fasihi kutoka Zanzibar na sio mwanasiasa yoyote hata Nyerere hajawahi kupata Nobel Prize
Ni kosa kubwa kuamini kuwa taasisi fulani zinaweza kuendeshwa na wqtu wenye uwezo mdogo wa akili.

Vigezo vya kuwaajiri polisi ni lazima vibadilike.
 
Back
Top Bottom